Mganga aliyeshindwa kujitajirisha yeye mwenyewe, Ndio unategemea akupe mwelekeo wa biashara yako?
Common sense kidogo tu, Hamna.
Ndio maana mnatapeliwa kila kukicha.
Kapange au ndio masharti ya mganga wa tofaliWakati Mm bado naishi sebuleni kwa shemeji yangu hapa π
Ndo nilienda kwa mganga ili mambo yangu yawe mazuri ili nikapange ila ndo hvy mganga anataka nimjengee nyumba yake kwanza πKapange au ndio masharti ya mganga wa tofali
Hiyo nguvu ya kujenga ungeiwekeza kwako si ungeshamiliki ghorofa.Ndo nilienda kwa mganga ili mambo yangu yawe mazuri ili nikapange ila ndo hvy mganga anataka nimjengee nyumba yake kwanza π
But shetani hakupi vitu bureSio kweli.
Msiwe mnazungumza vitu ambavyo hamna experience navyo. Mlisharirishwa kuwa kila mganga lazima akupe masharti magumu!!!
Ni vile tu tukishampata mganga mzuri hatutaki watu wengine wamjue.
Mkuu kuna waganga wanajua, wanajua halafu wanajua tena!!!!! Kwa 50k tu nawapelekea moto washindani wangu wa biashara.
Na sitoi namba ng'oo hata unihonge laki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sio kweli.
Msiwe mnazungumza vitu ambavyo hamna experience navyo. Mlisharirishwa kuwa kila mganga lazima akupe masharti magumu!!!
Ni vile tu tukishampata mganga mzuri hatutaki watu wengine wamjue.
Mkuu kuna waganga wanajua, wanajua halafu wanajua tena!!!!! Kwa 50k tu nawapelekea moto washindani wangu wa biashara.
Na sitoi namba ng'oo hata unihonge laki
Ni yale yale, kinachofanyika, wateja wanafanywa mazombi kuja kununua vitu kwako tu.Kuna tofauti ya uganga na mazingaombwe.
Wapi wewe mmejaa utapeli tu mnajifanya wema sana kumamakeh. Zikalieni hizo konekshen kmmakehaO siwajui na sitaki kuwa chanzo Cha majuto YAKO na familia YAKO labda ungeniuliza kuhusu mganga wa kuboost kama mtoa nada alivyoomba.
Ha ha ha kila aliyezaliwa mamake anacho kiungo ukichokitaja.Wapi wewe mmejaa utapeli tu mnajifanya wema sana kumamakeh. Zikalieni hizo konekshen kmmake
Nasemaje binaadamu ni kiumbe kikuu kikiwekwa sawa kila kitu kinaenda SEMA DUNIA Ina mazonge mengi sana.Ni yale yale, kinachofanyika, wateja wanafanywa mazombi kuja kununua vitu kwako tu.
Haha haSio kweli.
Msiwe mnazungumza vitu ambavyo hamna experience navyo. Mlisharirishwa kuwa kila mganga lazima akupe masharti magumu!!!
Ni vile tu tukishampata mganga mzuri hatutaki watu wengine wamjue.
Mkuu kuna waganga wanajua, wanajua halafu wanajua tena!!!!! Kwa 50k tu nawapelekea moto washindani wangu wa biashara.
Na sitoi namba ng'oo hata unihonge laki
Unataka koneksheni GANI kwani mkuu.Wapi wewe mmejaa utapeli tu mnajifanya wema sana kumamakeh. Zikalieni hizo konekshen kmmake
We bado mtotoKwanza Mungu hayupo.
Hakuna utajiri wa aina yeyote ile unaotoka kwa Mungu.
Utajiri ni wa wanadamu.
Utajiri unatoka kwa wanadamu.
Utajiri upo kwa wanadamu.
Hakuna utajiri wa kishetani, freemason, Illuminati, ritual, kichawi au kishirikina.
Utajiri haupatikani kwa uchawi, uganga au ushirikina.
Hakuna Mungu anayetoa utajiri.
Hakuna Shetani anayetoa utajiri.
Siku zote utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina husikika tu kwa watu maskini hasa waafrika maskini choka mbaya, pangu pakavu tia mchuzi.
Huwezi kusikia hata siku moja kwamba utajiri wa Mo Dewji umetokana na uchawi au ushirikina. Bali Mo Dewji alipewa mtaji mkubwa na baba yake. Na utajiri wake unatokana na makampuni yake makubwa ya vinywaji na chakula hapa nchini.
Huwezi kusikia kwamba Elon musk utajiri wake unatokana na uganga au ushirikina. Utajiri wa Elon musk unatokana na kampuni zake za Space X, Tesla na Twitter.
Huwezi kusikia kwamba utajiri wa Jeff Bezos ulitokana na uchawi, uganga au ushirikina. Bali utajiri wa Jeff Bezos umetokana na kampuni yake ya Amazon.
Huwezi kusikia kwamba utajiri wa Aliko Dangote umetokana na ushetani au ushirikina. Bali utajiri wa Dangote umetokana na viwanda vyake vikubwa vya saruji na makampuni yake.
Halafu unakuta kuna makapuku huko wana aminishana kwamba kuna utajiri wa kishetani, kichawi na kishirikina.
Chaku shangaza bado umaskini wao upo vilevile.
Ukiwauliza kwa nini wasiutumie huo utajiri wa kishetani, kichawi na kishirikina kuwa matajiri kama Bakhressa wanakwambia wana ogopa masharti...!!
Ndio mentality za waafrika hizi..!!
π€·π½ββοΈππ½Mkuu Dogoli kinyamkela njoo kuna mada inakuhusu huku
Kwani hujasoma hapo juu vizuri..mganga anayetoa maagano/masharti ya kupata utajiri wa kutishaUnataka koneksheni GANI kwani mkuu.
Wa kawaida mkali niulize.sio haoKwani hujasoma hapo juu vizuri..mganga anayetoa maagano/masharti ya kupata utajiri wa kutisha
Haya basi wa kawaida mkali, mana mkiskia utajiri mnaruka futi milioni..Wa kawaida mkali niulize.sio hao