Hivi ni kwanini Wanawake ndio wanaongoza kuanzisha Mahusiano Mapya ndani ya Mda mfupi tu baada ya kuachana na Mpenzi wake?

Sasa cha kufanya....,usiangaike na wa humu mpenz....mkubalie mmoja wa mtaani kwenu au Kanisani kwenu mama
 
Ni kwa sababu ipo reserve list. Na hii list muda wote inapiga jaramba. Akiumia mchezaji kiwanjani nadhani huwa mnawaona
 
Umenikumbusha To yeye naye alianzisha uzi hivi juzi kuelezea furaha yake kwenye eneo hilo.

Sasa hii tabia imeanza kuambukizwa kwa wanaume hususan wanaokua kwa sababu tunaona matendo yenye uthubutu wa aibu kwenye mahusiano yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ