Hivi ni kweli kuwa serikali yetu haishauriki kwa kiasi hiki, au Fr. Kitima unafanya siasa?

CCM mnapenda sana kubembelezwa ili watu wapate haki zao na pia mnapenda sana kufanyia mambo ya umma sirini mkiwa mmejifungia.
 
Kwani lazima aende ikulu yeye binafsi, ama unadhani RC ni kama kanisa la Mwamposa? Hakuna aliyezuia uchaguzi, bali watu waligomea uchaguzi wa kihuni. Naona hapo mwisho umemalizia na hoja za kitoto mno!
Kama ni Rais basi anasoma mambo mengi ,itakuwa hajaona ..Mkubwa wake uko wapi? Yeye kitima kama nan asikilizwe wakati Taasisi yao tu wanashindwa kulipa baadhi ya watumishi wao ,halafu aje kushauri serikali...Atasikilizwa kama mwananchi wa kawaida sio kwamba anajua zaidi
 
Utter nonsense! Ushauri gani Fr. Kitima atatoa ambao Fazafaka wa Kizimkazi hajawahi kupewa na watu mbalimbali, including wazee wa chama chake, kwa nyakati tofauti?

Zati bichi is an idiot!
Hana huo ushauri ,waache ufisadi huko kwao mpaka baadhi ya wafanyakazi wanadai mishahara yao..Kama sio ruzuku za serikali unafikiria wangejiweza zaidi ya kuchelewa mishahara ya watu...Hana kipya huyo ,labda akaongoze bara mashambani huko ...

Hatuwezi kuongozwa na kiongozi wa dini ya kikristo akaongoze waabudu masanamu wenzie
 
Kama ni Rais basi anasoma mambo mengi ,itakuwa hajaona ..Mkubwa wake uko wapi? Yeye kitima kama nan asikilizwe wakati Taasisi yao tu wanashindwa kulipa baadhi ya watumishi wao ,halafu aje kushauri serikali...Atasikilizwa kama mwananchi wa kawaida sio kwamba anajua zaidi
Kwamba serekali inaweza kulipa wote wanaodai? Acha kuongea use33nge dogo. Kama huna hoja piga kimya.
 
Hana huo ushauri ,waache ufisadi huko kwao mpaka baadhi ya wafanyakazi wanadai mishahara yao..Kama sio ruzuku za serikali unafikiria wangejiweza zaidi ya kuchelewa mishahara ya watu...Hana kipya huyo ,labda akaongoze bara mashambani huko ...

Hatuwezi kuongozwa na kiongozi wa dini ya kikristo akaongoze waabudu masanamu wenzie
Umefilisika kifikra!
 
..Kitima anasema eti wana uzoefu wa kufany kazi na serikali zote Dunia! Kitima yeye kafanya kazi na serikali ipi nje ya Tanzani au kujinadi kwamba wao ni wakubwa duniani...

Tumieni akili sio kukariri.
Mkuu hapo kidogo umepepesuka. Kitima ana maanisha kanisa katoliki sio kitima kama katibu wa TEC. Na ujue chochote anachosema kitima kwa niaba ya kanisa kina baraka za TEC. Na chochote kinachofanuwa na TEC, basi jua kina baraka za Vatican. Wakatoliki mifumo Yao ni universal dunia mzima.
 
Kipekee sana nimekuwa na heshma kubwa na ukatoliki. Kama ilivyo kwa wakristo wengi, wengi wetu, kwa kiasi kikubwa malezi ya utotoni tumeyapatia katika kanisa katoliki, baadaye baadhi yetu kwasababu mbalimbali tumejikuta ni wakristo wa madhehebu mengine.

Mbali na malezi ya kiroho kwa wakristo walio wengi; ukiacha serikali, kanisa katoliki ndiyo taasisi yenye shule nyingi za msingi, sekondari, vyuo na vyuo vikuu ambayo vimelea na kuzalisha nguvu kazi kubwa kwa Taifa letu.

Nimeanza na hayo ili kujenga msingi wa ukubwa wa ushawishi wa kanisa katoliki katika jumuiya ya wakristo, wasomi wa nchi yetu na wananchi kwa ujumla.

Kwa muktadha huo na kwakuzingatia mwenendo wa matamko ya Baba yetu Padre Kitima, nimejikuta nawaza kwa sauti; Je, ni kweli kuwa serikali yetu haishauriki kwa kiasi hiki, au na yeye anafanya siasa?

Katika maisha yetu ya kawaida, tunajua ushauri kupokelewa au kutokupokelewa haitegemei tu kuwa ushauri huo ni mzuri kiasi gani bali pia njia zilizotumika kuutoa ushauri wenyewe. Ushauri mzuri ukitolewa katika njia inayowatweza viongozi ni wazi kuwa watauona kama shambulio la kisiasa. Hali kama hii inaleta hisia za kujihami na kujilinda ambazo kwakweli zinachochea mpasuko na uhasama.

Najaribu kufikiri tofauti, vipi kama Baba yetu Padre Kitima, kwa nafasi yake kama katibu wa Balaza la Maaskofu angeomba kumuona Rais wetu ili kumshauri mambo yote anayodhani kuwa hayopo sawa, katika mazingira yasiyoutweza utu wa Rais wetu, Je, asingepewa nafasi hiyo?

Wasiwasi wangu ni kuwa kama ushauri mzuri unaotolewa na walezi na wazazi wetu wa kiroho hautatolewa katika mazingira yanayoepusha hisia za ubaguzi na kutwezwa kwa viongozi, jamii nzima ya watanzania itayakosa matunda mazuri ya ushauri huo.

Mwisho ningependa kutoa tahadhari, Rais wetu ni mzanzibari, na ni Muislam! Tusipokuwa waangalifu, ni rahisi sana harakati za kanisa kudhaniwa kuwa zinafanyika kwa misingi ya chuki na ubaguzi. Kama tukifika hapo, jitihada hizi nzuri zitakuwa sio baraka tena bali balaa.
Viongozi wetu wakiwa madarakani huwa hawasikii ushauri labda uwe wa kupendelea maslahi yao binafsi. Kama ushauri ungekuwa unazingatiwa wasingeendelea kuiba kura kila uchaguzi maana wameshauriwa sana.
Mwache Kitima aseme kwa sababu hata akiongea kwa unyenyekevu vipi hawawezi kupokea ushauri wake. Warioba mwenzao amewashauri sana kuhusu mwenendo wa serikali hawajamsikia hata alipo washauri kuhusu uchaguzi wa Oktoba 26 hawa kumsikia, sasa hivi ndo wanamwita akatoe maoni kwenye tume ya uchunguzi wa MO29 baada ya kuwaua watanzania na kuwazika kwenye makaburi ya pamoja.
 
Hana huo ushauri ,waache ufisadi huko kwao mpaka baadhi ya wafanyakazi wanadai mishahara yao..Kama sio ruzuku za serikali unafikiria wangejiweza zaidi ya kuchelewa mishahara ya watu...Hana kipya huyo ,labda akaongoze bara mashambani huko ...

Hatuwezi kuongozwa na kiongozi wa dini ya kikristo akaongoze waabudu masanamu wenzie
Now you are talking!
Umezunguka weee mwisho limekutoka moyoni!
Dini ni bangi aisee!
 
Kipekee sana nimekuwa na heshma kubwa na ukatoliki. Kama ilivyo kwa wakristo wengi, wengi wetu, kwa kiasi kikubwa malezi ya utotoni tumeyapatia katika kanisa katoliki, baadaye baadhi yetu kwasababu mbalimbali tumejikuta ni wakristo wa madhehebu mengine.

Mbali na malezi ya kiroho kwa wakristo walio wengi; ukiacha serikali, kanisa katoliki ndiyo taasisi yenye shule nyingi za msingi, sekondari, vyuo na vyuo vikuu ambayo vimelea na kuzalisha nguvu kazi kubwa kwa Taifa letu.

Nimeanza na hayo ili kujenga msingi wa ukubwa wa ushawishi wa kanisa katoliki katika jumuiya ya wakristo, wasomi wa nchi yetu na wananchi kwa ujumla.

Kwa muktadha huo na kwakuzingatia mwenendo wa matamko ya Baba yetu Padre Kitima, nimejikuta nawaza kwa sauti; Je, ni kweli kuwa serikali yetu haishauriki kwa kiasi hiki, au na yeye anafanya siasa?

Katika maisha yetu ya kawaida, tunajua ushauri kupokelewa au kutokupokelewa haitegemei tu kuwa ushauri huo ni mzuri kiasi gani bali pia njia zilizotumika kuutoa ushauri wenyewe. Ushauri mzuri ukitolewa katika njia inayowatweza viongozi ni wazi kuwa watauona kama shambulio la kisiasa. Hali kama hii inaleta hisia za kujihami na kujilinda ambazo kwakweli zinachochea mpasuko na uhasama.

Najaribu kufikiri tofauti, vipi kama Baba yetu Padre Kitima, kwa nafasi yake kama katibu wa Balaza la Maaskofu angeomba kumuona Rais wetu ili kumshauri mambo yote anayodhani kuwa hayopo sawa, katika mazingira yasiyoutweza utu wa Rais wetu, Je, asingepewa nafasi hiyo?

Wasiwasi wangu ni kuwa kama ushauri mzuri unaotolewa na walezi na wazazi wetu wa kiroho hautatolewa katika mazingira yanayoepusha hisia za ubaguzi na kutwezwa kwa viongozi, jamii nzima ya watanzania itayakosa matunda mazuri ya ushauri huo.

Mwisho ningependa kutoa tahadhari, Rais wetu ni mzanzibari, na ni Muislam! Tusipokuwa waangalifu, ni rahisi sana harakati za kanisa kudhaniwa kuwa zinafanyika kwa misingi ya chuki na ubaguzi. Kama tukifika hapo, jitihada hizi nzuri zitakuwa sio baraka tena bali balaa.
Nadhani hujajipa home work vizuri ya kulifuatilia hili jambo

Rais amekutana na viongozi wa dini (hao wakatoliki unaosema) mara ngapi?

Ukiona hadi wanapiga na picha kuujulisha umma kwamba walikutana ujue pia kuna vikao vya sirini vilishawahi kufanyika

Unadhani katika mikutano yote hiyo hawajawahi kutoa ushauri?

Hao hao kina Fr.Kitima, unadhani wao hukurupuka tu na kuja kutoa maoni yao hadharani?

Ukiona watu wenye akili wamefikia hatua hiyo jua majibu waliyoyapata sirini ni magumu mno. Tuamini kuwa wanacho kifanya wanajua kwanini wanakifanya.

Kwa kifupi, hii ni kama kuutaarifu umma kuwa "serikali hii imegoma kupokea ushauri wowote na iko tayari kufanya lolote lakini sio kusikiliza ushauri hasa hasa unaotoka kwa watu wenye vinasaba na ukatoliki kwasababu wanazozifahamu wao"

NB: Dr. Nchimbi kwaresma hii ameenda kuhiji kwa Papa na kubusu pete yake, tusubiri matokeo yake
 
Na Phd yako umeishia kuwa chawa, hilo bao lilikutunga bora lingetolewa chooni. Hasara kwa taifa la Tanganyika wewe.
 
fadha anazungumzia UTAWALA WA SHERIA,KUFUATA HAKI,KUTENDA HAKI...na nafasi ya wananchi ambao ndio waliowaweka viongozi madarakani,VIONGOZI wawajibike kwa wananchi na wawatendee haki wananchi utawala wa sheria na haki...wananchi wasikilizwe ndio wenye mamlaka na nchi ni ya wananchi wote sio ya viongozi peke yao.

sasa maswala ya DINI mtu na uzanzibari yameingiaje hapa??

kwani fadha kitima ametaja dini ya mtu au ameshambulia dini ya mtu au kabila lake au ubara au uzanzibari..??

kitima ni mtanzania ana haki ya kutoa maoni yake na kusikilizwa nchi ni ya wote ana haki zake kikatiba

kitima amefanya kosa gani la kisheria ??

HAYA MASUALA YA DINI YAMEINGIAJE HAPA??

NA UZANZIBARI UMEKUJAJE HAPA??

mbona mnalazimisha mambo ya udini na ukabila ??
 
Kipekee sana nimekuwa na heshma kubwa na ukatoliki. Kama ilivyo kwa wakristo wengi, wengi wetu, kwa kiasi kikubwa malezi ya utotoni tumeyapatia katika kanisa katoliki, baadaye baadhi yetu kwasababu mbalimbali tumejikuta ni wakristo wa madhehebu mengine.

Mbali na malezi ya kiroho kwa wakristo walio wengi; ukiacha serikali, kanisa katoliki ndiyo taasisi yenye shule nyingi za msingi, sekondari, vyuo na vyuo vikuu ambayo vimelea na kuzalisha nguvu kazi kubwa kwa Taifa letu.

Nimeanza na hayo ili kujenga msingi wa ukubwa wa ushawishi wa kanisa katoliki katika jumuiya ya wakristo, wasomi wa nchi yetu na wananchi kwa ujumla.

Kwa muktadha huo na kwakuzingatia mwenendo wa matamko ya Baba yetu Padre Kitima, nimejikuta nawaza kwa sauti; Je, ni kweli kuwa serikali yetu haishauriki kwa kiasi hiki, au na yeye anafanya siasa?

Katika maisha yetu ya kawaida, tunajua ushauri kupokelewa au kutokupokelewa haitegemei tu kuwa ushauri huo ni mzuri kiasi gani bali pia njia zilizotumika kuutoa ushauri wenyewe. Ushauri mzuri ukitolewa katika njia inayowatweza viongozi ni wazi kuwa watauona kama shambulio la kisiasa. Hali kama hii inaleta hisia za kujihami na kujilinda ambazo kwakweli zinachochea mpasuko na uhasama.

Najaribu kufikiri tofauti, vipi kama Baba yetu Padre Kitima, kwa nafasi yake kama katibu wa Balaza la Maaskofu angeomba kumuona Rais wetu ili kumshauri mambo yote anayodhani kuwa hayopo sawa, katika mazingira yasiyoutweza utu wa Rais wetu, Je, asingepewa nafasi hiyo?

Wasiwasi wangu ni kuwa kama ushauri mzuri unaotolewa na walezi na wazazi wetu wa kiroho hautatolewa katika mazingira yanayoepusha hisia za ubaguzi na kutwezwa kwa viongozi, jamii nzima ya watanzania itayakosa matunda mazuri ya ushauri huo.

Mwisho ningependa kutoa tahadhari, Rais wetu ni mzanzibari, na ni Muislam! Tusipokuwa waangalifu, ni rahisi sana harakati za kanisa kudhaniwa kuwa zinafanyika kwa misingi ya chuki na ubaguzi. Kama tukifika hapo, jitihada hizi nzuri zitakuwa sio baraka tena bali balaa.
Mara ngapi shauri zimrtolewa na kupuizwa achana na za hiyo taasisi inayofitiniwa kibaguzi wengine wangapi wametekwa,teswa hata uwawa kisa ushauri wap?
 
Ukishikwa na jipu huwa halipakwi dawa kwa juu...lazma litumbuliwe ili dawa iingie...ushauri hauwez kutweza utu kwan si matusi..ni njia nzur ya kufikia malengo...
 
Kwamba serekali inaweza kulipa wote wanaodai? Acha kuongea use33nge dogo. Kama huna hoja piga kimya.
Kaulize kuhusu mishahara wangapi hawalipwi.. Taasisi zenu ni kiduchu ila mnashindwa kuwalipa watu kwa wakati kuliko serikali yenye watu lukuki..
 
Mkuu hapo kidogo umepepesuka. Kitima ana maanisha kanisa katoliki sio kitima kama katibu wa TEC. Na ujue chochote anachosema kitima kwa niaba ya kanisa kina baraka za TEC. Na chochote kinachofanuwa na TEC, basi jua kina baraka za Vatican. Wakatoliki mifumo Yao ni universal dunia mzima.
Sasa TEC ni nan ? Kuna kamati ya kidini ,inayomuisha dini ..Unaijua ? hao hata kwenye makongamano wanaenda ,ni umoja ...Unajua Magufuli alianzisha hilo ,wakapewa kipaumbele kwa wawakilishi wa dini zote hata kumshauri Rais.

Wanaenda Ikulu kutwa ,sasa hao TEC wanajifanya hawataki eti wao ni wakubwa.. Kiufupi ,sio wakubwa na tumeona wameshindwa hawana cha kuwatisha serikali hata siku moja..

Upo umoja wa kidini kwa wawakilishi wa dini zote ,kawaulize hao TEC kama wanaenda ..Wanajiona so special.
 
Now you are talking!
Umezunguka weee mwisho limekutoka moyoni!
Dini ni bangi aisee!
Kama bangi za mama yako ,kitima hawezi kutuongoza hata Mkoa wetu ..Kwanza arudi akaongeze kwao ,Dar sio kwao.
 
Sasa TEC ni nan ? Kuna kamati ya kidini ,inayomuisha dini ..Unaijua ? hao hata kwenye makongamano wanaenda ,ni umoja ...Unajua Magufuli alianzisha hilo ,wakapewa kipaumbele kwa wawakilishi wa dini zote hata kumshauri Rais.

Wanaenda Ikulu kutwa ,sasa hao TEC wanajifanya hawataki eti wao ni wakubwa.. Kiufupi ,sio wakubwa na tumeona wameshindwa hawana cha kuwatisha serikali hata siku moja..

Upo umoja wa kidini kwa wawakilishi wa dini zote ,kawaulize hao TEC kama wanaenda ..Wanajiona so special.
Huna unalolijua. Jumuiya ya kikristo Tz ambayo ni umoja unaohusisha madhehebu yote ulindwa tangu miaka ya tisini ukisimamiwa kwa karibu na kardinari pengo. Lengo lilikuwa na kuunganisha nguvu.

Baadaye likaundwa Baraza la amani la kidini ambalo lilihusisha dini zote na huwa wanabadilishana uenyekiti.

Hayo yote ccm ilikuwa inayatumia vibaya kwa kuwagawa viongozi wa dini dhaifu Ili kubeba ajenda zao. Hapo ndipo kulipianza kutokea misimamo tofauti ndani ya jumuiya au Baraza moja.

Magufuli hakuanzisha chochote, isipokuwa aliwatumia tuu viongozi wa dini kwa maslahi yake.
 
Kikubwa watu waishi tu ,hayo mengine ni biashara za watu...Kama KITIMA ni mkamilifu basi sisi wengine hatuamini katika ukamilifu.

Mnajiitaje Taasisi kubwa halafu mnashindwa kwenda Ikulu kushauri zaidi ya kuleta ujuaji kwenye majukwa...Hakuna ushauri wa hivyo kama unajielewa hauwezi kuandika mambo mtandaoni au kubwabwanya kwenye kanisa kwani uliambiwa huyo Rais yuko kanisani hapo?

Nyie mnapenda kuonesha ubabe wenu ,hapo mnafeli sana kwa sababu serikali ni kubw akuliko kanisa : Mtabisha ila ndio ukweli si umeona njama ya Oktoba 29? Si mmeona mlivyoshindwa pale Dp world.

Si mmeona unapewa ruzuku kwenye hizo Taasisi zenu ,si mmeona mnasemehewa kodi kwenye biashara zenu...Basi kuweni wapole na Rais alishasema hamna dini kubwa kuliko nyingine kama hamuelewi endeleen ni taarabu.

Mnakosa kitu kinaitwa busara na hapo mnakuwa wajinga automatically ,hamna njia nzuri ya kufikisha ujumbe zaidi ya kujinadi kwambwa wakubwa ...Kitima anasema eti wana uzoefu wa kufany kazi na serikali zote Dunia! Kitima yeye kafanya kazi na serikali ipi nje ya Tanzani au kujinadi kwamba wao ni wakubwa duniani...

Tumieni akili sio kukariri.
Umeandika pumba sijawah kuona
 
Huna unalolijua. Jumuiya ya kikristo Tz ambayo ni umoja unaohusisha madhehebu yote ulindwa tangu miaka ya tisini ukisimamiwa kwa karibu na kardinari pengo. Lengo lilikuwa na kuunganisha nguvu.

Baadaye likaundwa Baraza la amani la kidini ambalo lilihusisha dini zote na huwa wanabadilishana uenyekiti.

Hayo yote ccm ilikuwa inayatumia vibaya kwa kuwagawa viongozi wa dini dhaifu Ili kubeba ajenda zao. Hapo ndipo kulipianza kutokea misimamo tofauti ndani ya jumuiya au Baraza moja.

Magufuli hakuanzisha chochote, isipokuwa aliwatumia tuu viongozi wa dini kwa maslahi yake.
Nilijua tu utakuwa mjinga ,sasa assume TEC hawawezi kwenda ikulu kumshauri Rais ..Huo ukubwa wao uko wapi?

Serikali ni kubwa na inajumuisha watu wote ,TEC hawa unawaona leo hawana impact hata wakiondoka watachaguliwa wengine ...Wanachagulia na madaraka wanaacha ...Sasa jiulize chini ya serikali kuna wakatoliki wangapi wanaofanya kazi serikali ; kuanzia mawaziri mpaka chini.

Mfano mzuri tu ni Makamu ya Rais ni mkatolini ,waziri Mkuu na wengine wakubwa mpaka wanasheria...Ina maana hao wakatoliki wenzenu tu wanaona tabu ilioko kwa TEC kutokana na uongozi mbovu ... Serikali haiwezi kupoteza muda kwa viongozi wa TEC maana ni wakuja tu hawana athari zozote .

Kama hawataki baraza la amani basi wapambane na hawatosikilizwa ,msije kulia lia ... Serikali ni dude kubwa sana , ina wizara nyingi na Wataalamu kama wote ambao huko TEC hamna ... Usifananishe serikali na vikundi vya ajabu.

RAIS alishasema kwamba hakuna dini ambayo ni bora dhidi ya nyingine ,nafikiria hapo mmejitambua kama hamtaki kujiunga tulizeni midomo yenu ...Narudia tena ,serikali ji dude kubwa usifananishe na vikundi .
 
Back
Top Bottom