Hivi ni lazima kila raia wa Tanzania awe na kovu la ile sindano ya ndui begani?

Hivi ni lazima kila raia wa Tanzania awe na kovu la ile sindano ya ndui begani?

sasa shida iko wapi, hata ikichomwa mguuni si ni poa tu ama
Hamna shida
Ni Chanjo Za Nin.....?? Kwann Ni Sisi Tuu Ndio Tunaochomwa izi Chanjo....??
Ndui ni tetekuwanga, hivyo hiyo sindano ni chanjo ya tetekuwanga.

Kwa kawaida ukipata tetekuwanga ukapona hautaugua tena huo ugonjwa nahisi Malawi hatukuona sababu ya kuwa na bajeti ya kuhudumia kitu kama hiki wakati hatuna pesa
 
Ah aha ha ah Mkuu Hii Na Bisha Kwa Kuwa Kuna Baadhi Ya Watu Walipigwa Hii Chanjo Na Bado Wakapata Huu Ugonjwa
ndui ni chanjo/kinga ya ugonjwa wa POLIO ule ambao husababisha miguu kukunjamana na kukosa nguvu hivyo kupelekea ukiwete na ilianza miaka kama ya mwishoni mwa 80's na kuendelea kwa kywa ugonjwa huu ulikuwa umeenea sana TZ
 
kitambulisho cha taifa
ahahaaah, umenikumbusha kwenye mipaka ya Tanzania kama wakimtilia shaka mtu na mtu huyo akikomaa kusema yeye ni mtanzania wanamchungulia kama ana hiyo alama, pia wanamwambia aimbe wimbo wa Taifa la Tanzania. aahahahahah
 
Hamna shida

Ndui ni tetekuwanga, hivyo hiyo sindano ni chanjo ya tetekuwanga.

Kwa kawaida ukipata tetekuwanga ukapona hautaugua tena huo ugonjwa nahisi Malawi hatukuona sababu ya kuwa na bajeti ya kuhudumia kitu kama hiki wakati hatuna pesa
Tetekuwanga nimeumwa zaidi ya mara moja
 
Kwema Humu

Iv Alama Ya Ndui Ni Chanjo Au Ni Alama Ya Nin

Kama Ni Chanjo Hakuna Sehem Nyingine Ya Kupigwa Chanjo Zaid Ya Huo Mkono Wa Kulia ....??
Hiyo siyo ndui ni kovu la chanjo ya kifua kikuu hupatiwa watoto baada ya kuzaliwa pamoja ikiambatana na chanjo ya polio "POLIO 0" inayotolewa kwa njia ya matone.

Chanjo za kifua kikuu hutolewa kulingana na nchi na nchi sasa TZ ni bega la kulia lakini kuna nchi nyingine hutolewa bega la kushoto n.k
 
Ah aha ha ah Mkuu Hii Na Bisha Kwa Kuwa Kuna Baadhi Ya Watu Walipigwa Hii Chanjo Na Bado Wakapata Huu Ugonjwa
Aliyekwambia kuwa ukichomwa chanjo ya ugonjwa flani ndio huugui tena n nani? Hatakama sio medical practitioner jaribu kusoma vitu uelewe.

Ni Mara ngapi umechoma chanjo ya tetanus na bado wanakwambia baada ya mda flani urudi uje kuchoma tena??

Kwahyo mkuu unadhani ile ni alama kwaajili ya watanzania?? [emoji23][emoji23] kweli tanzania ni yaviwonder
 
Wazungu wana akili sana na walitutawala mpaka mavini. Ilikuwa wakati wanatoa chanjo hizo kila territory walikuwa na maelekezo yao ili kutambua eneo utokalo. Wapo wa kushoto wapo wa kulia na wapo walichanjwa upande wa juu wa bega. Mpaka leo ukidanganya uraia wako kama umekutwa kwenye nchi isiyo yako, hawahangaiki sana wanakupekua tu mikononi wakiona chale wanakujua wewe wa wapi. Simple as that. Kama unabisha kaulize ofisi za uhamiaji
 
Niliwahi kusikia wengine wanasema ni chanjo...wengine wakasema ukitaka kumjua mbongo unamuangalia tu kwenye mkono
 
Aliyekwambia kuwa ukichomwa chanjo ya ugonjwa flani ndio huugui tena n nani? Hatakama sio medical practitioner jaribu kusoma vitu uelewe.

Ni Mara ngapi umechoma chanjo ya tetanus na bado wanakwambia baada ya mda flani urudi uje kuchoma tena??

Kwahyo mkuu unadhani ile ni alama kwaajili ya watanzania?? [emoji23][emoji23] kweli tanzania ni yaviwonder
Sasa kuliko kumcheka mwenzio ni bora ukaeleza hapa ufahamu wako wa hilo jambo kuliko kuishia kumkejeli mtu
 
Back
Top Bottom