Hivi ni kweli kuna maisha baada ya kifo?

Hivi ni kweli kuna maisha baada ya kifo?

Bora uamini Mungu yupo hapa duniani kuliko usiamini ukaenda na ukamkuta
 
Kuweka kumbukumbu sawa wewe ni mkristo bilashaka

Utajiskiaje ukiambiwa na muislamu kua ni heri ukaamini Allah ndio Mungu wa kweli na ukampuuza huyo unayemuamini sasa ili hata ukifa na usipate nafasi ya kukutana naye itakuwa fresh tu kuliko kujitia kibri na kumpuuza mtume muhammad na mwisho ukafa ukakutana na Allah?

Kwa hiyo utakubali kusilimu?
Hapo ndo mnapo mchanganya mleta uzi...

Hizi Dini tunaamini kweli...

Lakini zimeletwa na wageni tu.Kwa kila kanda na ulowezi na Dini zake.Hapo ndo shida ilipo

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kuna nadhalia ; wanasayansi wamegundua kuweza kuirudishia uhai miili/watu waliokufa baada ya miaka kadhaa baadae kwa hivyo watu wanalipia kuifadhi miili ya wapendwa wao isiharibike kwa pesa nzuri tu... mkuu karibu duniani
mh hii kitu ipoje
 
Mkuu sihitaji ni kwambie aina zilizopo hope unajua.
Pili evolution ya Dwarn haina mantiki kwa sababu hakuna sehemu ameelezea orgin of species.
Kumbe darwin naye ana theory ya evolution, hivi si ni wewe ambaye ulisema darwin hana theory ya evolution?
 
Bora uamini Mungu yupo hapa duniani kuliko usiamini ukaenda na ukamkuta
Hii concept huwa sikubaliani nayo..
Hofu haiwezi kukuongoza ukafanya maamzi stahiki.
Uamini tu kwa sababu wengi wanaamini na wanawatishia kiberiti wasioamini?
Mungu akupokee mbinguni kisa uliogopa kiberiti na si uwezo wake?
 
Kumbe darwin naye ana theory ya evolution, hivi si ni wewe ambaye ulisema darwin hana theory ya evolution?
Kuwa theory na kukubaliwa na wanasayansi ni vitu viwili tofauti Scars hope unajua.
Nilichokipinga, ni wewe kusema wanasayansi walikubali theory zake kuhusu evolution.
Great thinker imekuwaje mkuu?
 
Lakn mbna tunashuhudia hao wanaoenda against nature wakineemeka ? Mfano mafisadi weng wana maisha ya next levo yaan wanaenjoy maisha to the maxmum,,, how nature deals with such situations?
Ufisadi ni against nature ?

Binadamu ni mchoyo, mbinafsi n.k. (survival of the fittest) hio ndio nature of the jungle...., Ingawa binadamu wangekuwa na akili au civilized kama wanavyodhania wangeungana na kupambana na mazingira na other species..., as there is enough for everyone need and not everyone's greed..., na huu uchoyo / ubinafsi ndio utakuwa the end of human race as a species kama vile species nyingine zilizokuwepo hapo kabla na zikawa extinct...
 
Hii concept huwa sikubaliani nayo..
Hofu haiwezi kukuongoza ukafanya maamzi stahiki.
Uamini tu kwa sababu wengi wanaamini na wanawatishia kiberiti wasioamini?
Mungu akupokee mbinguni kisa uliogopa kiberiti na si uwezo wake?
waafrika wengi sana wanaishi katika hii hofu
 
Bora uamini Mungu yupo hapa duniani kuliko usiamini ukaenda na ukamkuta
Sasa Mungu anasema yeye ni muweza wa yote na hataki kutoka hadharani tumuone tuamini wote kwa pamoja. Wewe unamuelewaje? Alafu wachungaji kanisani wanatupiga mikwara tusilitaje bure jina la MUNGU wetu. Kwanini? Mungu kama kweli yupo basi anavi-element vya u-dictator kwa mbali
 
Kama umesoma vitabu vya dini kuu mbili ni dictator kamili pengine kuwahi kutokea.
Lakini hili halifanyi asiwe sahihi ila kwa namna vitabu vya dini viliivyo m-proclaim ni ngumu
sana kumuelewa.
 
Back
Top Bottom