The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
sasa nimekupata where you are coming from....
sijui kama umenipata
ila mimi inanishangaza kuwa kama mtu hana ndui mkono wa kulia
anatuhumiwa kuwa sio raia.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa nimekupata where you are coming from....
<br />Sasa nimekupata where you are coming from....
hii ni kwa tajiri yangu tu na si vinginevyo.
Ughaibuni ukimuona demu kavaa nguo isiyo na mikono halafu ukaona alama ya ndui basi kuna uwezekano mkubwa sana huyo demu akawa ni mbongo na mara zote ambapo nimekutana na wenye ndui wote ilitokea wakawa wabongo.
mbona mie sina huyo ndui!!!
sijakelewa hapo uliposema kwa tajiri yako....
But miminaona hili jambo ni very fascinating
yaani ndui ndo kama kitambulisho cha uraia????????
ulizaliwa tz.hospitalini?mwaka gani?
nimezaliwa hospitali ee, tanzania hiyo hiyo ocean road 🙂p)
kwani mwisho miaka gani kuchanjwa?
kuwa mkweli gaijin
waliozaliwa ocean road wote wana ndui....
Wewe itakuwa special case...
Unless wazazi wako walikataa mkono wa kulia..
Ukipigwa sindano kwengine
but sindano za kinga za magonjwa kwa watoto,ocean road lazima ulpigwa
mashauzi yake tu huyo chek sista
kuwa mkweli gaijin
waliozaliwa ocean road wote wana ndui....
Wewe itakuwa special case...
Unless wazazi wako walikataa mkono wa kulia..
Ukipigwa sindano kwengine
but sindano za kinga za magonjwa kwa watoto,ocean road lazima ulpigwa
kabisa kabisa...
Atakuja hapa kutuuliza definition ya chek sista lol
Sina kovu ya ndui ...wallah tena.
Sijui ilikuwaje basi......itabidi nimuulize Bi. Mama
sina kovu ya ndui ...wallah tena.
Sijui ilikuwaje basi......itabidi nimuulize bi. Mama
inawezekana unayo,hujaiona bado lol
huwezi jitazama kote lol
Labda una makovu mengi ya chanjo mbadala so yamedelete kovu la ndui lol
fiksi zake hizo
Mbona mie sina huyo ndui!!!