Naomba nitoe maelezo mafupi kwa uelewa wangu, nakubaliana na maelezo ya mama yangu
FaizaFoxy kwamba ukiwa kule juu, hata hauwezi kuona vitu kama tunavyoona kwenye picha. Utaambulia kuona majabali na miamba ya barafu tu. Ni eneo kubwa sana, kiasi kwamba kutoka uhuru peak hadi huko karibu na eneo la hilo shimo, ni mwendo. Hivyo basi, usitegemee kuona umbo au sura ya mlima kama tunavyoona kwenye picha za Mlima Kilimanjaro, zinakua zimepigwa kwa mbali ili kuchukua eneo kubwa la mlima, lakini ukiwa kule juu, mandhari iko tofauti sana