Hivi ni kweli hii Dunia tunayoishi ina miaka zaidi ya bilioni kama tunavoaminishwa na wazungu?

Hivi ni kweli hii Dunia tunayoishi ina miaka zaidi ya bilioni kama tunavoaminishwa na wazungu?

Dunia ina Mika 5000
Tangu Adam hadi Yesu.
Hiyo bilioni ni Uzushi na uongo.

Ukitaka kupata prove angalia population
 
Dunia ina Mika 5000
Tangu Adam hadi Yesu.
Hiyo bilioni ni Uzushi na uongo.

Ukitaka kupata prove angalia population
Sio kweli. Dunia imekuwepo kwa mabilioni ya miaka.Kupima umri wa sayari kwa population haiwezekani.

Kuhusu kuumbwa kwa binadamu wa kwanza ,imepita zaidi ya miaka 6000 kulingana na wataalamu wa biblia.
 
Ugonile,

Mimi ni mzaliwa wa miaka ya 90's, nimekulia kote kijijini na mjini kwa nyakati tofauti. kwa kijijini mtu ulikua na uwezo wa kufanya sensa ya raia ukiwa kibarazani kwako umekaa huku unatafuna karanga au mahindi ya kuchoma.

Katika kukua kwangu nikifanya ulinganifu wa idadi ya watu katika miaka ya 1990 mpaka 2010 ilikua ndogo sana kulinganisha na saiv.

Nina imani ukirudisha miaka nyuma basi idadi ya watu ilikua ndogo zaidi kitu ambacho kinafanya niamini kuwa hii Dunia haina muda mrefu tangu kuwepo kwake, kama sivyo basi hakuna watu walikua wanaishi huko nyuma.

View attachment 3600434
Nawasilisha
Siri za Mbinguni hizo huwezi elewa😁
 
Duuh, hawa wazungu washenzi kweli ! ati binadam ali change stages up to homo sapiens, af wanachuchorea kabisa ni black race 😇
Homo sapiens, emerged in Africa roughly 300,000 years ago. Dark brown pigmentation was the baseline, ancestral skin color for all modern humans. The lighter skin tones we see today are a relatively recent evolutionary development:

🔹When groups of Homo sapiens began migrating out of Africa into higher northern latitudes (like Europe and Asia) between 70,000 and 50,000 years ago, they encountered much weaker sunlight.

🔹In these northern regions, dark skin blocked too much UV light, making it difficult for the body to synthesize Vitamin D, which is critical for bone health and immune function.

🔹Over thousands of years, populations living far from the equator underwent genetic mutations that reduced melanin production, developing lighter skin to absorb more Vitamin D from weak sunlight.
 
Duuh, hawa wazungu washenzi kweli ! ati binadam ali change stages up to homo sapiens, af wanachuchorea kabisa ni black race 😇
Yawezekana Nina mitazamo miwili kuhusu mtazamo wako.
1. Binadamu wa kwanza aliishi Afrika, na ndio ktk kuhama hama wakawa Wana evolve kwenda ktk muonekano tofauti.
2. Yawezekana hata huko makwao binadamu alitokea ktk huohuo muonekano wao, yaani wazumgu walitokea huko huko maulaya, wachina hukohuko uchinani, nk
 
Ugonile,

Mimi ni mzaliwa wa miaka ya 90's, nimekulia kote kijijini na mjini kwa nyakati tofauti. kwa kijijini mtu ulikua na uwezo wa kufanya sensa ya raia ukiwa kibarazani kwako umekaa huku unatafuna karanga au mahindi ya kuchoma.

Katika kukua kwangu nikifanya ulinganifu wa idadi ya watu katika miaka ya 1990 mpaka 2010 ilikua ndogo sana kulinganisha na saiv.

Nina imani ukirudisha miaka nyuma basi idadi ya watu ilikua ndogo zaidi kitu ambacho kinafanya niamini kuwa hii Dunia haina muda mrefu tangu kuwepo kwake, kama sivyo basi hakuna watu walikua wanaishi huko nyuma.

View attachment 3600434
Nawasilisha
Kwa nini uaminishwe??, Si ufanye tafiti then ulete majibu yako tuone yanasemaje.. 🤝
 
Back
Top Bottom