Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hee wameachana? Si juz tu hapa kaoa kwa mbwembweWakumshusha hayupo, Ali kiba kaachana na mkewe lakini watu hata hawazungumzii. Wataroga saaana lakini mwisho wa siku aliyepewa kapewa [emoji23][emoji23][emoji23]
HawajaachanaWakumshusha hayupo, Ali kiba kaachana na mkewe lakini watu hata hawazungumzii. Wataroga saaana lakini mwisho wa siku aliyepewa kapewa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo kiba ameachana na yule mrembo wa Mombasa ?Hili la kuachana na Mkewe ...kama Kiba angekuwa na akili angeligeuza kuwa fursa...
Sema ndo hivyo.
Mondi kila changamoto anayoipata anaigeuza inakuwa pesa..
Watasubiri sanaa..
Kanyaga ndio hitsong ?Nani wakumshusha,aliyekuwa anashindana nae yupo huko anacheza ndondo, ambaye boss wao ni shaffi, embu tuache utani ngoma ya kiba IPI utasikiliza ukaeleweka, domo kila leo anachia hit song
Ok Diamond kashuka.Wewe ndio unaona jamaa bado yupo kwenye mainstream ila jamaa kashatoka nje ya reli,usa kuna kitu kinaitwa RIAA ambacho moja ya kazi zake ni kufanya research ya music industry eg mauzo etc huku kwetu hatuna kingekuwepo wangeweka statistics ungeona jamaa alivyoshuka kimuziki.
Dimondi kashuka kimuziki sasa anabebwa na team maandazi yake tu,hawezi kupata shabiki mpya kwa MABOKO yake anayotoa kwa sasa,sio DOMONDI hata KIBAKULI naye kashaisha....Mda wao umeshapita!!!
Anapandishwa MariooAkishusha tutapanda sisi au?
Mambo ya ndani kwake akuletee wewe ili iweje?... sio wote washambaHili la kuachana na Mkewe ...kama Kiba angekuwa na akili angeligeuza kuwa fursa...
Sema ndo hivyo.
Mondi kila changamoto anayoipata anaigeuza inakuwa pesa..
Watasubiri sanaa..
Wanataka apendwe na watoto hadi wazee wote hata akiimba ujingahuyu jamaa hakuna anaemchukia bali mnataka kulazimisha apendwa na kila mtanzania ,ni vigumu sana kwa yeye kupendwa na kila kundi haswa la wanaijielewa yaani kundi la wasomi.
Mkuu kanyaga unasikiliza ukiwa hujanywa kabisa?... nyimbo za kuagia std 7 hizo nazo unaona song konki kweli?Nani wakumshusha,aliyekuwa anashindana nae yupo huko anacheza ndondo, ambaye boss wao ni shaffi, embu tuache utani ngoma ya kiba IPI utasikiliza ukaeleweka, domo kila leo anachia hit song
Wasanii wa kutupigia kelele tu... na nyota zao za pete vidoleni kuhadaa watu kumbe uchawi tu.Tuachen ushabiki na kufungua nyuz za kujitia moyo,Si Diamond si Kiba wote washajifia kimziki ila sema ndo hivo wamebaki wana bebwa na hizi team uchwara,Diamond ata endelea kufanya vizur hapa nchin kutokana na lifestyle yake ya kufanya watu wamfuatilie yeye na familia yake tofaut na lifestyle ya kiba.
Kanyaga eti nayo song mkuu... JF imejaza watoto kumbeKanyaga ndio hitsong ?
Na ukiwa mpenzi wa mziki mzuri wala huwezikupelekwa na upepo wa mtu kwa song bovu... Team hizi wao hoya hoya tu kama mazuzuHao ndio washauri wa DIMONDI,wanaambiana waingie youtube na ku click nyimbo za dimond kuongeza views basi wao wanaona inatosha ili wawecheke kina team kiba,ndipo walipofikia.
Inawezekana kanyaga isiwe hitsong kwetu mimi na wewe lakini mtu fulani kuikataa kanyaga hakumfanyi automatically awe mtu mzima , vilevile kusema kanyaga ni hitsong hakumfanyi aliyesema hivyo automatically kuwa mtoto.Kanyaga eti nayo song mkuu... JF imejaza watoto kumbe
Huyu jamaa song zake unasikiliza bila shida tena kwa volume kubwa bila kuvuka mstari hata 1...Sijui kwanini ila nimejisikia vibaya kuulizwa hili swali... DAIMA NITABAKI KUWA MPENZI WA KAZI ZA Ali Kiba.
Kulikuwa na NATURE, MR NICE, CAMELEON, P.JAY, AFANDE, J.DEE n.k... leo wametulia itakuwa huyu?And Everr.....
Kwani alikuwa nafasi ya ngapi kwenye rank tanzania? Na nani ali certify hiyo rank?Ok Diamond kashuka.
Kwa sasa nafasi yake imechukuliwa na nani ?
Yaani hawa wenye MAtiMU ni zaidi ya MANYUMBU ya Serengeti-Masai Mara Migration.Na ukiwa mpenzi wa mziki mzuri wala huwezikupelekwa na upepo wa mtu kwa song bovu... Team hizi wao hoya hoya tu kama mazuzu