Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iwe kinga iwe tiba mi nazungumzia like kovu baada ya kuchomwa sindanoKinga au Tiba..chagua moja
Sawa mkuungoja wajuvi waje
Sawa hiyo hiyoKinga
Kwani lazma kuwe na kovu?Chapa.. Kingi dhidi ya homa ya ndui. Kila aliezaliwa Tz ni LAZIMA atakuwa nayo. Kama hana ndio hivyo.
Nimekaa na makabila tofauti na hata kipindi nasoma tunaoga pamoja kila ninaemwangalia mkononi lazima awe na kovu la ile sindano ya ndui begani je,hivi ni sheria au huwa inatokea tuu kwa kila anaechomwa hii sindano.
Ile chanjo sindano yake au dawa yenyewe sijui ni ya namna gani. Alama ya sindano huwa inabaki/inaonekanaKwani lazma kuwe na kovu?
Binafsi Sina...Mimi sina!
Sio kila mtu wengine hawana hiyo kitu japo ni watanzaniaNimekaa na makabila tofauti na hata kipindi nasoma tunaoga pamoja kila ninaemwangalia mkononi lazima awe na kovu la ile sindano ya ndui begani je,hivi ni sheria au huwa inatokea tuu kwa kila anaechomwa hii sindano.
Kenya hilo kovu lipo mkononi, hata mimi ndio najua hivyo(kielelezo cha Utaifa)Hiyo chanjo pia inatumika kama kielelezo cha nchi uliyozaliwa (utaifa). Wanaozaliwa nje ya TZ wanapewa hii chanjo eneo tofauti na wanalochanjwa waliozaliwa Tanzania.
c.c joanah
Kenya hilo kovu lipo mkononi, hata mimi ndio najua hivyo(kielelezo cha Utaifa)
Sasa hivi haichomwi tena eeeeh?Waliozaliwa zamani miaka ya sabini ndio walichomwa hiyo chanjo ya ndui, huo ugonjwa ulishafutwa
https://www.bbc.com/swahili/habari-45161787Sasa hivi haichomwi tena eeeeh?
Wewe sio mtanzaniaMimi sina hiyo...hiyo ni Kwa waliopata chanjo nadhani!