Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe si nasikia ni Mturkana, toka Abyssinia na lugha yenu Ng'aturkwana.Umeona eeh da Preta, mie mwenyewe sina ati, Hebu nikaiombe hiyo chanjo nsije nyimwa kitambulisho bureee, lol

thanx

nilikuwa namaanisha hiyo alama hasa mkono wa kulia

Mbona mimi ninayo mikono yote?

Mbona mimi ninayo mikono yote?

utakuwa abnormal! Hahaha lol! Natania. Me cna ya begani,iko kwenye paja

Halafu Hospitali wanakwambia, ukiona hiyo sindano haijaacha kovu basi mrudishe mtoto achomwe nyingine. Kwa hiyo hilo kovu inaonekana lina kaumuhimu fulani hivi
Mbona mie sina, ila age mate wangu wooote wanayo. Labda nilizaliwa Trindad and Tobago.