Hivi ni lazima kila raia wa Tanzania awe na kovu la ile sindano ya ndui begani?

Hivi ni lazima kila raia wa Tanzania awe na kovu la ile sindano ya ndui begani?

ni chanjo kweli but pia ni alama ya kila mtanzania me yangu ilifutikaga nakumbuka wakati nasoma secondary walikuja watu wa afya wakatukagua ambaye hana alichomwa iyo sindano ambayo mwishowe kinabaki kialama me pia nikiwa mmoja wao
 
Ndui ni kovu linalobaki baada ya kupata chanjo zidi ya Mycobacterium Tuberculosis (TB). Chajo hii inaitwa BCG. Hupewa mtoto Mara tu baada ya kuzaliwa. Kwa Tanzania mara nyingi huchomwa bega la kushoto ila pia inaweza kuchomwa sehem zingine za mwili.
 
mi sina hiyo alama, na vijana wangu wamechomwa ila haijaacha hiyo alama
 
Ndui ni kovu linalobaki baada ya kupata chanjo zidi ya Mycobacterium Tuberculosis (TB). Chajo hii inaitwa BCG. Hupewa mtoto Mara tu baada ya kuzaliwa. Kwa Tanzania mara nyingi huchomwa bega la kushoto ila pia inaweza kuchomwa sehem zingine za mwili.
Mkuu unauhakika kweli! Ndui was eradicated world-wide 1979,hako uliko nako ni kachanjo ka kifua kikuu tu.
 
Ndui ni kovu linalobaki baada ya kupata chanjo zidi ya Mycobacterium Tuberculosis (TB). Chajo hii inaitwa BCG. Hupewa mtoto Mara tu baada ya kuzaliwa. Kwa Tanzania mara nyingi huchomwa bega la kushoto ila pia inaweza kuchomwa sehem zingine za mwili.
Huyu jamaa yupo sahihi kwa kiasi fulani....

Kwa uhakika zaidi unaweza google BCG VACCINE SCAR.
 
ndui ni chanjo/kinga ya ugonjwa wa POLIO ule ambao husababisha miguu kukunjamana na kukosa nguvu hivyo kupelekea ukiwete na ilianza miaka kama ya mwishoni mwa 80's na kuendelea kwa kywa ugonjwa huu ulikuwa umeenea sana TZ
Unavyocoment uongo kwa confidence sasa!

Hivyo chanjo ni ya BCG
Humzuia mtoti kupata kifua kikuu
 
Wazungu wana akili sana na walitutawala mpaka mavini. Ilikuwa wakati wanatoa chanjo hizo kila territory walikuwa na maelekezo yao ili kutambua eneo utokalo. Wapo wa kushoto wapo wa kulia na wapo walichanjwa upande wa juu wa bega. Mpaka leo ukidanganya uraia wako kama umekutwa kwenye nchi isiyo yako, hawahangaiki sana wanakupekua tu mikononi wakiona chale wanakujua wewe wa wapi. Simple as that. Kama unabisha kaulize ofisi za uhamiaji
Sio kweli nina uthibitisho ya watu waliozamia na kuukana ubongo na hawakukamatwa licha ya kuwa na ndui
 
Nimekaa na makabila tofauti na hata kipindi nasoma tunaoga pamoja kila ninaemwangalia mkononi lazima awe na kovu la ile sindano ya ndui begani je,hivi ni sheria au huwa inatokea tuu kwa kila anaechomwa hii sindano.
 
Back
Top Bottom