Hivi ni kwanini Wanawake ndio wanaongoza kuanzisha Mahusiano Mapya ndani ya Mda mfupi tu baada ya kuachana na Mpenzi wake?

πŸ’«Hili ndilo jibu!

Ukipoteza Ajira unatafuta nyingine haraka sana πŸ€‘
 
nimekuomba muongozo wako kulingana na uelewa wako ila nadhani hapo ndipo ulipoishia
Ningekua nauelewa na jambo nisingeleta Mada..Mi sio mtu wa kuchosha watu kwenye jambo nililo na uelewa nalo.

We Mtu anauliza kitu unamwambia Vipi uelewa wako like serious??

Oky tufanye yamenikuta then nashukuru kwa Mchango wako Mkuu because hujaja kuchangia au kutoa unachoelewa instead umekuja na personal attack.
 
Mwanamke huwa anakuwa na replacement yako siku nyingi. Ni vile unakuwa hujui. Replacement huwa zinaitwa majina mengi, rafiki, kaka (si yule wa familia), classmates
 
Kitonga
 
inasikitisha sana kama kijana hana uweze wa kujua jambo dogo kama hilo na kuona anaonewa ni mtihani sana
 
Jaribu kuangalia vizuri
Kama walikuwa wanandoa na watoto...wanawake kwa uchache hurudi kwenye mahusiano....angalia single mazaz...Kuna mama mmoja alitupa Pete yake ya ndoa kwa sasa anavaa Pete ya kanisani...kwa uchungu na maumivu na viapo......
 
Sure.

Na hiyo ni mindset tu ambayo tumemjengea. Tangu utoto
Tangu utoto binti anaambiwa her ultimate goal is to get a man and get married.

Hivyo, muda wote wa maisha binti anajiandaa kwa jambo hilo tu, ndio lengo kuu la maisha, regardless amesoma hadi wapi ama ana cheo gani.

Mila, tamaduni na dini zote xinamwambia hivyo, kwa sababu ya moral decay anashindwa kummantain mmoja,

Akiachana na huyu anatafuta replacement haraka.

Leejay49 alifurahi sana hadi kuanzisha uzi baada ya kupata replacement, na alisema hakuwa na furaha wala amani bila kuwa kwny mahusiano.
 
Akiwajua hawakusumbui, wanawake akiwa peke yake sijui wanajionaje ,ukiona wanayoandika whatsap status 80 percent ni mambo ya kuhusiana ,wachache wanaweka biashara ,ila content kubwa ni kuhusu mahusiano,ndivyo walivyo tuwazoee

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Na kilometer zinazidi kusomaa madam ,km uwelewi kbs mahusiano tafuta hata mtt wako usiogope kuitwa single mother .
 
Mbona juu miaka 7 hapa tena 12?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
aala kumbe πŸ’

kwahiyo kumbe wanakua na standby generators, in case umeme wa gridi ya taifa umekata basi standby generator inachukua nafasi bila kupoteza sekunde πŸ’

hata ivo,
tahadhari hiyo huchukuliwa baada ya kutokua na uhakika na mahusiano yanayoendelea. Mkifichana baadhi ya masuala ambayo hayafichiki na ni muhimu kua bayana kwa wote, hali ya kua na uhakika wa umoja wa mapenzi yenu huko mbeleni hupungua, na inapotokea uhakika hakuna kabisa, basi exit steps huchukua mkondo wake....πŸ’

hakuna haja ya kutengeneza mazingira hayo, mpendane kwa dhati, muwe wawazi kila moja kwa mwenzake, msaidiane na kushauriana kwa upendo ikitokea changamoto na hapo ndipo mnaweza kudumu zaidi πŸ’
 
Wanaume ndo tupo chap kuliko wanawake.

Mwanamke anayeachana na mwanaume leo kesho ana mwingine huyo mwanaume alikuwepo ni kwamba hakuwekwa tu hadharani.
 
Kwasababu mwanamke hawezi ku-survive peke yake... Mwanaume ni basic need muhimu sana kwa mwanamke, Sema ndo hivyo asilimia kubwa ya Men akili ya kujua thamani zetu hamna
 
Wawili ni bora kuliko mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…