Hivi ni kweli kileleni mwa mlima Kilimanjaro kuna shimo?

Mkuu hata Mimi nakubishia ili unipe hiyo offer
nimeshatoa mkuu. ni moja tu nilikua nayo. ila usijali kama hutajali nicheki inbox maana nitakua na trip nyingi tu hivyo nitajitahidi kutoa moja moja kila nitakapokua na trip.ila njia zinabadilk kila mara na sio rongai kwa mda wote.
 
nasikia kwenye creater kuna reupia za mjerumani zilifukiwa humo
 
nimeshatoa mkuu. ni moja tu nilikua nayo. ila usijali kama hutajali nicheki inbox maana nitakua na trip nyingi tu hivyo nitajitahidi kutoa moja moja kila nitakapokua na trip.ila njia zinabadilk kila mara na sio rongai kwa mda wote.
Mkuu kwa nini watu wanapata shida sana kupanda? Kwani miaka yote hawajafanikiwa kuweka miundo mbinu ya barabara ili watu wapande na bodaboda au bajaj?
 
huko mlimani kuna jangwa kumbe
 
Kuna kipindi nilipandaga kule sasa kipindi nashuka nilikaa kidogo pale gilmans kwa bahati mbaya nikasahau camera aina ya Nikon,Nilishindwa kuirudia japo kuwa camera yenyewe haikuwa ya kwangu ilinibidi niongee na mmiliki kiutu uzima.
 
shimo lile
 
Mkuu kwa nini watu wanapata shida sana kupanda? Kwani miaka yote hawajafanikiwa kuweka miundo mbinu ya barabara ili watu wapande na bodaboda au bajaj?
acha utani ndugu yangu. unaufahamu vizuri mlimani Kilimanjaro? unajua maana ya national park? okay kwa ufupi tu mlima Kilimanjaro ni moja wapo ya urithi wa dunia so vitu artificial havitakiwi ili kuweza kuutunza ,ili utumike vizazi na vizazi. zingatia hayo mkuu japo nimekupa kidogo sana
 
Mkuu kwa nini watu wanapata shida sana kupanda? Kwani miaka yote hawajafanikiwa kuweka miundo mbinu ya barabara ili watu wapande na bodaboda au bajaj?
njia ni nzuri tu wala hazina shida kabisa
 
mkuu, hili jangwa lipo katika mojawapo ya zones za mlima Kilimanjaro. hivyo basi unapoingia tu kwenye mita 4000 masl moja kwa moja utakutana na hili jangwa. haijalishi umepitia njia gani mkuu. hii ni zone ya 4,inaitwa alpine deset. asante mkuu
"masl" kwa hilo neno unakuwa unamaanisha nini kiongozi?
 
Sio kejeli,akili ya kawaida kabisa ni kwamba hakuna aliefika huko mpaka kwenye hilo shimo,kutokana na kani ya mvutano inayo sababishwa na volcano.
Acha uongo wewe kinachowafanya wengi kutofika kileleni moja ni woga tu hama kingine juu kabisa kuna creta ambayo imezungukwa kwa pembeni na theluji ambayo jua likiwaka huyeyuka na kutiririsha maji kuelekea chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…