Hivi ni kweli mganga anaweza akaboost muelekeo wa biashara yako au ni stori tu?

Hivi ni kweli mganga anaweza akaboost muelekeo wa biashara yako au ni stori tu?

Mganga aliyeshindwa kujitajirisha yeye mwenyewe, Ndio unategemea akupe mwelekeo wa biashara yako?

Common sense kidogo tu, Hamna.

Ndio maana mnatapeliwa kila kukicha.

Mkuu tuache ubishi wa kipimbi. Una biashara?? Kama ndio andaa nauli na elfu 50 ya tiba kisha panga safari nikupeleke.

Uje kwa lengo la kujaribu tu, kisha ujionee balaa
 
Sio kweli.

Msiwe mnazungumza vitu ambavyo hamna experience navyo. Mlisharirishwa kuwa kila mganga lazima akupe masharti magumu!!!

Ni vile tu tukishampata mganga mzuri hatutaki watu wengine wamjue.

Mkuu kuna waganga wanajua, wanajua halafu wanajua tena!!!!! Kwa 50k tu nawapelekea moto washindani wangu wa biashara.

Na sitoi namba ng'oo hata unihonge laki
But shetani hakupi vitu bure
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sio kweli.

Msiwe mnazungumza vitu ambavyo hamna experience navyo. Mlisharirishwa kuwa kila mganga lazima akupe masharti magumu!!!

Ni vile tu tukishampata mganga mzuri hatutaki watu wengine wamjue.

Mkuu kuna waganga wanajua, wanajua halafu wanajua tena!!!!! Kwa 50k tu nawapelekea moto washindani wangu wa biashara.

Na sitoi namba ng'oo hata unihonge laki
Haha ha
 
Kwanza Mungu hayupo.

Hakuna utajiri wa aina yeyote ile unaotoka kwa Mungu.

Utajiri ni wa wanadamu.

Utajiri unatoka kwa wanadamu.

Utajiri upo kwa wanadamu.

Hakuna utajiri wa kishetani, freemason, Illuminati, ritual, kichawi au kishirikina.

Utajiri haupatikani kwa uchawi, uganga au ushirikina.

Hakuna Mungu anayetoa utajiri.

Hakuna Shetani anayetoa utajiri.

Siku zote utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina husikika tu kwa watu maskini hasa waafrika maskini choka mbaya, pangu pakavu tia mchuzi.

Huwezi kusikia hata siku moja kwamba utajiri wa Mo Dewji umetokana na uchawi au ushirikina. Bali Mo Dewji alipewa mtaji mkubwa na baba yake. Na utajiri wake unatokana na makampuni yake makubwa ya vinywaji na chakula hapa nchini.

Huwezi kusikia kwamba Elon musk utajiri wake unatokana na uganga au ushirikina. Utajiri wa Elon musk unatokana na kampuni zake za Space X, Tesla na Twitter.

Huwezi kusikia kwamba utajiri wa Jeff Bezos ulitokana na uchawi, uganga au ushirikina. Bali utajiri wa Jeff Bezos umetokana na kampuni yake ya Amazon.

Huwezi kusikia kwamba utajiri wa Aliko Dangote umetokana na ushetani au ushirikina. Bali utajiri wa Dangote umetokana na viwanda vyake vikubwa vya saruji na makampuni yake.

Halafu unakuta kuna makapuku huko wana aminishana kwamba kuna utajiri wa kishetani, kichawi na kishirikina.

Chaku shangaza bado umaskini wao upo vilevile.

Ukiwauliza kwa nini wasiutumie huo utajiri wa kishetani, kichawi na kishirikina kuwa matajiri kama Bakhressa wanakwambia wana ogopa masharti...!!

Ndio mentality za waafrika hizi..!!
We bado mtoto
 
Back
Top Bottom