Hivi ni kwanini Zanzibar haijawahi kutawaliwa na Rais Mkristo na ni sehemu ya Tanzania?

Muulize Mohamed Said. Anaweza kuwa na majibu mujarab!!
 
Kwanza Anza kujiuliza kama Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar, kwanini Zanzibar wana Rais wao na Tanganyika haina Rais na badala yake inaitwa Tanzania Bara?
 
Nitakuwa mwongo nikisema hilo swali fikirishi nililifikiria wakati wowote ule.
Aiseee!!

Nitakuwa Mchochezi, kwa maoni yangu, kudai Mkristo Mkristo au Muisilamu ni Muisilamu

Na nitakuwa na Ukimbari wa kibaguzi Kusema Mkristo ni Mbara na Muisilamu ni Mzanzibari

Swali zuri Sana.
 
Ulimsikia mkristo nani kwenye baraza la mapinduzi. Ni John Okello pekee alikuwa mkristo, na yaliyompata natumaini hujayasahau.
 
Asilimia 99 ya wazanzibar ni waislamu achana na hao wahamiaji ambao ndio wakiristo halafu unataka atawale mkiristo
Wewe utakuwa na akili timamu kweli
Zanzibar ukiondoa muungano basi inakuwa Islamic country
 
Wewe unafikiri bila msiba kutokea, wazenj urais kuupata ingewachukua miaka 100,ndio maana nashauri, katiba mpya ianishe wazi kuwa urais uwe wa kupokezana, maana watu wa bara baadhi tuna roho mbaya za husda na hatupendi wazazibar wawe rais wa Tanzania
 
Ulimsikia mkristo nani kwenye baraza la mapinduzi. Ni John Okello pekee alikuwa mkristo, na yaliyompata natumaini hujayasahau.
Tueleze mimi binafsi bado sijasikia.
Karibu jukwaani utueleze tafadhali
 
Unatakiwa upewe cheo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…