Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Ah aha ha ah Mkuu Hii Na Bisha Kwa Kuwa Kuna Baadhi Ya Watu Walipigwa Hii Chanjo Na Bado Wakapata Huu UgonjwaNi chanjo ya matete kuwanga/smallpox
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ah aha ha ah Mkuu Hii Na Bisha Kwa Kuwa Kuna Baadhi Ya Watu Walipigwa Hii Chanjo Na Bado Wakapata Huu UgonjwaNi chanjo ya matete kuwanga/smallpox
Hamna shidasasa shida iko wapi, hata ikichomwa mguuni si ni poa tu ama
Ndui ni tetekuwanga, hivyo hiyo sindano ni chanjo ya tetekuwanga.Ni Chanjo Za Nin.....?? Kwann Ni Sisi Tuu Ndio Tunaochomwa izi Chanjo....??
Kwa mana Nyingine Ni Alama Ya Taifa.....??Huo ni uraia mkuu, Ndugu zetu wa Kenya sio upande wa kulia
ndui ni chanjo/kinga ya ugonjwa wa POLIO ule ambao husababisha miguu kukunjamana na kukosa nguvu hivyo kupelekea ukiwete na ilianza miaka kama ya mwishoni mwa 80's na kuendelea kwa kywa ugonjwa huu ulikuwa umeenea sana TZAh aha ha ah Mkuu Hii Na Bisha Kwa Kuwa Kuna Baadhi Ya Watu Walipigwa Hii Chanjo Na Bado Wakapata Huu Ugonjwa
ahahaaah, umenikumbusha kwenye mipaka ya Tanzania kama wakimtilia shaka mtu na mtu huyo akikomaa kusema yeye ni mtanzania wanamchungulia kama ana hiyo alama, pia wanamwambia aimbe wimbo wa Taifa la Tanzania. aahahahahahkitambulisho cha taifa
Tetekuwanga nimeumwa zaidi ya mara mojaHamna shida
Ndui ni tetekuwanga, hivyo hiyo sindano ni chanjo ya tetekuwanga.
Kwa kawaida ukipata tetekuwanga ukapona hautaugua tena huo ugonjwa nahisi Malawi hatukuona sababu ya kuwa na bajeti ya kuhudumia kitu kama hiki wakati hatuna pesa
Kwema Humu
Iv Alama Ya Ndui Ni Chanjo Au Ni Alama Ya Nin
Kama Ni Chanjo Hakuna Sehem Nyingine Ya Kupigwa Chanjo Zaid Ya Huo Mkono Wa Kulia ....??
Ukizaliwa Tanzania lazima hiyo kitu mkuuKwa mana Nyingine Ni Alama Ya Taifa.....??
Kwa Sababu IPI Sasa.....??Ukizaliwa Tanzania lazima hiyo kitu mkuu
Mh madarasa yote niliyopitia tulikaririshwa hivyo, sina komenti hapa.Tetekuwanga nimeumwa zaidi ya mara moja
Hiyo siyo ndui ni kovu la chanjo ya kifua kikuu hupatiwa watoto baada ya kuzaliwa pamoja ikiambatana na chanjo ya polio "POLIO 0" inayotolewa kwa njia ya matone.Kwema Humu
Iv Alama Ya Ndui Ni Chanjo Au Ni Alama Ya Nin
Kama Ni Chanjo Hakuna Sehem Nyingine Ya Kupigwa Chanjo Zaid Ya Huo Mkono Wa Kulia ....??
Aliyekwambia kuwa ukichomwa chanjo ya ugonjwa flani ndio huugui tena n nani? Hatakama sio medical practitioner jaribu kusoma vitu uelewe.Ah aha ha ah Mkuu Hii Na Bisha Kwa Kuwa Kuna Baadhi Ya Watu Walipigwa Hii Chanjo Na Bado Wakapata Huu Ugonjwa
Sasa kwanini tunakuwa na vitambulisho vya uraia?kitambulisho cha taifa
hahahaakitambulisho cha taifa
Weka picha pleaseKwema humu,
Hivi alama ya ndui ni chanjo au ni alama ya nini? Kama ni chanjo hakuna sehemu nyingine ya kupigwa chanjo zaidi ya huo mkono wa kulia?
Mjomba angu anayo mkon wa kushotoIlo Kushoto Sijawai Liona Mahala Popote Ila Kulia Ndio Najua Utaratibu Uliopo
Sasa kuliko kumcheka mwenzio ni bora ukaeleza hapa ufahamu wako wa hilo jambo kuliko kuishia kumkejeli mtuAliyekwambia kuwa ukichomwa chanjo ya ugonjwa flani ndio huugui tena n nani? Hatakama sio medical practitioner jaribu kusoma vitu uelewe.
Ni Mara ngapi umechoma chanjo ya tetanus na bado wanakwambia baada ya mda flani urudi uje kuchoma tena??
Kwahyo mkuu unadhani ile ni alama kwaajili ya watanzania?? [emoji23][emoji23] kweli tanzania ni yaviwonder