Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We utakuwa sio mtanzaniami ninayo kushoto, inamaana walikosea?😵
ahahahhhaaaa ndo maana ukifika polisi utasikia vua nguo kama ni wa kutupwa ndani iliwaone hako ka identityHuo ni uraia mkuu, Ndugu zetu wa Kenya sio upande wa kulia
hiii, kwani wanaozichoma ni malaika.We utakuwa sio mtanzania
Kwa Sababu IPI Sasa.....??
Mbona hata waliochomwa wanapata matete kuwanga?Ni chanjo ya matete kuwanga/smallpox
Mkuu unauhakika kweli! Ndui was eradicated world-wide 1979,hako uliko nako ni kachanjo ka kifua kikuu tu.Ndui ni kovu linalobaki baada ya kupata chanjo zidi ya Mycobacterium Tuberculosis (TB). Chajo hii inaitwa BCG. Hupewa mtoto Mara tu baada ya kuzaliwa. Kwa Tanzania mara nyingi huchomwa bega la kushoto ila pia inaweza kuchomwa sehem zingine za mwili.
Huyu jamaa yupo sahihi kwa kiasi fulani....Ndui ni kovu linalobaki baada ya kupata chanjo zidi ya Mycobacterium Tuberculosis (TB). Chajo hii inaitwa BCG. Hupewa mtoto Mara tu baada ya kuzaliwa. Kwa Tanzania mara nyingi huchomwa bega la kushoto ila pia inaweza kuchomwa sehem zingine za mwili.
Unavyocoment uongo kwa confidence sasa!ndui ni chanjo/kinga ya ugonjwa wa POLIO ule ambao husababisha miguu kukunjamana na kukosa nguvu hivyo kupelekea ukiwete na ilianza miaka kama ya mwishoni mwa 80's na kuendelea kwa kywa ugonjwa huu ulikuwa umeenea sana TZ
Sio kweli nina uthibitisho ya watu waliozamia na kuukana ubongo na hawakukamatwa licha ya kuwa na nduiWazungu wana akili sana na walitutawala mpaka mavini. Ilikuwa wakati wanatoa chanjo hizo kila territory walikuwa na maelekezo yao ili kutambua eneo utokalo. Wapo wa kushoto wapo wa kulia na wapo walichanjwa upande wa juu wa bega. Mpaka leo ukidanganya uraia wako kama umekutwa kwenye nchi isiyo yako, hawahangaiki sana wanakupekua tu mikononi wakiona chale wanakujua wewe wa wapi. Simple as that. Kama unabisha kaulize ofisi za uhamiaji