Hivi ni kweli kileleni mwa mlima Kilimanjaro kuna shimo?

Hivi ni kweli kileleni mwa mlima Kilimanjaro kuna shimo?

acha kuwadanganya ndugu yangu. mimi nimekwenda sana na halina shida kama unavyosema. nitakuwekea hapa picha ya moja ya mashimo ya aina hiyo. hili ni la mlima meru na nimeipiga mwezi wa pili mwaka huu.
d6635286b70ae2154ff03d30b459167a.jpg
tatizo kubwa lakufika hapa ni oxgen kua ndogo, fahamu kua above 5000m there is no life. hakuna uhai ndio maana watu wanapata shida na mwendo kua mdogo sana. ila kwa watu walio wahi kua kwenye miinuko hawapati shida sana hivyo huitaji kufanya kazi mazoezi magumu ili uweze kufika. kama mwili wako utaweza ku adapt kwa haraka hautaona shida
 
hapa nipo na mshikaji wangu wa nguvu. nimewahi kukaa top ya huu mlima kwa siku 7,hii tofauti na mwanzo wa kupanda!! jumla nilikaa siku 14.
 
pole sana ndugu yangu. nina safari ya kupanda tarehe 10/07/2017 kwa siku 5 rongai route karibu sana ukajaribu tena
Hivi rongai route ni fupi au?
Mie kupanda mlima tena hapana jamani, sitaki kabisaaaa!!!
 
naomba kuuliza ukitaka kupanda mlima inachukua muda gani na wapi niende kwa maelezo zaidi na bei??

Ukipanda mlima inategemea root utakayochagua ndiyo itakupangia siku za kupanda hadi kushuka. Root fupi siku 5 kupanda na kushuka, ndefu 6 hadi kumi kupanda na kushuka. Pia inategemea nguvu zako na uwezo unaweza kipunguza siku. Pakwenda ili uweze kupanda ni kupitia kampuni yoyote ya utalii; ama ukipata mwongoza njia na ukamlipa vizuri unaweza kulipia getini.
 
hapa nipo na mshikaji wangu wa nguvu. nimewahi kukaa top ya huu mlima kwa siku 7,hii tofauti na mwanzo wa kupanda!! jumla nilikaa siku 14.
Ulikaa ukifanya nini huko?
 
hapa nipo na mshikaji wangu wa nguvu. nimewahi kukaa top ya huu mlima kwa siku 7,hii tofauti na mwanzo wa kupanda!! jumla nilikaa siku 14.
Hiyo ni fix mkuu, ungekuwa Umekaa kule siku saba usingeweza kupost leo Jf, ungekuwa mahali pema muda huu.
 
anhaa!ndio kuna shimo kubwa sana na ndani kabisa kuna mifupa ya Lucifer,alitupwa huko zamani sana!na kama hujui bustani ya Eden ilikuwa pale Uchira na Kiboriloni!

🙂 🙂
 
Hiyo ni fix mkuu, ungekuwa Umekaa kule siku saba usingeweza kupost leo Jf, ungekuwa mahali pema muda huu.
migomba usiwe mbishi ndugu yangu. huyu mshikaji wangu pia amewahi kukaa zaidi ya siku 20
 
Hiyo ni fix mkuu, ungekuwa Umekaa kule siku saba usingeweza kupost leo Jf, ungekuwa mahali pema muda huu.
unataka uthibitisho wa aina gani mkuu? ningekushauri uwasiliane na Kilimanjaro national park na uwaulize wapo watu wamewahi kukaa juu ya mlima Kilimanjaro kwa mda huo? pia unaweza kuwasiliana na mamlaka ya hali ya hewa na uwaulize juu ya hili. kama una mfahamu mmoja wa wakurugenzi wa mamlaka ya hali ya hewa Tanzania anaeitwa dr mpeta, atakueleza haya. pia kuna dr mmoja yupo sua morogoro anaitwa dr tungaraza. wanaweza kukudhibitishia haya kwani waliwahi kufanya baadhi ya research na walitumia siku zakutosha
 
Siku zote unapofika kileleni lazma uchoke na uone maluweluwe kashimo kalichokuwa kakionekana kadogor utaliona ni bonge la shimo, hongera kwa kufika kileleni na kuona maluweluwe, ila kileleni uhuru peak si pa kuhadithiwa ni vizuri ukafika pia ktk kilele chake, UTALII WA NDANI
Wanaume ni kawaida kufikika kileleni ila kwa wanawake huwa ngumu hadi wawezeshwe
 
Ni kweli kuna shimo ambalo kijiografia Lina it was vent. Hili ni tundu linalotokea chini kuanza ukanda wa upper ama lower mantle. Tundu hilo ndilo linalopitisha magma ambayo huwa ni kama ujiuji wa moto. Kwa kuwa baada ya mlipuko wa kwanza (active) kuna kipindi ambacho mag and inatoka bila kuripuka hivyo tundu hilo linaendelea kuwepo kama Mlima haujafa kabisa yaani uko dormant. Kijiografia eneo hilo linaitwa crater yaani bonde juu ya Mlima huku humo ndani barafu inaliziba na ni vigumu kuliona.
Vipi mkuu inavyosemekana kuna ndege ya watalii iliwahi kunasa hapo ni kweli?
 
Back
Top Bottom