Hivi ni kweli kwamba imeshidikana kabisa kumshusha Diamond Platnumz licha ya juhudi zote kutoka kwa haters?

Hivi ni kweli kwamba imeshidikana kabisa kumshusha Diamond Platnumz licha ya juhudi zote kutoka kwa haters?

Tuachen ushabiki na kufungua nyuz za kujitia moyo,Si Diamond si Kiba wote washajifia kimziki ila sema ndo hivo wamebaki wana bebwa na hizi team uchwara,Diamond ata endelea kufanya vizur hapa nchin kutokana na lifestyle yake ya kufanya watu wamfuatilie yeye na familia yake tofaut na lifestyle ya kiba.
 
Wakumshusha hayupo, Ali kiba kaachana na mkewe lakini watu hata hawazungumzii. Wataroga saaana lakini mwisho wa siku aliyepewa kapewa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hee wameachana? Si juz tu hapa kaoa kwa mbwembwe
 
Wakumshusha hayupo, Ali kiba kaachana na mkewe lakini watu hata hawazungumzii. Wataroga saaana lakini mwisho wa siku aliyepewa kapewa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawajaachana
wametengana kwa muda tu
 
Hili la kuachana na Mkewe ...kama Kiba angekuwa na akili angeligeuza kuwa fursa...
Sema ndo hivyo.

Mondi kila changamoto anayoipata anaigeuza inakuwa pesa..

Watasubiri sanaa..
Kwa hiyo kiba ameachana na yule mrembo wa Mombasa ?
 
Nani wakumshusha,aliyekuwa anashindana nae yupo huko anacheza ndondo, ambaye boss wao ni shaffi, embu tuache utani ngoma ya kiba IPI utasikiliza ukaeleweka, domo kila leo anachia hit song
Kanyaga ndio hitsong ?
 
Wewe ndio unaona jamaa bado yupo kwenye mainstream ila jamaa kashatoka nje ya reli,usa kuna kitu kinaitwa RIAA ambacho moja ya kazi zake ni kufanya research ya music industry eg mauzo etc huku kwetu hatuna kingekuwepo wangeweka statistics ungeona jamaa alivyoshuka kimuziki.

Dimondi kashuka kimuziki sasa anabebwa na team maandazi yake tu,hawezi kupata shabiki mpya kwa MABOKO yake anayotoa kwa sasa,sio DOMONDI hata KIBAKULI naye kashaisha....Mda wao umeshapita!!!
Ok Diamond kashuka.

Kwa sasa nafasi yake imechukuliwa na nani ?
 
Hili la kuachana na Mkewe ...kama Kiba angekuwa na akili angeligeuza kuwa fursa...
Sema ndo hivyo.
Mondi kila changamoto anayoipata anaigeuza inakuwa pesa..
Watasubiri sanaa..
Mambo ya ndani kwake akuletee wewe ili iweje?... sio wote washamba
 
huyu jamaa hakuna anaemchukia bali mnataka kulazimisha apendwa na kila mtanzania ,ni vigumu sana kwa yeye kupendwa na kila kundi haswa la wanaijielewa yaani kundi la wasomi.
Wanataka apendwe na watoto hadi wazee wote hata akiimba ujinga
 
Nani wakumshusha,aliyekuwa anashindana nae yupo huko anacheza ndondo, ambaye boss wao ni shaffi, embu tuache utani ngoma ya kiba IPI utasikiliza ukaeleweka, domo kila leo anachia hit song
Mkuu kanyaga unasikiliza ukiwa hujanywa kabisa?... nyimbo za kuagia std 7 hizo nazo unaona song konki kweli?
Kweli tupo tofauti.. Huwezikuta nasikiliza ngoma kama iyo bora NEVER GIVE UP ya Harmonize sio uchafu huo
 
Tuachen ushabiki na kufungua nyuz za kujitia moyo,Si Diamond si Kiba wote washajifia kimziki ila sema ndo hivo wamebaki wana bebwa na hizi team uchwara,Diamond ata endelea kufanya vizur hapa nchin kutokana na lifestyle yake ya kufanya watu wamfuatilie yeye na familia yake tofaut na lifestyle ya kiba.
Wasanii wa kutupigia kelele tu... na nyota zao za pete vidoleni kuhadaa watu kumbe uchawi tu.
Waimbe ya kueleweka basi ni matusi tuuu kama wajinga
 
Hao ndio washauri wa DIMONDI,wanaambiana waingie youtube na ku click nyimbo za dimond kuongeza views basi wao wanaona inatosha ili wawecheke kina team kiba,ndipo walipofikia.
Na ukiwa mpenzi wa mziki mzuri wala huwezikupelekwa na upepo wa mtu kwa song bovu... Team hizi wao hoya hoya tu kama mazuzu
 
Kanyaga eti nayo song mkuu... JF imejaza watoto kumbe
Inawezekana kanyaga isiwe hitsong kwetu mimi na wewe lakini mtu fulani kuikataa kanyaga hakumfanyi automatically awe mtu mzima , vilevile kusema kanyaga ni hitsong hakumfanyi aliyesema hivyo automatically kuwa mtoto.
 
Sijui kwanini ila nimejisikia vibaya kuulizwa hili swali... DAIMA NITABAKI KUWA MPENZI WA KAZI ZA Ali Kiba.
Huyu jamaa song zake unasikiliza bila shida tena kwa volume kubwa bila kuvuka mstari hata 1...
Kuna wengine uki'tune tu song zao mpaka utazame kushoto / kulia kama unavuka barabara.. ni uchafu tupu
 
And Everr.....
Kulikuwa na NATURE, MR NICE, CAMELEON, P.JAY, AFANDE, J.DEE n.k... leo wametulia itakuwa huyu?
Au we mgeni kwenye muziki.. Hizi ni nyakati zake zikipita huwezi kuzirudisha
 
Back
Top Bottom