Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Kilichofanyika kabla ya uchaguzi ni ngumu kuitetea serekali hii kwa hoja kuhusu kushaurika. Njoo na maelezo mengine lakini ukweli uko wazi serekali hii inadhani inaweza kufanya chochote bila kuwajibishwa. Huyo Kitima ni baadhi ya watanzania waliofikia mwisho wa uvumilivu wa utendaji wa serekali, achia mbali namna walivyoingia madarakani. Ni bora ungekaa kimya tu, kuliko kuonyesha Padri Kitima afanyacho si sahihi.Kipekee sana nimekuwa na heshma kubwa na ukatoliki. Kama ilivyo kwa wakristo wengi, wengi wetu, kwa kiasi kikubwa malezi ya utotoni tumeyapatia katika kanisa katoliki, baadaye baadhi yetu kwasababu mbalimbali tumejikuta ni wakristo wa madhehebu mengine.
Ni ushauri gani unaodhani haujatolewa kwa rais hadi sasa, ili ufikie hivi vitisho vya kipuuzi ulivyoweka hapa? Tukianzia na uchaguzi wa juzi, ni nani hakuona jitihada za wazi kuisihi serekali ikishauriwa kuhusu uchaguzi wa haki? Nguvu ya serekali inatokana na uhalali wa kuchaguliwa na wananchi, sio kwa kupora uchaguzi.Kikubwa watu waishi tu ,hayo mengine ni biashara za watu...Kama KITIMA ni mkamilifu basi sisi wengine hatuamini katika ukamilifu.
Mnajiitaje Taasisi kubwa halafu mnashindwa kwenda Ikulu kushauri zaidi ya kuleta ujuaji kwenye majukwa...Hakuna ushauri wa hivyo kama unajielewa hauwezi kuandika mambo mtandaoni au kubwabwanya kwenye kanisa kwani uliambiwa huyo Rais yuko kanisani hapo?
Nyie mnapenda kuonesha ubabe wenu ,hapo mnafeli sana kwa sababu serikali ni kubw akuliko kanisa : Mtabisha ila ndio ukweli si umeona njama ya Oktoba 29? Si mmeona mlivyoshindwa pale Dp world.
Si mmeona unapewa ruzuku kwenye hizo Taasisi zenu ,si mmeona mnasemehewa kodi kwenye biashara zenu...Basi kuweni wapole na Rais alishasema hamna dini kubwa kuliko nyingine kama hamuelewi endeleen ni taarabu.
Mnakosa kitu kinaitwa busara na hapo mnakuwa wajinga automatically ,hamna njia nzuri ya kufikisha ujumbe zaidi ya kujinadi kwambwa wakubwa ...Kitima anasema eti wana uzoefu wa kufany kazi na serikali zote Dunia! Kitima yeye kafanya kazi na serikali ipi nje ya Tanzani au kujinadi kwamba wao ni wakubwa duniani...
Tumieni akili sio kukariri.
Kikubwa watu waishi tu ,hayo mengine ni biashara za watu...Kama KITIMA ni mkamilifu basi sisi wengine hatuamini katika ukamilifu.
Mnajiitaje Taasisi kubwa halafu mnashindwa kwenda Ikulu kushauri zaidi ya kuleta ujuaji kwenye majukwa...Hakuna ushauri wa hivyo kama unajielewa hauwezi kuandika mambo mtandaoni au kubwabwanya kwenye kanisa kwani uliambiwa huyo Rais yuko kanisani hapo?
Nyie mnapenda kuonesha ubabe wenu ,hapo mnafeli sana kwa sababu serikali ni kubw akuliko kanisa : Mtabisha ila ndio ukweli si umeona njama ya Oktoba 29? Si mmeona mlivyoshindwa pale Dp world.
Si mmeona unapewa ruzuku kwenye hizo Taasisi zenu ,si mmeona mnasemehewa kodi kwenye biashara zenu...Basi kuweni wapole na Rais alishasema hamna dini kubwa kuliko nyingine kama hamuelewi endeleen ni taarabu.
Mnakosa kitu kinaitwa busara na hapo mnakuwa wajinga automatically ,hamna njia nzuri ya kufikisha ujumbe zaidi ya kujinadi kwambwa wakubwa ...Kitima anasema eti wana uzoefu wa kufany kazi na serikali zote Dunia! Kitima yeye kafanya kazi na serikali ipi nje ya Tanzani au kujinadi kwamba wao ni wakubwa duniani...
Tumieni akili sio kukariri.
Mkuu, wewe unaishi sayari gani?Najaribu kufikiri tofauti, vipi kama Baba yetu Padre Kitima, kwa nafasi yake kama katibu wa Balaza la Maaskofu angeomba kumuona Rais wetu ili kumshauri mambo yote anayodhani kuwa hayopo sawa, katika mazingira yasiyoutweza utu wa Rais wetu, Je, asingepewa nafasi hiyo?
Ulimuona lini kitima ikulu ? Yule kiongozi wa dini tena ana mlengo wa kichadema ,sisi waislamu hatumtambui...Kwa hiyo , serikali iache uchaguzi kisa nn? Uchaguzi umefanyika na watu wameshughulikiwa ..Ni ushauri gani unaodhani haujatolewa kwa rais hadi sasa, ili ufikie hivi vitisho vya kipuuzi ulivyoweka hapa? Tukianzia na uchaguzi wa juzi, ni nani hakuona jitihada za wazi kuisihi serekali ikishauriwa kuhusu uchaguzi wa haki? Nguvu ya serekali inatokana na uhalali wa kuchaguliwa na wananchi, sio kwa kupora uchaguzi.
Kwa kukusaidia tu, hakuna waoga wala wajinga wa kudumu. Ni lazima mfike mahali mjue muda wenu wa kukaa madarakani ukifikia mwisho ni lazima muheshimu, na sio kutumia government apparatus kukaa madarakani kimabavu.
Serikali ni dude kubwa , Usifananishe na takatakaKijana wa shehe Rogo katika ubora wako!
Kwani lazima aende ikulu yeye binafsi, ama unadhani RC ni kama kanisa la Mwamposa? Hakuna aliyezuia uchaguzi, bali watu waligomea uchaguzi wa kihuni. Naona hapo mwisho umemalizia na hoja za kitoto mno!Ulimuona lini kitima ikulu ? Yule kiongozi wa dini tena ana mlengo wa kichadema ,sisi waislamu hatumtambui...Kwa hiyo , serikali iache uchaguzi kisa nn? Uchaguzi umefanyika na watu wameshughulikiwa ..
Sasa kitima na TEC yake hawana hizo nguvu ni waoga ,waimba taarabu ..Serkali ni dude kubwa sana ,acheni kusikiliza matapeli ambao wanajicha baadaye ..Mtu ana tumbo hata kukimbia hawezi eti anahamasisha vurugu 🤣🤣
Utter nonsense! Ushauri gani Fr. Kitima atatoa ambao Fazafaka wa Kizimkazi hajawahi kupewa na watu mbalimbali, including wazee wa chama chake, kwa nyakati tofauti?Kikubwa watu waishi tu ,hayo mengine ni biashara za watu...Kama KITIMA ni mkamilifu basi sisi wengine hatuamini katika ukamilifu.
Mnajiitaje Taasisi kubwa halafu mnashindwa kwenda Ikulu kushauri zaidi ya kuleta ujuaji kwenye majukwa...Hakuna ushauri wa hivyo kama unajielewa hauwezi kuandika mambo mtandaoni au kubwabwanya kwenye kanisa kwani uliambiwa huyo Rais yuko kanisani hapo?
Nyie mnapenda kuonesha ubabe wenu ,hapo mnafeli sana kwa sababu serikali ni kubw akuliko kanisa : Mtabisha ila ndio ukweli si umeona njama ya Oktoba 29? Si mmeona mlivyoshindwa pale Dp world.
Si mmeona unapewa ruzuku kwenye hizo Taasisi zenu ,si mmeona mnasemehewa kodi kwenye biashara zenu...Basi kuweni wapole na Rais alishasema hamna dini kubwa kuliko nyingine kama hamuelewi endeleen ni taarabu.
Mnakosa kitu kinaitwa busara na hapo mnakuwa wajinga automatically ,hamna njia nzuri ya kufikisha ujumbe zaidi ya kujinadi kwambwa wakubwa ...Kitima anasema eti wana uzoefu wa kufany kazi na serikali zote Dunia! Kitima yeye kafanya kazi na serikali ipi nje ya Tanzani au kujinadi kwamba wao ni wakubwa duniani...
Tumieni akili sio kukariri.
Kwa nilivyokuelewa mtoa mada nitoe mfano Father Kitima aombe appointment na mama kwenda kushauri muenendo wa nchi yetu.Kipekee sana nimekuwa na heshma kubwa na ukatoliki. Kama ilivyo kwa wakristo wengi, wengi wetu, kwa kiasi kikubwa malezi ya utotoni tumeyapatia katika kanisa katoliki, baadaye baadhi yetu kwasababu mbalimbali tumejikuta ni wakristo wa madhehebu mengine.
Mbali na malezi ya kiroho kwa wakristo walio wengi; ukiacha serikali, kanisa katoliki ndiyo taasisi yenye shule nyingi za msingi, sekondari, vyuo na vyuo vikuu ambayo vimelea na kuzalisha nguvu kazi kubwa kwa Taifa letu.
Nimeanza na hayo ili kujenga msingi wa ukubwa wa ushawishi wa kanisa katoliki katika jumuiya ya wakristo, wasomi wa nchi yetu na wananchi kwa ujumla.
Kwa muktadha huo na kwakuzingatia mwenendo wa matamko ya Baba yetu Padre Kitima, nimejikuta nawaza kwa sauti; Je, ni kweli kuwa serikali yetu haishauriki kwa kiasi hiki, au na yeye anafanya siasa?
Katika maisha yetu ya kawaida, tunajua ushauri kupokelewa au kutokupokelewa haitegemei tu kuwa ushauri huo ni mzuri kiasi gani bali pia njia zilizotumika kuutoa ushauri wenyewe. Ushauri mzuri ukitolewa katika njia inayowatweza viongozi ni wazi kuwa watauona kama shambulio la kisiasa. Hali kama hii inaleta hisia za kujihami na kujilinda ambazo kwakweli zinachochea mpasuko na uhasama.
Najaribu kufikiri tofauti, vipi kama Baba yetu Padre Kitima, kwa nafasi yake kama katibu wa Balaza la Maaskofu angeomba kumuona Rais wetu ili kumshauri mambo yote anayodhani kuwa hayopo sawa, katika mazingira yasiyoutweza utu wa Rais wetu, Je, asingepewa nafasi hiyo?
Wasiwasi wangu ni kuwa kama ushauri mzuri unaotolewa na walezi na wazazi wetu wa kiroho hautatolewa katika mazingira yanayoepusha hisia za ubaguzi na kutwezwa kwa viongozi, jamii nzima ya watanzania itayakosa matunda mazuri ya ushauri huo.
Mwisho ningependa kutoa tahadhari, Rais wetu ni mzanzibari, na ni Muislam! Tusipokuwa waangalifu, ni rahisi sana harakati za kanisa kudhaniwa kuwa zinafanyika kwa misingi ya chuki na ubaguzi. Kama tukifika hapo, jitihada hizi nzuri zitakuwa sio baraka tena bali balaa.