Nashukuru...Panafikika ukiwa kileleni unapaona. Kilele ni kando kando ya hiyo crater. Uzoefu wangu wa miaka hiyo niliona kwa macho yangu. Tukaambiwa tukae mbali tusisogee sana kuna Hewa chafu na uvutano.
garama sio kubwa ndugu yangu kama mpo vizuri kiafya kwani mnaweza kujibebea kila kitu, mkiwa na 200000@ kwa watu 5+mnaweza kufanya safari ya siku 5-6.na ikatosha kila kitu. mwaka 2012 tulifanya safari ya siku 6 kwa sh 45000,kuanzia park fee, transportation,chakula n. kJambo zuri sana ila gharama za kufika huko ni kubwa mno si rahisi kwa mtu wa kipato cha chini kumudu hizo safari
data, niamini mkuu hayo mambo ni ya kawaida sana.Bila picha umetukosea sana.. Tuoneshe ukiwa ktk shimo hilo..
pole sana Samaritan. usiwazeHicho ndio nnachokisema sasa, muonekano wa mlima kadri unavyo usogelea uko tofauti sana na wengi wanavyouona kwenye Picha mkuu.
Ukiwa Karanga, Barafu au Baranco si unakumbuka unavyoonekana?..hahahahaa ila sitaki kuwaza kuhusu Lava Tower!
Nimekusoma vizuri sana ndugu yangu....data, niamini mkuu hayo mambo ni ya kawaida sana.
ni ngumu kidogo mkuu, kwani mfano usafiri ni moshi to machame sh 60000,kwenda siku ya kurudi ni sh 40000.gasi yakupikia 20000+,viingilio na n. k, haitoshi mkuu. mkiwa kama 5+ naweza kwenda kwa sh 200000 kila mmoja. pia mnahitaji kujibebea kilia kitu ili kupunguza wasaidizi.hapa mtakwenda na guide,mpishi na wasaidizi 2.pia kuna suala la vifaa, namaanisha person equipment gear.Dah ahsante ila hizi gharama asee ndyo maana wazawa wengi hata hawajisumbui kwenda .....mfano mkuu mkiwa watu wanne bajet ya laki moja elfu kila mtu ambapo jumla kuu laki nne itatosha kweli kukwea huo mlima .....kwa uzoefu wako em nisaidie kdogo
panafikika vizuri sana data. ila hapa ni mbali kidogo na hilo shimo. nakuahidi nitakuletea picha za hilo shimo vizuri mwezi ujao kwenye tarehe 15/07/2017.na mtaona ukweli.Stunningly amazing... So thats the very peak... !?? Kumbe hapo hapo shimoni panafikika...!!!!
ndege ipo! ila sio kwenye kilele cha mlima. ipo umbali wa 4400masl ukitokea mawenzi turn hut. kwenye jangwa kubwa la alpine deset, ni miaka ya karibuni tu ilianguka, na ilikua na wageni kutokea Italy kupitia kenya. mabaki yapo na yanaonekana kwa waliopita hii njia watakua wanaelewa naongelea eneo gani,kwa ipo nijani kabisa.
mkuu, hili jangwa lipo katika mojawapo ya zones za mlima Kilimanjaro. hivyo basi unapoingia tu kwenye mita 4000 masl moja kwa moja utakutana na hili jangwa. haijalishi umepitia njia gani mkuu. hii ni zone ya 4,inaitwa alpine deset. asante mkuuAsante kwa Elimu ndiyo raha ya Jf! Ila neno alpine desert sijawahi kutana nalo. Jangwa la pale mbona kubwa sana linaextend hadi wapi? Wa Route nyingine ukitoa Marangu wanalipita?
Heehhh.... Wewe umechanjia wewe !!! Si bure...Hiyo crater aliyofika iko wapi?
Unaota?
Usijali na wewe ukifika miaka 18 utaanza kufika kileleni tu,just be patient. A little joke....teh...teh...teh..!Ni vizuri waliowahi kufika KILELENI watujuze...
Ahsante Mkuu.panafikika vizuri sana data. ila hapa ni mbali kidogo na hilo shimo. nakuahidi nitakuletea picha za hilo shimo vizuri mwezi ujao kwenye tarehe 15/07/2017.na mtaona ukweli.
mkuu nenda katafute kitu kinaitwa crater ni nini! nitaleta video ya baadhi ya wageni na wazawa wakicheza American football ndani ya crater. kwenye hilo shimo hapaitwi crater!!! linaitwa ash pit, au ash cone. crater ni bonde linalozungukwa na milima hili bonde ndio linaitwa crater. umbali kutoka crater mpaka highest point ni around 100mt higher. na kutoka crater mpaka kwenye hilo shimo ni mwendo wa 45 minutes na ni tofauti ya mita around 50 higher from crater ground.Mkuu naomba ukate huu ubishi... Hapo kwenye crater panafikika au hapafikiki...!?
kwa sisi tuliofanikiwa kulala juu ya huu mlima hua tuna camp crater, ni sehemu kubwa sana ndugu zangu. unahitaji mda mwingi sana kupatembea, hata kwa siku moja huwezi kumaliza kutembea kwenye hii ground ya craterMkuu naomba ukate huu ubishi... Hapo kwenye crater panafikika au hapafikiki...!?
hakuna uhakika kuhusu hilo kwani tungeshaona mabaki yake. asante mkuuHiyo ndege ya hiyo theory ni ya zamani sana eti kusema ilikuwa na Wazungu.
Ahsante. Ila kwenye hilo shimo ndio hamruhusiwi fika!??mkuu nenda katafute kitu kinaitwa crater ni nini! nitaleta video ya baadhi ya wageni na wazawa wakicheza American football ndani ya crater. kwenye hilo shimo hapaitwi crater!!! linaitwa ash pit, au ash cone. crater ni bonde linalozungukwa na milima hili bonde ndio linaitwa crater. umbali kutoka crater mpaka highest point ni around 100mt higher. na kutoka crater mpaka kwenye hilo shimo ni mwendo wa 45 minutes na ni tofauti ya mita around 50 higher from crater ground.
tatizo kubwa watu hawajui maana ya crater mkuu, ndio maana kunakupishana hapo.Heehhh.... Wewe umechanjia wewe !!! Si bure...
good thanks.Ahsante Mkuu.
Blessed.