Hivi ni lazima kila raia wa Tanzania awe na kovu la ile sindano ya ndui begani?

Mimi sina hiyo...hiyo ni Kwa waliopata chanjo nadhani!
 
Chapa.. Kinga dhidi ya homa ya ndui. Kila aliezaliwa Tz ni LAZIMA atakuwa nayo. Kama hana ndio hivyo.
 
Nimekaa na makabila tofauti na hata kipindi nasoma tunaoga pamoja kila ninaemwangalia mkononi lazima awe na kovu la ile sindano ya ndui begani je,hivi ni sheria au huwa inatokea tuu kwa kila anaechomwa hii sindano.

Hiyo chanjo pia inatumika kama kielelezo cha nchi uliyozaliwa (utaifa). Wanaozaliwa nje ya TZ wanapewa hii chanjo eneo tofauti na wanalochanjwa waliozaliwa Tanzania.

c.c joanah
 
Waliozaliwa zamani miaka ya sabini ndio walichomwa hiyo chanjo ya ndui, huo ugonjwa ulishafutwa
 
Nimekaa na makabila tofauti na hata kipindi nasoma tunaoga pamoja kila ninaemwangalia mkononi lazima awe na kovu la ile sindano ya ndui begani je,hivi ni sheria au huwa inatokea tuu kwa kila anaechomwa hii sindano.
Sio kila mtu wengine hawana hiyo kitu japo ni watanzania
 
Hiyo chanjo pia inatumika kama kielelezo cha nchi uliyozaliwa (utaifa). Wanaozaliwa nje ya TZ wanapewa hii chanjo eneo tofauti na wanalochanjwa waliozaliwa Tanzania.

c.c joanah
Kenya hilo kovu lipo mkononi, hata mimi ndio najua hivyo(kielelezo cha Utaifa)
 
Back
Top Bottom