Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Mzee umechemka labda hata hujui unachobishia ni nini!Mzee umechemka sio smallpox bro ni BCG
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee umechemka labda hata hujui unachobishia ni nini!Mzee umechemka sio smallpox bro ni BCG
MujjarabMnamo mwanzoni mwa miaka ya 1700, mji wa Boston, Massachusetts kama ilivyokuwa kwa dunia nzima kipindi hiko, ulikumbwa na ugonjwa mbaya wa Ndui uliosababisha vifo vya watu wengi. Inakadiliwa watu zaidi ya milioni 300 walifariki kwa ugonjwa wa Ndui duniani kote.
Ugonjwa wa Ndui kipindi hiko ulikuwa kama hukumu ya kifo kwa waliougua na hata wagonjwa wachache waliopona waliachwa na makovu na vilema kwenye miili yao.
Lakini mnamo mwaka 1716, mtumwa wa kiafrika aitwaye Onesimus alimwambia mmiliki wake, bwana Cotton Mather, kuwa anafahamu siri ya ugonjwa wa Ndui. Onesimus alieleza kuwa alipokuwa Afrika alifanyiwa upasuaji mdogo na kupewa sehemu ya ugonjwa kwenye mwili wake na hivyo kumsababishia kinga dhidi ya kuugua tena ugonjwa huo.
![]()
Upasuaji huo mdogo ulijumisha kusuguliwa juu ya ngozi kwa maji maji kutoka kwenye vidonda vya mgonjwa wa Ndui na hivyo kumfanya kuwa na kinga ya ugonjwa huo.
Mather, alishangazwa na simulizi hiyo ambapo ilimbidi kufanya uchunguzi kwa watumwa wengine wa kiafrika ambao pia walimthibitishia juu ya ukweli wa tiba hiyo. Simulizi ya tiba hii kutoka kwa mtumwa wa kiafrika haikupata ushawishi mkubwa kwenye jamii ya watu weupe ila Mather aliendelea kuhubiri juu ya teknolojia hii.
Mnamo mwaka 1721, Mather pamoja na daktari mzungu Boylston Zabdiel walifanikiwa kujaribu teknolojia hiyo kwa mara ya kwanza ambapo walianza na mtoto wa Mather na baadhi ya wakazi wa Boston. Tiba hiyo ilionyesha mafanikio makubwa sana kwani kati ya watu 242 waliopata tiba hiyo ya chanjo ni watu 6 tu waliofariki kwa ugonjwa wa Ndui ikilinganisha na uwiano wa vifo 7 kwa kila wagonjwa 40 bila ya chanjo.
Mwaka 1796. Edward Jenner alifanikiwa kutengeneza chanjo ya kwanza rasmi kutokana na kirusi cha Ndui wa ng’ombe na hatimaye chanjo ya Ndui ikawa ni ya lazima kwa wakazi wote wa Boston, Massachussets.
Kutokana na mafanikio hayo na maboresho mbalimbali, mwaka 1980, shirika la afya duniani WHO walitangaza kuwa ugonjwa wa Ndui umetokomezwa rasmi katika uso wa Dunia.
Mwaka 2016, Onesimus alipewa heshima ya mtu bora wa wakati wote kwenye mji wa Boston. Mengi hayasemwi juu ya kifo cha Onesimus ila alifanikiwa kununua uhuru wake mwenyewe kwa kumlipa mmiliki wake kiasi sawa cha kuweza kununua mtumwa mwingine.
Leo hii, zaidi ya miaka 300 baadae, tiba na teknolojia ya chanjo imepiga hatua kubwa ambapo magonjwa kama Surua na Polio ni magonjwa yanayokaribia kutokomezwa kabisa katika uso wa dunia.
Chanjo ni dawa ya kibaologia ambapo kipande cha ugonjwa au ugonjwa uliofubazwa uingizwa kwenye mwili wa binadamu kama namna ya kujenga kumbukumbu kwenye kinga ya mwili dhidi ya ugonjwa fulani.
Kama side effects zake ni hizo basi huenda tunachomwa ndui kwa sababu za kibiashara zaidiChanjo(vaccine) dhid ya ugonjwa wa kifua kikuu kawaida unaweza kuwekewa wadudu walio dhohofika ila wapo hai, live attusinate ama walio kufa, ama genes za wadudu sasa kwenye ndui unawekewa wadudu wa walio hai wa TB ila wamedhohofishwa ili kinga ya mwili iwatambue kwa ajili ya kutengeneza kinga dhidi yake
Sasa mara zote huchomwa chini ya ngozi epedermis na hutengeneza kovu kma ndui na tz walichagua bega la kushoto.
Pia katika madhara ya hii chanjo muda wowote immute yako ikishuka wale jamaa wanaamka na kukuletea tb inaweza ikwa ya mapafu(pulmonary tb) ama extrapulmonary tb kifupi ndo hivyo mkuu
Ndiyo, ni chanjo ya kumkwepa Nduli Iddi Amini Dada.Huyu Huyu Nduli Idd Amini au nani?
Kwa Wahdzabe wako nchi gani? Kama ni Tanzania ilimradi umejifungulia hospital lazima achanjwe siku hiyohiyo mtoto aliyozaliwa.Huko nchi za wenzetu watoto wanadungwa? Au ni ka program ka muda mrefu kakuhafifisha kizazi.. Cha jamii fulani.
Twende tu hapo kwa wadzabe wawe kama mfano wetu.
Wasio zaliwa ulhospitali mbona hawadungwi na tuko naoKwa Wahdzabe wako nchi gani? Kama ni Tanzania ilimradi umejifungulia hospital lazima achanjwe siku hiyohiyo mtoto aliyozaliwa.
Halafu hizo Imani eti kudhoofisha vizazi Kama huamini sayansi ukiumwa usimeze hata Panadol Basi kanywe mitishamba Maana hiyo ndo haijaundwa na mzungu.
Ndugu nikupongeze kwa kutumia mtandao kujifunza jambo usilo kujua ni story ndefu lakini nitajitahidi kuifikisha ili ueleweHii kitu Asilimia kubwa sana watanzania walichomwa, wengi hata bila kujijua tunaiona ukubwani.
Naomba kujua:
Je, inamaanisha au inakinga nini?
Je, bado ipo mpaka leo?
Je, ni kila nchi ipo au ni Tz pekee?
Je, ilikua ni lazima kuchoma?
Je, ni official kiafya?
Je, ambao hawakuchomwa inaweza waletea shida yeyote?
Kwa nini inakua na nadharia tofauti tofauti kwa jamii.
Nami sina kovu, chanjo irudiwe.... irudiweTena tunaambiwa kama mtt amechoma chanjo kwenye bega ile kovu kama haijatokeza chanjo inakuwa naijafanya kazi vizuri. Hivyo inabidi achomwe tena.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mie ninalo bonge hiloooNami sina kovu, chanjo irudiwe.... irudiwe
Ndugu nikupongeze kwa kutumia mtandao kujifunza jambo usilo kujua ni story ndefu lakini nitajitahidi kuifikisha ili uelewe
1nakumbuka mnamo miaka ya nyuma kulikua na ugonjwa wa ndui ugonjwa huo umeua watu wengi sana lakini baada ya kupatikana chanjo ugonjwa huo ukapungua makali na ikawa silua,na tetekuwanga lakini siku hizi magonjwa haya yapo ila hayana nguvu kabisa wakati mwingine kama sio mzoefu na magonjwa hayo unaweza usijue mwanao anacheka mwili na nini kumbe ni hiyo sulua hivyo chanjo imesaidia sana kuondoa ugonjwa huo
2 kuhusu kovu ni kweli wengi mmejikuta na kovu la chanjo kwa sababu mnachanjwa Mngwali wadogo ila mimi nichanjwa nikiwa mkubwa najitambua na wagonjwa wa ndui niliwaona usipime mtu wangu
kwa maendeleo ya sasa watoto wachanga hawachanjwi tena lile lialama kubwa mpaka kidonda kikatokeaNimezaliwa Msoga, Chalinze , Pwani
Kwani wewe ulishaona Mzungu aliyechomwa sindano ya Ndui akabaki na alama?Duh Kumbe Waafrika ndio walianza kutumia chanjo ya ndui kabla ya wengine.
Nina miaka 34kwa maendeleo ya sasa watoto wachanga hawachanjwi tena lile lialama kubwa mpaka kidonda kikatokea
maana yake waliozaliwa miaka ya 2000 alama haitatokea kwa hiyio wewe umri hujavuka miaka 24
Kuna msosi from Mexico 🇲🇽 waitwa taco 🌮😆😆Ndio ile ya kwenye taco ?
Nimewahi kushushwa kwenye gari nikiwa mahali fulani kukaguliwa kovu despite my documents. Bahati mbaya sina alama 😀😀Mwanangu hana