Kama ni Rais basi anasoma mambo mengi ,itakuwa hajaona ..Mkubwa wake uko wapi? Yeye kitima kama nan asikilizwe wakati Taasisi yao tu wanashindwa kulipa baadhi ya watumishi wao ,halafu aje kushauri serikali...Atasikilizwa kama mwananchi wa kawaida sio kwamba anajua zaidiKwani lazima aende ikulu yeye binafsi, ama unadhani RC ni kama kanisa la Mwamposa? Hakuna aliyezuia uchaguzi, bali watu waligomea uchaguzi wa kihuni. Naona hapo mwisho umemalizia na hoja za kitoto mno!
Hana huo ushauri ,waache ufisadi huko kwao mpaka baadhi ya wafanyakazi wanadai mishahara yao..Kama sio ruzuku za serikali unafikiria wangejiweza zaidi ya kuchelewa mishahara ya watu...Hana kipya huyo ,labda akaongoze bara mashambani huko ...Utter nonsense! Ushauri gani Fr. Kitima atatoa ambao Fazafaka wa Kizimkazi hajawahi kupewa na watu mbalimbali, including wazee wa chama chake, kwa nyakati tofauti?
Zati bichi is an idiot!
Kwamba serekali inaweza kulipa wote wanaodai? Acha kuongea use33nge dogo. Kama huna hoja piga kimya.Kama ni Rais basi anasoma mambo mengi ,itakuwa hajaona ..Mkubwa wake uko wapi? Yeye kitima kama nan asikilizwe wakati Taasisi yao tu wanashindwa kulipa baadhi ya watumishi wao ,halafu aje kushauri serikali...Atasikilizwa kama mwananchi wa kawaida sio kwamba anajua zaidi
Umefilisika kifikra!Hana huo ushauri ,waache ufisadi huko kwao mpaka baadhi ya wafanyakazi wanadai mishahara yao..Kama sio ruzuku za serikali unafikiria wangejiweza zaidi ya kuchelewa mishahara ya watu...Hana kipya huyo ,labda akaongoze bara mashambani huko ...
Hatuwezi kuongozwa na kiongozi wa dini ya kikristo akaongoze waabudu masanamu wenzie
Mkuu hapo kidogo umepepesuka. Kitima ana maanisha kanisa katoliki sio kitima kama katibu wa TEC. Na ujue chochote anachosema kitima kwa niaba ya kanisa kina baraka za TEC. Na chochote kinachofanuwa na TEC, basi jua kina baraka za Vatican. Wakatoliki mifumo Yao ni universal dunia mzima...Kitima anasema eti wana uzoefu wa kufany kazi na serikali zote Dunia! Kitima yeye kafanya kazi na serikali ipi nje ya Tanzani au kujinadi kwamba wao ni wakubwa duniani...
Tumieni akili sio kukariri.
Viongozi wetu wakiwa madarakani huwa hawasikii ushauri labda uwe wa kupendelea maslahi yao binafsi. Kama ushauri ungekuwa unazingatiwa wasingeendelea kuiba kura kila uchaguzi maana wameshauriwa sana.Kipekee sana nimekuwa na heshma kubwa na ukatoliki. Kama ilivyo kwa wakristo wengi, wengi wetu, kwa kiasi kikubwa malezi ya utotoni tumeyapatia katika kanisa katoliki, baadaye baadhi yetu kwasababu mbalimbali tumejikuta ni wakristo wa madhehebu mengine.
Mbali na malezi ya kiroho kwa wakristo walio wengi; ukiacha serikali, kanisa katoliki ndiyo taasisi yenye shule nyingi za msingi, sekondari, vyuo na vyuo vikuu ambayo vimelea na kuzalisha nguvu kazi kubwa kwa Taifa letu.
Nimeanza na hayo ili kujenga msingi wa ukubwa wa ushawishi wa kanisa katoliki katika jumuiya ya wakristo, wasomi wa nchi yetu na wananchi kwa ujumla.
Kwa muktadha huo na kwakuzingatia mwenendo wa matamko ya Baba yetu Padre Kitima, nimejikuta nawaza kwa sauti; Je, ni kweli kuwa serikali yetu haishauriki kwa kiasi hiki, au na yeye anafanya siasa?
Katika maisha yetu ya kawaida, tunajua ushauri kupokelewa au kutokupokelewa haitegemei tu kuwa ushauri huo ni mzuri kiasi gani bali pia njia zilizotumika kuutoa ushauri wenyewe. Ushauri mzuri ukitolewa katika njia inayowatweza viongozi ni wazi kuwa watauona kama shambulio la kisiasa. Hali kama hii inaleta hisia za kujihami na kujilinda ambazo kwakweli zinachochea mpasuko na uhasama.
Najaribu kufikiri tofauti, vipi kama Baba yetu Padre Kitima, kwa nafasi yake kama katibu wa Balaza la Maaskofu angeomba kumuona Rais wetu ili kumshauri mambo yote anayodhani kuwa hayopo sawa, katika mazingira yasiyoutweza utu wa Rais wetu, Je, asingepewa nafasi hiyo?
Wasiwasi wangu ni kuwa kama ushauri mzuri unaotolewa na walezi na wazazi wetu wa kiroho hautatolewa katika mazingira yanayoepusha hisia za ubaguzi na kutwezwa kwa viongozi, jamii nzima ya watanzania itayakosa matunda mazuri ya ushauri huo.
Mwisho ningependa kutoa tahadhari, Rais wetu ni mzanzibari, na ni Muislam! Tusipokuwa waangalifu, ni rahisi sana harakati za kanisa kudhaniwa kuwa zinafanyika kwa misingi ya chuki na ubaguzi. Kama tukifika hapo, jitihada hizi nzuri zitakuwa sio baraka tena bali balaa.
Now you are talking!Hana huo ushauri ,waache ufisadi huko kwao mpaka baadhi ya wafanyakazi wanadai mishahara yao..Kama sio ruzuku za serikali unafikiria wangejiweza zaidi ya kuchelewa mishahara ya watu...Hana kipya huyo ,labda akaongoze bara mashambani huko ...
Hatuwezi kuongozwa na kiongozi wa dini ya kikristo akaongoze waabudu masanamu wenzie
Nadhani hujajipa home work vizuri ya kulifuatilia hili jamboKipekee sana nimekuwa na heshma kubwa na ukatoliki. Kama ilivyo kwa wakristo wengi, wengi wetu, kwa kiasi kikubwa malezi ya utotoni tumeyapatia katika kanisa katoliki, baadaye baadhi yetu kwasababu mbalimbali tumejikuta ni wakristo wa madhehebu mengine.
Mbali na malezi ya kiroho kwa wakristo walio wengi; ukiacha serikali, kanisa katoliki ndiyo taasisi yenye shule nyingi za msingi, sekondari, vyuo na vyuo vikuu ambayo vimelea na kuzalisha nguvu kazi kubwa kwa Taifa letu.
Nimeanza na hayo ili kujenga msingi wa ukubwa wa ushawishi wa kanisa katoliki katika jumuiya ya wakristo, wasomi wa nchi yetu na wananchi kwa ujumla.
Kwa muktadha huo na kwakuzingatia mwenendo wa matamko ya Baba yetu Padre Kitima, nimejikuta nawaza kwa sauti; Je, ni kweli kuwa serikali yetu haishauriki kwa kiasi hiki, au na yeye anafanya siasa?
Katika maisha yetu ya kawaida, tunajua ushauri kupokelewa au kutokupokelewa haitegemei tu kuwa ushauri huo ni mzuri kiasi gani bali pia njia zilizotumika kuutoa ushauri wenyewe. Ushauri mzuri ukitolewa katika njia inayowatweza viongozi ni wazi kuwa watauona kama shambulio la kisiasa. Hali kama hii inaleta hisia za kujihami na kujilinda ambazo kwakweli zinachochea mpasuko na uhasama.
Najaribu kufikiri tofauti, vipi kama Baba yetu Padre Kitima, kwa nafasi yake kama katibu wa Balaza la Maaskofu angeomba kumuona Rais wetu ili kumshauri mambo yote anayodhani kuwa hayopo sawa, katika mazingira yasiyoutweza utu wa Rais wetu, Je, asingepewa nafasi hiyo?
Wasiwasi wangu ni kuwa kama ushauri mzuri unaotolewa na walezi na wazazi wetu wa kiroho hautatolewa katika mazingira yanayoepusha hisia za ubaguzi na kutwezwa kwa viongozi, jamii nzima ya watanzania itayakosa matunda mazuri ya ushauri huo.
Mwisho ningependa kutoa tahadhari, Rais wetu ni mzanzibari, na ni Muislam! Tusipokuwa waangalifu, ni rahisi sana harakati za kanisa kudhaniwa kuwa zinafanyika kwa misingi ya chuki na ubaguzi. Kama tukifika hapo, jitihada hizi nzuri zitakuwa sio baraka tena bali balaa.
Mara ngapi shauri zimrtolewa na kupuizwa achana na za hiyo taasisi inayofitiniwa kibaguzi wengine wangapi wametekwa,teswa hata uwawa kisa ushauri wap?Kipekee sana nimekuwa na heshma kubwa na ukatoliki. Kama ilivyo kwa wakristo wengi, wengi wetu, kwa kiasi kikubwa malezi ya utotoni tumeyapatia katika kanisa katoliki, baadaye baadhi yetu kwasababu mbalimbali tumejikuta ni wakristo wa madhehebu mengine.
Mbali na malezi ya kiroho kwa wakristo walio wengi; ukiacha serikali, kanisa katoliki ndiyo taasisi yenye shule nyingi za msingi, sekondari, vyuo na vyuo vikuu ambayo vimelea na kuzalisha nguvu kazi kubwa kwa Taifa letu.
Nimeanza na hayo ili kujenga msingi wa ukubwa wa ushawishi wa kanisa katoliki katika jumuiya ya wakristo, wasomi wa nchi yetu na wananchi kwa ujumla.
Kwa muktadha huo na kwakuzingatia mwenendo wa matamko ya Baba yetu Padre Kitima, nimejikuta nawaza kwa sauti; Je, ni kweli kuwa serikali yetu haishauriki kwa kiasi hiki, au na yeye anafanya siasa?
Katika maisha yetu ya kawaida, tunajua ushauri kupokelewa au kutokupokelewa haitegemei tu kuwa ushauri huo ni mzuri kiasi gani bali pia njia zilizotumika kuutoa ushauri wenyewe. Ushauri mzuri ukitolewa katika njia inayowatweza viongozi ni wazi kuwa watauona kama shambulio la kisiasa. Hali kama hii inaleta hisia za kujihami na kujilinda ambazo kwakweli zinachochea mpasuko na uhasama.
Najaribu kufikiri tofauti, vipi kama Baba yetu Padre Kitima, kwa nafasi yake kama katibu wa Balaza la Maaskofu angeomba kumuona Rais wetu ili kumshauri mambo yote anayodhani kuwa hayopo sawa, katika mazingira yasiyoutweza utu wa Rais wetu, Je, asingepewa nafasi hiyo?
Wasiwasi wangu ni kuwa kama ushauri mzuri unaotolewa na walezi na wazazi wetu wa kiroho hautatolewa katika mazingira yanayoepusha hisia za ubaguzi na kutwezwa kwa viongozi, jamii nzima ya watanzania itayakosa matunda mazuri ya ushauri huo.
Mwisho ningependa kutoa tahadhari, Rais wetu ni mzanzibari, na ni Muislam! Tusipokuwa waangalifu, ni rahisi sana harakati za kanisa kudhaniwa kuwa zinafanyika kwa misingi ya chuki na ubaguzi. Kama tukifika hapo, jitihada hizi nzuri zitakuwa sio baraka tena bali balaa.
Kaulize kuhusu mishahara wangapi hawalipwi.. Taasisi zenu ni kiduchu ila mnashindwa kuwalipa watu kwa wakati kuliko serikali yenye watu lukuki..Kwamba serekali inaweza kulipa wote wanaodai? Acha kuongea use33nge dogo. Kama huna hoja piga kimya.
Kafie mbele hukoUmefilisika kifikra!
Sasa TEC ni nan ? Kuna kamati ya kidini ,inayomuisha dini ..Unaijua ? hao hata kwenye makongamano wanaenda ,ni umoja ...Unajua Magufuli alianzisha hilo ,wakapewa kipaumbele kwa wawakilishi wa dini zote hata kumshauri Rais.Mkuu hapo kidogo umepepesuka. Kitima ana maanisha kanisa katoliki sio kitima kama katibu wa TEC. Na ujue chochote anachosema kitima kwa niaba ya kanisa kina baraka za TEC. Na chochote kinachofanuwa na TEC, basi jua kina baraka za Vatican. Wakatoliki mifumo Yao ni universal dunia mzima.
Kama bangi za mama yako ,kitima hawezi kutuongoza hata Mkoa wetu ..Kwanza arudi akaongeze kwao ,Dar sio kwao.Now you are talking!
Umezunguka weee mwisho limekutoka moyoni!
Dini ni bangi aisee!
Huna unalolijua. Jumuiya ya kikristo Tz ambayo ni umoja unaohusisha madhehebu yote ulindwa tangu miaka ya tisini ukisimamiwa kwa karibu na kardinari pengo. Lengo lilikuwa na kuunganisha nguvu.Sasa TEC ni nan ? Kuna kamati ya kidini ,inayomuisha dini ..Unaijua ? hao hata kwenye makongamano wanaenda ,ni umoja ...Unajua Magufuli alianzisha hilo ,wakapewa kipaumbele kwa wawakilishi wa dini zote hata kumshauri Rais.
Wanaenda Ikulu kutwa ,sasa hao TEC wanajifanya hawataki eti wao ni wakubwa.. Kiufupi ,sio wakubwa na tumeona wameshindwa hawana cha kuwatisha serikali hata siku moja..
Upo umoja wa kidini kwa wawakilishi wa dini zote ,kawaulize hao TEC kama wanaenda ..Wanajiona so special.
Umeandika pumba sijawah kuonaKikubwa watu waishi tu ,hayo mengine ni biashara za watu...Kama KITIMA ni mkamilifu basi sisi wengine hatuamini katika ukamilifu.
Mnajiitaje Taasisi kubwa halafu mnashindwa kwenda Ikulu kushauri zaidi ya kuleta ujuaji kwenye majukwa...Hakuna ushauri wa hivyo kama unajielewa hauwezi kuandika mambo mtandaoni au kubwabwanya kwenye kanisa kwani uliambiwa huyo Rais yuko kanisani hapo?
Nyie mnapenda kuonesha ubabe wenu ,hapo mnafeli sana kwa sababu serikali ni kubw akuliko kanisa : Mtabisha ila ndio ukweli si umeona njama ya Oktoba 29? Si mmeona mlivyoshindwa pale Dp world.
Si mmeona unapewa ruzuku kwenye hizo Taasisi zenu ,si mmeona mnasemehewa kodi kwenye biashara zenu...Basi kuweni wapole na Rais alishasema hamna dini kubwa kuliko nyingine kama hamuelewi endeleen ni taarabu.
Mnakosa kitu kinaitwa busara na hapo mnakuwa wajinga automatically ,hamna njia nzuri ya kufikisha ujumbe zaidi ya kujinadi kwambwa wakubwa ...Kitima anasema eti wana uzoefu wa kufany kazi na serikali zote Dunia! Kitima yeye kafanya kazi na serikali ipi nje ya Tanzani au kujinadi kwamba wao ni wakubwa duniani...
Tumieni akili sio kukariri.
Nilijua tu utakuwa mjinga ,sasa assume TEC hawawezi kwenda ikulu kumshauri Rais ..Huo ukubwa wao uko wapi?Huna unalolijua. Jumuiya ya kikristo Tz ambayo ni umoja unaohusisha madhehebu yote ulindwa tangu miaka ya tisini ukisimamiwa kwa karibu na kardinari pengo. Lengo lilikuwa na kuunganisha nguvu.
Baadaye likaundwa Baraza la amani la kidini ambalo lilihusisha dini zote na huwa wanabadilishana uenyekiti.
Hayo yote ccm ilikuwa inayatumia vibaya kwa kuwagawa viongozi wa dini dhaifu Ili kubeba ajenda zao. Hapo ndipo kulipianza kutokea misimamo tofauti ndani ya jumuiya au Baraza moja.
Magufuli hakuanzisha chochote, isipokuwa aliwatumia tuu viongozi wa dini kwa maslahi yake.