Kwahiyo hao masheikh ubwabwa walishindwa pia kiwakemea vijana wa kiislan huko misikitini ambao byuma vya oct 29 viliwamba!! Maana siku Ile sio wakatoliki tu ndio waliokufa.Wataendelea kufa kwani si mliambiwa na mnawaoita mashkhe ubwabwa kamba msifanye vurugu ..Hapo mnataulu waliowakemea au waliowachochea