Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Huna ulijuwalo wewe.
Hata utembee uchi, kwa sasa hutaweza kuliona shimo la Volcano ya Kilimanjaro nje ya picha za satellite.
Na utazipata wapi hizo picha kwa urahisi zaidi ya google?
Hakika mnazidi kudhihirisha ujinga mlio nao.
Kwa watu kama wewe, Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
nitakwenda na drone camera yanguHuna ulijuwalo wewe.
Hata utembee uchi, kwa sasa hutaweza kuliona shimo la Volcano ya Kilimanjaro nje ya picha za satellite.
Na utazipata wapi hizo picha kwa urahisi zaidi ya google?
Hakika mnazidi kudhihirisha ujinga mlio nao.
Kwa watu kama wewe, Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
Unanitia hamasa, mi niliishia Mandala hut (km sijakosea jina), kituo cha kwanza tu!! Nafikiri ntarudi tena kumalizia Mungu akinijalia uzimaNnachokifaham, pale kileleni kwenye usawa wa juu kabisa wa mlima, hakuna shimo eneo hilo isipokua
unaweza kuona kwa mbali duara eneo lililopo hilo unaloliita shimo, ni njia ambayo ule ujiuji ulitokea hapo kutoka ardhini wakati wa volcano, ni kama kidonda kilichopona lakini hakikufunga, kuna uwazi. Nilitamani sana kwenda karibu na hilo eneo ila nilichoka mno hata kufika Uhuru peak ilikua bahati.
Hayo ya maji ya moto watakuja wataalam.
Huko kileleni hakuna Shira wale Mawenzi ndugu yangu. Wewe naona unapajua kwa kusoma Satellite image. Mwenzio Mimi nimekanyaga pale Live 22/3/1986. Tena Uhuru Peak. Sasa ili kukutoa pepo wa kudharau na kutoamini Faiza, Mawenzi ni kilele cha pili cha mlima Kilimanjaro. Ukifika Horombo hut utakiona Vizuri tu ila sikuona watu wanaopanda hicho kilele. Wanasema kina miamba iliyochoka inayoporomoka unapotumia kamba kupanda. Imechongoka na ni hatari kwa maisha. Kutoka Kibo hut kwenda Uhuru peak kuna Hans Meyer Cave na Gilmans Point. Hiyo Shira na Mawenzi hakuna Route hiyo.
Ahsante sana kwa maelezo mazuri na ya kueleweka.nashukuru kwa wote mliojaribu kujibu na kuelezea kwa uelewa wenu. anyway, hi hivi! kupitia machame mpaka top ya mlima ni 42kms, kupitia marangu ni 38kms. mlima Kilimanjaro una 5 zones, (1) cultivate,0-1000masl,(2) montana Forest Park1000-3000masl (3) moorland 3000-4000masl(4) alpine reset 4000-5000masl (5) ice cap au summit,5000-nakuendelea. kwa wale waliopanda watakua wananielewa, base ya mlima Kilimanjaro ipo kwenye 4600-4700-4800 masl. hii inakua ni camp ya mwisho kabla ya ku summit,kutoka kwenye base camp mpaka highest point kwa wanaopitia south na western side ya mlima ni 5kms umbali. mwendo wa pole pole ni 6-7hrs walking. baridi ni kali kutegemeana na majira ila normal ipo 3-7minis.juu ya mlima kabisa kuna mabarafu makubwa yanaitwa glacier, ukweli shimo lipo ila ni mbali sana kutokea highest point. kwa kutembea kwa mtu mwenye nguvu haswa wapanda milima anaweza tumia saa 1-1:30 kufika. hili shimo linajulikana kama ash pit, au ash cone. kuingia unaweza ila sio mbali sana maana limechongeka kwa kama rim. na halina kina kikubwa ukiangalia kwa nje. nimewahi kuingia kama mita 5 .ila kuna wakati linatoa harufu kali sana ya sulphur ambayo hupelekea baadhi ya watu huumwa vichwa, kutapika,tumbo kuvurugika n. k.unaweza kuniuliza chochote kuhusu mlima Kilimanjaro na nitakujibu. kwani mimeutembea wote na nimeweza kufika highest point zaidi ya 100 times. pia mlima meru, oldonyo lengai n. k asanteni sana
Gharama za kupanda mlima ni kama sh ngapi? Maana nimeona wadau wakilipigia chapuo suala la gharamanashukuru kwa wote mliojaribu kujibu na kuelezea kwa uelewa wenu. anyway, hi hivi! kupitia machame mpaka top ya mlima ni 42kms, kupitia marangu ni 38kms. mlima Kilimanjaro una 5 zones, (1) cultivate,0-1000masl,(2) montana Forest Park1000-3000masl (3) moorland 3000-4000masl(4) alpine reset 4000-5000masl (5) ice cap au summit,5000-nakuendelea. kwa wale waliopanda watakua wananielewa, base ya mlima Kilimanjaro ipo kwenye 4600-4700-4800 masl. hii inakua ni camp ya mwisho kabla ya ku summit,kutoka kwenye base camp mpaka highest point kwa wanaopitia south na western side ya mlima ni 5kms umbali. mwendo wa pole pole ni 6-7hrs walking. baridi ni kali kutegemeana na majira ila normal ipo 3-7minis.juu ya mlima kabisa kuna mabarafu makubwa yanaitwa glacier, ukweli shimo lipo ila ni mbali sana kutokea highest point. kwa kutembea kwa mtu mwenye nguvu haswa wapanda milima anaweza tumia saa 1-1:30 kufika. hili shimo linajulikana kama ash pit, au ash cone. kuingia unaweza ila sio mbali sana maana limechongeka kwa kama rim. na halina kina kikubwa ukiangalia kwa nje. nimewahi kuingia kama mita 5 .ila kuna wakati linatoa harufu kali sana ya sulphur ambayo hupelekea baadhi ya watu huumwa vichwa, kutapika,tumbo kuvurugika n. k.unaweza kuniuliza chochote kuhusu mlima Kilimanjaro na nitakujibu. kwani mimeutembea wote na nimeweza kufika highest point zaidi ya 100 times. pia mlima meru, oldonyo lengai n. k asanteni sana
Wewe kama mimi!Niliwahi kujaribu nikaishia njiani(mandara) kupitia marangu na kiranga chote kikaisha. Yaani sina hamu na sirudii kwakweli.
Ndo siku ngapi hii?route nzuri kwa beginner ni marangu....wanaita 'cocacola route'...
Ndo siku ngapi hii?
itabidi tujijengee utamaduni wa kutalii ndani ya nchi yetu maana maswali tunayouliza yako ki nadharia sanaaa
kweli we mchovu ndugu yangu. kutoka getini mpaka mandara ni 8kms.so unashindwaje kuendelea?Wewe kama mimi!
sio kweli Samaritan! ukiwa kwenye base ya mlima ambayo ni 4600masl unauona kama unavyoona kwenye picha,ila ili uweze kuuona vizuri ni ukiwa south side ya mlima. nitakuwekea picha hpa mkuuNaomba nitoe maelezo mafupi kwa uelewa wangu, nakubaliana na maelezo ya mama yangu FaizaFoxy kwamba ukiwa kule juu, hata hauwezi kuona vitu kama tunavyoona kwenye picha. Utaambulia kuona majabali na miamba ya barafu tu. Ni eneo kubwa sana, kiasi kwamba kutoka uhuru peak hadi huko karibu na eneo la hilo shimo, ni mwendo. Hivyo basi, usitegemee kuona umbo au sura ya mlima kama tunavyoona kwenye picha za Mlima Kilimanjaro, zinakua zimepigwa kwa mbali ili kuchukua eneo kubwa la mlima, lakini ukiwa kule juu, mandhari iko tofauti sana
sio kweli Samaritan! ukiwa kwenye base ya mlima ambayo ni 4600masl unauona kama unavyoona kwenye picha,ila ili uweze kuuona vizuri ni ukiwa south side ya mlima. nitakuwekea picha hpa mkuu
Naomba nitoe maelezo mafupi kwa uelewa wangu, nakubaliana na maelezo ya mama yangu FaizaFoxy kwamba ukiwa kule juu, hata hauwezi kuona vitu kama tunavyoona kwenye picha. Utaambulia kuona majabali na miamba ya barafu tu. Ni eneo kubwa sana, kiasi kwamba kutoka uhuru peak hadi huko karibu na eneo la hilo shimo, ni mwendo. Hivyo basi, usitegemee kuona umbo au sura ya mlima kama tunavyoona kwenye picha za Mlima Kilimanjaro, zinakua zimepigwa kwa mbali ili kuchukua eneo kubwa la mlima, lakini ukiwa kule juu, mandhari iko tofauti sana
Kamalizie tu, mie sina hamu, sirudi tena.Unanitia hamasa, mi niliishia Mandala hut (km sijakosea jina), kituo cha kwanza tu!! Nafikiri ntarudi tena kumalizia Mungu akinijalia uzima