Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sina hiyo ndui japokuwa nilipata hiyo chanjo
Mimi sina hiyo ndui japokuwa nilipata hiyo chanjo
hata mie nahisi sina
Mbona mie sina, ila age mate wangu wooote wanayo. Labda nilizaliwa Trindad and Tobago.
Mimi pia sina...nilichomwa lkn sikutoka kovu..ila mwili wangu unatabia ya kutoacha makovu..niliumwa tetekuwanga nikiwa first year chuoni...sijabaki ht na alama moja ya tete kuwanga
Mbona mie sina, ila age mate wangu wooote wanayo. Labda nilizaliwa Trindad and Tobago.
Mi sijaumwa hadi leo hizo tetekuwanga na wanasema ni lazima uumwe, jamani napenda niwe na mwili wako, nisibaki na makovu[/QUOT
Kuna rafiki yangu nilimuambukiza mpk leo ana vikovu usoni...
Mimi sina hiyo ndui japokuwa nilipata hiyo chanjo
Basi sindano haikukuingia vzr
Labda kama hawakuchoma wanangu wanayo mbonawakuu habari!
wengi wa watanzania tuliozaliwa miaka ya 1990 kushuka chini ukituangalia kwenye benga kuna kovu la ndui inasemekana ni janja ya mchonga ili kuwatambua watanganyika kwa urahisi. sasa kama ilikuwa ni identity mbona watoto wa siku hizi hawana?
Hebu wahi kwa toilet chap chap ukajichungulie halafu urudi kutupa feedback!!
Hata mwanangu wa mwisho mwenye miaka 4 anayo, sikuelewi unaongea nini, au ndiyo nyinyi mnaojifanya mko bize kiasi cha kushindwa kuwapeleka chanjo watoto wenu?