Hivi ni kweli usimkopeshe rafiki yako kama ni wa kike?

Ndiyo maana kola wafanyacho hakina mwisho mwena na siyo matajiri wanaishia kufunga biashara.
 
Mkuu ata mimi kuna mmoja alinikopa laki na nusu afate mzingo akishauza ata nilipata pesa yangu mpaka sasa hivi hajanilipa na anafanya biashara na mimi sifanyi biashara.
Hatari sana.

Mimi 150k ililiwa na jamaa yangu kabisa, ni kama nimetoa sadaka ase.
 
Hebu kuwa wazi bwashee....ulisha wahi mlamba?
 
Hebu kuwa wazi bwashee....ulisha wahi mlamba?
 
Mimi Kuna mtu alinikopesha 500,000, ni mwaka sasa namzungusha. Nina mpango wa kuhama mtaa maana huyu jamaa ameniganda sana.
 
Hiyo tabia haina jinsia, usikopeshe kama huna uwezo wa kupotezea endapo hutalipwa. Pole yako ndio ushapigwa hivyo.
Wanawake mmezidi. Mwanaume asipolipa uyo ni tapeli au ana nia ya kulipa lakini kashindwa halafu kila siku kukurusha rusha inamuua anaamua kuuchuna tu.

Lakini wanawake mna mind set kwamba mna haki ya kupewa hela za bure na mwanaume kwa sababu tu nyie ni wanawake, iyo mindset ndio inawafanya msilipe hata kama mnaweza kulipa ilo deni.
 
Mara ya mwisho kumkopesha hela mwanamke ni takribani miaka 10 hivi imepita. Aliniambia anarudisha baada ya wiki mbili

Imefika siku ya kulipa deni kimya, nikamwambia kesho mchana awe na iyo hela kesho yake tena analeta sound kibao nikamfata hostel kwao nikaondoka na smartphone yake.

Jioni yake tu alinifata hostel na hela mkononi nikamrudishia simu yake. Baada ya hapo akaniona kama vile adui kwake.

Usikopeshe wala kumpa hela mwanamke. Kwa sababu ukimkopesha hakulipi na ukimpa anakuona dhaifu kwake na fala wa kukutumia akiwa na shida.
 
Mwanaume unapata wapi nguvu ya kumkopesha ela mwanamke.....Yan mwanamke kukukopa mwanae no style tu ya kukuomba ela Hua haturudishiii Na mwanaume halisi hua hamdai mwanamke
 
Mwanaume unapata wapi nguvu ya kumkopesha ela mwanamke.....Yan mwanamke kukukopa mwanae no style tu ya kukuomba ela Hua haturudishiii Na mwanaume halisi hua hamdai mwanamke
Rekebisha iyo sentensi yako ya mwisho. Kuna tofauti kati ya mwanaume halisi na mwanaume fala.
 
Heri umpe Moyo wako Uwe Na Amani kuliko kumkopesha alafu akudhulumu
 
Kama hutaki urafiki,undugu,ujamaa au uchumba uvunjike basi usiwe unakopesha kiasi ambacho mkopwaji asipo rejesha au akachelewa kurejesha uhusiano wenu utavunjika.
 
Wewe Sasa ndio umeongea.

Wabongo tu kwa ujumla wana kasumba ya ovyo sana, yaani wanaona uchungu kulipa deni hata kama pesa wanayo mfukoni.... Yaani anaona kutoa hela yake mfukoni hili alipe deni ni kama anaitupa hivi kwa hiyo anaona ni heri aendelee kusumbuana tu na mdai wake, ovyo sana wabongo
 
Mangi hapo una chako , anaweza kubadilika ukakuta mnagombana kishamba kabisa ...Achana nae kabisa kesi hyyo .

Nami jamaa kashakaa na pesa yangu miezi mitatu mbele , siku namkumbusha akaniambia nitakutumia jioni , nikamchek kama saa 2 usiku ,akadai kesho .

Mpaka ni mwaka ni Mangi mwenzio .
 
Mkopeshe lakini kiasi ambacho hata asipokulipa hutaumia inakuwa kama umemhonga tu
 
Ajabu mkeo/mama anaweza kukuomba ela nyumbani ukajibu sina ila mademu wa nje mnavyowashobokea sasa
Na mnaamini huyu mleta mada ni mwanaume wa aina hii, nafikiri hata mwanzoni mwa post hii amejitanabaisha kwamba huwa anawakingia sana kifua wanawake humu ambao hata hawajui....

Si ajabu wakati anatoa hiyo hela laki 2 kwa huyo tapeli Kuna mtoto wa dada yake Hana hata viatu vya shule, ila Yuko bize kuwajali wanawake Baki wasiokuwa na faida yoyote maishani mwake
 
Me saiv sikoposhe hela hata kwa ndug yng wa karibu bora nionekane roho mbaya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…