Unaelewa Radioactive dating?iyo njia ndio nina mashaka nayo kwa sababu nikipiga hesabu miaka 300 nyuma nina uhakika pale kijijini kwetu hakuna binadamu alikua anaishi
6026?DUNIA INA MIAKA 6O26 KWA MUJIBU WA BIBLIA.
inaweza kuwa maana kama umri wa kuishi watu unapungua hivyo zamani huenda watu waliishi miaka hata mia na kitu na kadri unavyorudi nyuma nahisi watu waliishi miaka mingi zaidi, na wanasayansi wana amini civillazation ina miaka takribani laki tatu na kitu, ila kwa wanyama na milima inafika miaka billioni
Zamani binadamu walikuwa wanaishi miaka michache zaidi kuliko sasa, wanahistoria wanakadiria wastani wa umri wa kuishi miaka 6000 iliyopita ulikuwa miaka 35 wakati mtu anazaliwa na miaka 60 akivuka miaka 5.inaweza kuwa maana kama umri wa kuishi watu unapungua hivyo zamani huenda watu waliishi miaka hata mia na kitu na kadri unavyorudi nyuma nahisi watu waliishi miaka mingi zaidi, na wanasayansi wana amini civillazation ina miaka takribani laki tatu na kitu, ila kwa wanyama na milima inafika miaka billioni
Uko sahihi kabisa, vijiji vingi vilizaliwa mwaka 1974, kabla ya hapo vijiji vingi vya nchi hii havikuwa na watu. Hii ilitokea kama ambavyo miaka ya juzi tu hapa wasukuma wamefanya wimbi kubwa sana la kuanzisha mashamba na makzi katika mapori ya katavi.iyo njia ndio nina mashaka nayo kwa sababu nikipiga hesabu miaka 300 nyuma nina uhakika pale kijijini kwetu hakuna binadamu alikua anaishi
Sidhani kama kutumia idadi ya watu kujua umri wa dunia ni sahihi. Dunia inaweza kuwa ilikuwepo hata bila watu.Ugonile,
Mimi ni mzaliwa wa miaka ya 90's, nimekulia kote kijijini na mjini kwa nyakati tofauti. kwa kijijini mtu ulikua na uwezo wa kufanya sensa ya raia ukiwa kibarazani kwako umekaa huku unatafuna karanga au mahindi ya kuchoma.
Katika kukua kwangu nikifanya ulinganifu wa idadi ya watu katika miaka ya 1990 mpaka 2010 ilikua ndogo sana kulinganisha na saiv.
Nina imani ukirudisha miaka nyuma basi idadi ya watu ilikua ndogo zaidi kitu ambacho kinafanya niamini kuwa hii Dunia haina muda mrefu tangu kuwepo kwake, kama sivyo basi hakuna watu walikua wanaishi huko nyuma.
View attachment 3600434
Nawasilisha
Kaka niletee Smartphone yako iliyotengenezwa na mashoga nimeiwahi, Usisahau charger na powerbank kama upo nayoKuendelea kuwaamini hawa Mashoga ni ujinga wa kiwango cha rami iendayo Msoga, hivi kwa jisi anavyowafanya Iran vile, kuna haja gani ya kuendelea kuwaamini hawa Mashoga!!?
Kuna at least four human species zilizoishi kabla yetu sisi Homo sapiens!kidogo napata kuelewa, ila unaposema binadamu wa sasa ina maana kuna binadamu wa kabla yetu ambao mimi siamini kama kweli walikuepo.
Binadamu mwenye muonekano kama wa wewe ndio huyu ana miaka 300K, huko nyuma tulikuwa na muonekano mwingine, lakini kutokana na evolution ndio taratibu mabadiriko hufanyika, na hata binadamu wa miaka 300k+ huko mbele hata kuwa kama wewe huyukidogo napata kuelewa, ila unaposema binadamu wa sasa ina maana kuna binadamu wa kabla yetu ambao mimi siamini kama kweli walikuepo.
Big bang ilitokea wakati gani? Ila ni theory za kufikirika tu. Hakuna mwenye jibu ni muumba tu.Unaelewa Radioactive dating?
Usiongelee tu vijiji ambavyo havikuwa na watu miaka 300 iliyopita, Kuna vijiji havikuwa na watu hata miaka 30 iliyopita. Itakuwa watu kutumia kigezo cha vijiji vyao kama rejea ya miaka ya dunia na uwepo wa binadamu duniani.
Thibitisha muumba ni halisi na sio theory ya kufikirika tu.Big bang ilitokea wakati gani? Ila ni theory za kufikirika tu. Hakuna mwenye jibu ni muumba tu.
Big bang ilitokea wakati gani? Ila ni theory za kufikirika tu. Hakuna mwenye jibu ni muumba tu.
Duuh, hawa wazungu washenzi kweli ! ati binadam ali change stages up to homo sapiens, af wanachuchorea kabisa ni black race 😇
Duuh, hawa wazungu washenzi kweli ! ati binadam ali change stages up to homo sapiens, af wanachuchorea kabisa ni black race 😇
Punguza bangiUnataka kujua umri wa dunia ili iweje? Kabla hujazaliwa ulikuwa unajua kuwa bado hujazaliwa? Au unapokuwa umelala unajua kuwa umelala?
staki kukupinga ila maelezo yako ni kama hadithi za kufirika kutoka kwa wazunguMheshimiwa, juu ya umri wa dunia yetu hii, ili kufahamu umri huo, ni budi kwanza kujiuliza maswali kadhaa. Baadhi ya maswali haya ni, je dunia yetu hii ilizaliwa toka kwa nani? Na hii mimba nani aliitunga? Ilikuwaje? JE, hivi wakatiedunia ikizaliwa si ni lazima ianze kukua? Na ilipofikia umri fulani, je na yenyewe ilianza kuzaa yaani maisha nk.
Kwa dondoo, kwa wana Sayansi, umewahi kusikia "A Bige Bung' ? Au mlipuko, kishindo Kikuu? Huu ni mgongano wa Sayari moja kubwa na Sayari nyngine, ambao ndio ulizaa dunia yetu na mkanda wa nyota"bracelet" Vitu vikigongana, hasa vikiwa ktk mwendo kasi, mara nyingi husababisha mlipuko nao huwaka moto. Huo moto ukipoa ndipo ama utapta jivu ama umbo lingine. Nae ipande vingine yaani cheche huruka mbali - bracelet. Kwa ufupi sana, huu ndio mwanzo wa dunia yetu.
Sayari iliyogongana ni "NIBIRU" na iliyogongwa ni "TIAMAT" .
Nibiru huzunguka dunia kwa mzunguko wa saa, wakati Sayari nyingi zinazolizunguka jua huzuguko kinyume cha saa.
Basi, endelea kupata elimu toka vyanzo mbali mbali vya kuaminika. Lakini, hapo hapo jiulize, hivi hawa Wazungu walikuwa ni wajinga
So long as hatukuepo, We're not sure