Hivi ni lazima kila raia wa Tanzania awe na kovu la ile sindano ya ndui begani?

Hii ni kwa tajiri yangu tu na si vinginevyo.

Ughaibuni ukimuona demu kavaa nguo isiyo na mikono halafu ukaona alama ya ndui basi kuna uwezekano mkubwa sana huyo demu akawa ni mbongo na mara zote ambapo nimekutana na wenye ndui wote ilitokea wakawa wabongo.
 
hii ni kwa tajiri yangu tu na si vinginevyo.

Ughaibuni ukimuona demu kavaa nguo isiyo na mikono halafu ukaona alama ya ndui basi kuna uwezekano mkubwa sana huyo demu akawa ni mbongo na mara zote ambapo nimekutana na wenye ndui wote ilitokea wakawa wabongo.

sijakelewa hapo uliposema kwa tajiri yako....

But miminaona hili jambo ni very fascinating
yaani ndui ndo kama kitambulisho cha uraia????????
 
Samahani...nilipunja tahajia hapo. Nilimaanisha "tajiriba" ama experience kwa kizungu.
 
nimezaliwa hospitali ee, tanzania hiyo hiyo ocean road 🙂p)

kwani mwisho miaka gani kuchanjwa?

kuwa mkweli gaijin
waliozaliwa ocean road wote wana ndui....
Wewe itakuwa special case...
Unless wazazi wako walikataa mkono wa kulia..
Ukipigwa sindano kwengine
but sindano za kinga za magonjwa kwa watoto,ocean road lazima ulpigwa
 
Mashauzi yake tu huyo chek sista
 
kuwa mkweli gaijin
waliozaliwa ocean road wote wana ndui....
Wewe itakuwa special case...
Unless wazazi wako walikataa mkono wa kulia..
Ukipigwa sindano kwengine
but sindano za kinga za magonjwa kwa watoto,ocean road lazima ulpigwa

Sina kovu ya ndui ...wallah tena.

Sijui ilikuwaje basi......itabidi nimuulize Bi. Mama
 
Labda una makovu mengi ya chanjo mbadala so yamedelete kovu la ndui lol
 
Back
Top Bottom