Wee komah wee!!Kwa Afrika ajira namba moja ya mtoto wa kike ni kubanduliwa au kuwa mpenzi wa mtu.😂
Kupitia hio ajira ndio anapatamo vichenchi vya viwalo na kutambia mjini😁 ndio maana wanakuwa wakali sana wakipata waajiri ambao ni bahili au hawakati pochi!
Kwakweli,.Sawa. Jitahidi sasa huyu wa sasahivi asikuumize.
Kumekucha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kua na mpenzi mmoja ni ufala sitakaa rudia kuufanya. Back 2021 niliweuka kisa kumpenda Mpogoro peke yake. Sahivi nina kikosi wanajaa kwenye Shabiby. No hard feelings
🫣🫣Sisi tuna mitongozo mingi, hivyo ukiniacha nafungua file naangalia yupi anaweza kuwa mbadala wako. Basi nitakayeona anafaa nampachika…. nafasi ya mkuu wa majeshi haiwezi kuwa wazi muda mrefu.. nchi inaweza kuvamiwa [emoji12]
Sahivi me ata sielewi.. Na wao kweli wako ivo ivo.. tunatafutana muda wa genyeKumekucha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na Hao wapenzi ulionao nawao wana wapenzi wao etii[emoji848] na wapenzi wao nao wana wapenzi wao akii[emoji3]...
Ongeza mapenzi Kwa Yesu uende Mbinguni,hao wa kwenda msikitini au kanisani ni binadamu tuFanya hivi nilichitwa 2013 hadi 2019 nilimpata mjibababa for 4 month akataka niwe second wife nikakataa akaja mmoja nasijadumu naye wala tokea hapo 2019 hadi now sina uhusiano mzuri na mtu kweli hadi sasa. Miaka 12 sina wa kwenda msikitini wala wa kwenda kanisani
Na walivyo maharage ya mbeya Sasa😁😁😁😁Wakati tukiwa kwenye mahusiano kuna ambao huwa wanaendelea kurusha nyavu hawaelewi hata kama una mahusiano. Sasa tukiachwa tunaangalia kati ya wale warusha nyavu yupi ni bora zaidi unaanza kum-entertain.
Kwa hiyo ni sualala kuvuta tu phonebook unaona unatafuta a shoulder to cry unakabidhi goliSisi tuna mitongozo mingi, hivyo ukiniacha nafungua file naangalia yupi anaweza kuwa mbadala wako. Basi nitakayeona anafaa nampachika…. nafasi ya mkuu wa majeshi haiwezi kuwa wazi muda mrefu.. nchi inaweza kuvamiwa 😜
Za siku ni njema sana.Hi Mjuni, nipo mkuu za siku?
Duuuh kazi kweli kweliMwanamke aliye kata mahusiano ya kingono na mwanaume A , akitokea B, C, D mpaka Z na akatongozwa hawezi sema hapana bali atasema nitakjibu ..
Mwanaume A akimwacha anaenda kwa B na cheni inaendelea na mwisho itakuja kujirudia rudia huko mbeleni.
Kiufupi hao viumbe wana plan mahusiano yao kuliko hata Serikali.
Mbona wao ni wakopaji wazuri huko kausha damu 😂hahàhaah wanadai hawataki kukopwa
Hivi hujuagi kuolewa ni makaratasi wanaume ni hawaridhiki basi tu tunawapa vikojoleo ili tuite maimaOngeza mapenzi Kwa Yesu uende Mbinguni,hao wa kwenda msikitini au kanisani ni binadamu tu