Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Retired Prof. Of love ngoja nicheke kwanza
Ahahaha
Anafanya shughuli gani, na je, unapajua kazini kwake?
Ahahaha
Anafanya shughuli gani, na je, unapajua kazini kwake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivo yaanJibu unalo tayari haujakosea.
Kuna jamaa alikuwa anakula mke wa mtu. Mwanamke alikuwa anafanya kazi na mumewe taasisi moja ofisi tofauti. Mume anamsimamia sana. Hakuna kwenda out na marafiki wala popote bila taarifa kwa mume.Mtu anayekupenda, hata awe Busy kiasi gani lazima atakuwa na muda nawe.Acha kulazimisha upendo, pendo la kweli huwa na natural flow.
Hpn mkuu sijui ivo vyote.Anafanya shughuli gani, na je, unapajua kazini kwake?
Pole sana kijana 😂😂. Tafut ela t apo.Wakuu Umuofia,
Kuna pisi nimeielewa kiaina nimejaribu kuiimbisha walau tuonane uso kwa macho.
Lakini mara zote napata kizuizi kutoka kwa hii pisi. Mara zote pisi inadai iko bize sana kiasi hana muda kabisa wa kuonana namimi.
Sasa nimerudi humu Jf kuwalilia wakuu wangu. Najua humu kuna mafataki wazoefu wa sasa na wastaafu/ma Mr. luv/ makungwi wabobevu/ mafuska wa sasa na wenzao wastaafu/ mashangingi vijogoo wakushauri kitu.
Hivi wakuu hiki kisingizio cha ubize cha hii pisi kina ukweli au ndo nikatafute hela kwanza?
Nitafutie hela kwanza au utaacha kua busy...Nimefika 😊
Sawa sawaMsumbue kwa muda wa mwezi mmoja ukiisha huo mwezi na haeleweki usimtafute Tena hata kumtext kwa salamu achananae, kaa chini vuta bangi zako fanya maisha yako...
Sawa sawaMtu anayekupenda, hata awe Busy kiasi gani lazima atakuwa na muda nawe.Acha kulazimisha upendo, pendo la kweli huwa na natural flow.
Kibubu kijae kwanza.Nitafutie hela kwanza au utaacha kua busy...
nakuelewa mkuu.Mwanamke kama hataki basi muache aende zake-Afande Sele
Unafanya kosa kubwa sana, huyo hakutaki na ukiendelea kuforce utapata hasara za kijinga. Muombe mara ya mwisho muonane, akisema yupo busy mjibu "okay", then futa namba, sms na kila kinachomhusu, hamia kwa pisi nyingine!