Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,177
- 2,553
- Thread starter
-
- #41
AIseeKuna wahindi wapo morogoro mjini kwenye maghorofa ya mjini huko juu juu wanaishi kwa betting, hawana shughuli nyingine...zaidi utawaona kwenye kahawa na madrafti hapo masika karibu na crdb bank...😀. Nawajua kama wawili wanaishi kwa betting...wao kuweka milioni kwa odd ya 1.2 hawaoni shida yaani😆. Kupanga ni kuchagua....fikiria wametoka India kuja kuishi Tanzania halafu wamepanga nyumba za NHC hapo mjini...na kazi yao ni kuweka mkeka na kutulia tu
NakubaliBetting ni ajira ukiifanya kitajiri (uwe na mtaji mkubwa)
Kuna yule jamaa kule twitter anaitwa Sativa17....nilikuwa nafuatilia video yake akielezea jinsi alivyotekwa na kunusurika kufa baada ya kupigwa risasi ya kichwa.
Aliulizwa anafanya kazi gani akadai anafanya betting ( michezo ya kubashiri ) tu,, hafanyi inshu nyingine yoyote na kupitia hiyo betting ndio anaendesha maisha yake.
Sasa nimetafakari,, hivi ni kweli hii??,, mtu anaweza kuishi kwa kupitia betting bila kufanya shughuli nyingine za kumuingiza kipato.
NB😛pia huyo jamaa ni most wanted na watekaji wa nchi hii ( kwa madai yake mwenyewe ),,, so inawezekana kwa sababu kazi yake ni hiyo ya betting inamsaidia asikamatwe na watekaji??
Mbona hata sasa hivi hapo unaishi kwa kubet
Sikia kijana kwenye betting waliotajirika na wana ishi kwa kufanya kazi hiyo sio wana bet wao kwenye betting kuna makundi hayaKuna yule jamaa kule twitter anaitwa Sativa17....nilikuwa nafuatilia video yake akielezea jinsi alivyotekwa na kunusurika kufa baada ya kupigwa risasi ya kichwa.
Aliulizwa anafanya kazi gani akadai anafanya betting ( michezo ya kubashiri ) tu,, hafanyi inshu nyingine yoyote na kupitia hiyo betting ndio anaendesha maisha yake.
Sasa nimetafakari,, hivi ni kweli hii??,, mtu anaweza kuishi kwa kupitia betting bila kufanya shughuli nyingine za kumuingiza kipato.
NB😛pia huyo jamaa ni most wanted na watekaji wa nchi hii ( kwa madai yake mwenyewe ),,, so inawezekana kwa sababu kazi yake ni hiyo ya betting inamsaidia asikamatwe na watekaji??
Huwezi amini jana slavia prague alidraw dhidi ya kilaza mmoja wa czech!Mpaka odds 0.3 zinachna sembusw hizo 2.0?
Hakuna odds ya 0 mkuu and besides kuna risk management….Hzo odds za 1 had 2…..ukilingqnisha na odds za 20 had mia ….zenye chance kubwa ya kuchana ni hzo kubwa…..By the way stake what you can afford to lose.Mpaka odds 0.3 zinachna sembusw hizo 2.0?
Daah asante kwa elimu,, kumbe betting ina wigo mpana hiviSikia kijana kwenye betting waliotajirika na wana ishi kwa kufanya kazi hiyo sio wana bet wao kwenye betting kuna makundi haya
1. Wanao bett.... hawa wanabashiri wako radhi kufanya chochote kile ili washinde wanatafuta mbinu mbalimbali hawa ni waraaibu so wako tayari kulipa kiasi cha pesa kama tu mbinu utakayo wapo itawahakikishia ushindi
2. Makocha wa betting.... sasa hawa ndo wanakula hela wanauza odd wanafundisga ku bett wanatoa mawaidha jinsi ya kumla muhindi ....wanalipwa hela kutoa mbinu ndo kina sativa sasa elimu zao wanatolea wapi kwenye magroup mtu unakutana ana group za warahibu wa betting 10 ....akiuuza oddy labda 10000tsh wateja 30 kwa siku tsh ngapi laki tatu .....kwa mwezi je ...so unakuta kocha mzuri wa betting kwa mwezi amekosa kabisa ana million 4 ...
3 .professional betting
Hawa unakuta kwake ana macomputer ana masystem ya A.I yanamsaidia kubett pia huyu bett moja unakuta ana tia laki tano .... wengine bett moja anaweka 50 million au 10 yategemea na level ya unprofessional huwa hadi casinno anaenda mfano mkuu baba levo kutia 15 million casio ili atoe millio 100 kawaida... pia wapo wa mpira hawa ni full professional
Mkuu,kuna option nying mno kwa betting….kuna kadi,magoli,kona,keeper saves,shots on target,kuna under&over,kuna handicap….so wew ukiona umeliwa jua kuna mwenzako kala…and vice versa is true.Huwezi amini jana slavia prague alidraw dhidi ya kilaza mmoja wa czech!
Ni wangapi walichana siku ya psg na chelsea..nyie acheni tu
Battle of ashura si aliuwawa na waislam wenzake shida ...mmeanza kuuwana kitambo ..Hapana mkuu ila unaweza tu kuendesha maisha yako kwa kumtumaini na kumtegemea mwamba mkombozi wa waislamu kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali A.S aliyeuwawa kikatili kuutetea, kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma, ukandamizaji, unyanyasaji na uonevu.
Mcheki mwamba hapo Chini kwenye battle of Ashura.
View attachment 3412964View attachment 3412965View attachment 3412966View attachment 3412967
Inawezekana sana sema tu hujakutana na watu tofauti tofauti wenye akili nzuri na maisha ya kiaina. Cha msingi usiwaige.Kuna yule jamaa kule twitter anaitwa Sativa17....nilikuwa nafuatilia video yake akielezea jinsi alivyotekwa na kunusurika kufa baada ya kupigwa risasi ya kichwa.
Aliulizwa anafanya kazi gani akadai anafanya betting ( michezo ya kubashiri ) tu,, hafanyi inshu nyingine yoyote na kupitia hiyo betting ndio anaendesha maisha yake.
Sasa nimetafakari,, hivi ni kweli hii??,, mtu anaweza kuishi kwa kupitia betting bila kufanya shughuli nyingine za kumuingiza kipato.
NB😛pia huyo jamaa ni most wanted na watekaji wa nchi hii ( kwa madai yake mwenyewe ),,, so inawezekana kwa sababu kazi yake ni hiyo ya betting inamsaidia asikamatwe na watekaji??
Mkuu tulia wewee. Mcheki hapo Chini mwamba mkombozi wa waislamu kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali aliyeuwawa kikatili kuutetea kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.Battle of ashura si aliuwa na waislam wenzake shida ...mmeanza kuuwana kitambo ..
Mambo gani mkuuInawezekana sana sema tu hujakutana na watu tofauti tofauti wenye akili nzuri na maisha ya kiaina. Cha msingi usiwaige.
Ila kubeti kila siku sijawaona, wanabeti kwa msimu na kwa wiki siku kadhaa tu kwa stake kubwa. Na si kila anayepata hela uko anaweka stake. Wengine wanauza odds kwa mbumbumbu wanaokurupukia hela za haraka, wengine wanafanya matangazo ya makampuni ya kubeti, wengine wanafanya udanganyifu kwa edit ya stake na wins, wengine wanajihusisha na mitandao ya kupanga matokeo.
Sio kubeti tu, nimekutana na vijana wanaopata hela kwenye mambo ambayo huwezi dhania.
Akili yako inaokana haiko sawa hMkuu tulia wewee. Mcheki hapo Chini mwamba mkombozi wa waislamu kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali aliyeuwawa kikatili kuutetea kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.
View attachment 3412999View attachment 3413000