Hivi ni kwanini Zanzibar haijawahi kutawaliwa na Rais Mkristo na ni sehemu ya Tanzania?

Hawa wadini ndi maana JPM sliposhinda walifurahi sana wanepata wa dini yao🤷🏻‍♀️utadhani anakwenda kuwasomea injili,, aliwanyoosha hadi basi,,
Jpm alikua haangalii cha askofu,, alimuheshimu pengo peke yake,,
Lakini hata Pengo, ali appreciate kwamba, 'hata tukichagua wa dini yetu, haibadili kitu'😂😂
 
KWASABABU MANDONGA MTU KAZI AKIPIGA KAMA KAPIGWA NA AKIPIGWA KAMA KAPIGWA
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Nyerere Rais mkristo mtakatifu ndo alisamamia hilo jambo,tena alipoachia madaraka akamkabidhi Tanzania muislam mzanzibari Al Haji Mwinyi.
 
Waisalam ndani ya nchi hii tunawabembeleza kwa mbereko..ipo siku hiyo mbereko itakatika
Aipo iyo siku mzee baba,fanya tu mambo mengine.
Nyerere alipewa mbeleko na hao wazee wa kiislam akapewa nyumba ya kukaa bure na waislam.

pitia histori ya Tanganyika hata kidogo utakata kiu ya swali lako.
 
Reactions: Tui
Ukitoka hapo jiulize pia kwanini mbeya wabunge wote ni wakristo,,
 
[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G8850 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya yaleo, yajayo yanafurahisha sana…. Time will tell…
 
Wewe unafikiri bila msiba kutokea, wazenj urais kuupata ingewachukua miaka 100,ndio maana nashauri, katiba mpya ianishe wazi kuwa urais uwe wa kupokezana, maana watu wa bara baadhi tuna roho mbaya za husda na hatupendi wazazibar wawe rais wa Tanzania
Hata ikiwa hivyo ni muhimu kurejeshwa kwa serikali ya Tanganyika na kama kupokezana iwe ya Muungano haifurahishi kuona serikali ya Tanganyika ambayo tunaambiwa ipo ndani ya serikali ya muungano kuongozwa na Mzanzibari wakati yeye sio Mtanganyika bali Utanzania wake umetokana na Uzanzibar wake hivyo kwa sifa hiyo tu hakumfanyi automatically kuwa Mtanganyika.
Nyerere alitokosea sana.
 
Zanzibar serikali yake ni ya kidini NA huku Bara wanasisitiza serikali haina dini 😃

ila hawa ndugu zetu kuishi nao ni kazi sana ubaguzi umewajaa halafu wanajina wanaonea kila siku
 
Dogo kiazi kweli ulisikia wapi mtu yeyote anafaa kuongoza, recycling yoote inayoendelea nchi hiii we uoni, uongozi wa nchi ukibadilika jua Mwenyezi ndio kapenda wenyewe wanatamani libaki kundi lile lile tu!
 
Dogo kiazi kweli ulisikia wapi mtu yeyote anafaa kuongoza, recycling yoote inayoendelea nchi hiii we uoni, uongozi wa nchi ukibadilika jua Mwenyezi ndio kapenda wenyewe wanatamani libaki kundi lile lile tu!
hoja kama hizi za jaziba zinatolewaga maranyingi na watu waliovia akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…