MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Bora hizo 1344km za kwenye lami. Hiyo ya Arusha akishapita tu Karatu ni majanga.. vumbi tupu ingawa faida yake ni utalii wa bure kabisa mnavyopita Manyara, Ngorongoro na SerengetiYa Arusha sio ndefu, sema ni mbaya, lami hakuna across the Serengeti
Ya Arusha Kilomita 1166,
Ya Kati Kilomita 1,344
View attachment 2674780
Ya Kati Kilomita 1344
View attachment 2674784
Uko sahihi na bahati naona ye alikuwa anafanya kitaalamu kabisa nilijifunza mengiWake zake Wadogo na baadhi ya Watoto wake wanauendeleza pamoja na kufanya Kilimo pia ambacho Mzee Musuguri alikipenda na anakipenda kwani ndicho Kimekomboa Nduguze wengi pale Kijijini Butiama kwa Biashara na Chakula cha Nyumbani.
Sijawahi kucheka mno kama nilivyocheka baada ya kuisoma hii Post yako. Hivi umewaza nini Pimbi Wewe?Njia fupi ni kukodi Jet inakufikisha hapo Musoma airport chapu chapu, au kodisha Hellicopter inatua moja kwa moja kijijini kwetu.
Unaongelea bwala la Kitanga?Hahaha mwaka huo nami nilimtembelea Msuguri na kuoga kwenye bwawa lake pale nyumbani kwake nadhani anaendeleza ule ufugaji
Pitia simiyu unakuwa umesev 100 kmKweli nilisahau kuandika kutokea wapi. Ni kutokea Mkoani Dar es Salaam Mkuu.
Kwani si Kuna Chocho Bariadi sijui Simiyu unaibukia Lamadi?Kweli nilisahau kuandika kutokea wapi. Ni kutokea Mkoani Dar es Salaam Mkuu.
Hata Ndege Kwale ushindwe!Acha Bangi hiyo Nauli ya Ndege niitoe wapi? Kwa Uzi huu najua nitacheka mno kwa Comments zenu hasa nyie Wapuuzi Watani zangu niliowachokoza kwa Makusudi hapo juu.
Ukitaka kupitia Babati,inabidi ufuate njia ya Singida then unachepuka kuingia Kwa Wambulu hadi Dongobesh ,urudi Mbulu Mjini! Note: Inasemekana Dongobesh Ndio Eneo kenye Wanawake Wazuri Kusini mwa Mstari wa Equitor! Sasa ukiwapitisha ndugu zangu wa Msoma huko sijui itakuwaje!Thanks for collection
Mi nilikua naelekea Singida huko nlielezwa tu
Imeisha hiy
Daraja Hilo limekamilika .. Mto Sibiti mpakaninmwa Singida na Shinyanga...tatizo ni barabara ,Kuna nyakati magari ya Dar Bariadi yalikuwa yanapita huko ..Singida ,Mkalama, Meatu..alternatively unaweza kupita Singida ,Kinampanda ,inashuka blonde la ufa ..Msingi,Mkalama,Isazu ..unaingia Shinyanga!Wakati was utawala was Magufuli nilisikia meneja wa tanrod akizungumzia Kuna njia inasubiri daraja kujengwa Singida kwa mbele ambayo itapunguza km 600 Hadi Mara ;lakini mpaka Sasa sijasikia chochote
Ulivyouliza tu unaonesha ulivyo mshamba wa jiografia ya kanda ya ziwa! Huna ujanja wowote mtani!!!!ONYO
Ukijijua Wewe ni Mhaya, Mnyaturu, Muha, Mnyiramba, Mrangi, Mkerewe na Mnyamwezi tafadhali kaa mbali na huu Uzi kwani nina uhakika kwa Ushamba wenu mkubwa hakuna mnachokijua na wote huwa hamna Ratiba za Kusafiri kutokana na kutokuwa na Pesa kama tulizonazo Watu wa Mkoa wa Mara ( Musoma ) wenye Maendeleo makubwa kuliko hiyo Mikoa yenu Duni.
Watani mpooooooo.......!!!!
Wengine karibuni katika Kuchangia.
Kumbe ndiyo hivo aisee hiyo singida mjini mpaka sheluwi hupiti.Daraja Hilo limekamilika .. Mto Sibiti mpakaninmwa Singida na Shinyanga...tatizo ni barabara ,Kuna nyakati magari ya Dar Bariadi yalikuwa yanapita huko ..Singida ,Mkalama, Meatu..alternatively unaweza kupita Singida ,Kinampanda ,inashuka blonde la ufa ..Msingi,Mkalama,Isazu ..unaingia Shinyanga!
Kulazimisha au kufurahia kufika siku hiyo hiyo Dar mpaka Mara that's a death trap. GPS ya Googlemap inasema ni safari ya saa 21, tena GPS huwa ina assume ni gari ndogo, kwa basi hapo inaweza kusema 24hrs, wewe unataka kulazimisha 14hrs. ukate masaa 10. Sio death trap hiyo ni nini ?Tunapita bariadi siku izi ukipanda happy nation ya 11 sa 6 usiku uko bweri musoma ushashuka
Pitia mwigumbi Hadi lamadi unaingia bundaONYO
Ukijijua Wewe ni Mhaya, Mnyaturu, Muha, Mnyiramba, Mrangi, Mkerewe na Mnyamwezi tafadhali kaa mbali na huu Uzi kwani nina uhakika kwa Ushamba wenu mkubwa hakuna mnachokijua na wote huwa hamna Ratiba za Kusafiri kutokana na kutokuwa na Pesa kama tulizonazo Watu wa Mkoa wa Mara ( Musoma ) wenye Maendeleo makubwa kuliko hiyo Mikoa yenu Duni.
Watani mpooooooo.......!!!!
Wengine karibuni katika Kuchangia.
inategemea uko mkoa gani,na kipato chako kikoje,maana kama upo dar,moro,arusha,tanga ama unaweza kupitia mombasa,nairobi,au kupitia arusha kupitia mbuga ya serengeti na ukafika mara bila kupitia mwanzaONYO
Ukijijua Wewe ni Mhaya, Mnyaturu, Muha, Mnyiramba, Mrangi, Mkerewe na Mnyamwezi tafadhali kaa mbali na huu Uzi kwani nina uhakika kwa Ushamba wenu mkubwa hakuna mnachokijua na wote huwa hamna Ratiba za Kusafiri kutokana na kutokuwa na Pesa kama tulizonazo Watu wa Mkoa wa Mara ( Musoma ) wenye Maendeleo makubwa kuliko hiyo Mikoa yenu Duni.
Watani mpooooooo.......!!!!
Wengine karibuni katika Kuchangia.
Via mwigumbi Maswa Bariadi lamadi to Musoma.ONYO
Ukijijua Wewe ni Mhaya, Mnyaturu, Muha, Mnyiramba, Mrangi, Mkerewe na Mnyamwezi tafadhali kaa mbali na huu Uzi kwani nina uhakika kwa Ushamba wenu mkubwa hakuna mnachokijua na wote huwa hamna Ratiba za Kusafiri kutokana na kutokuwa na Pesa kama tulizonazo Watu wa Mkoa wa Mara ( Musoma ) wenye Maendeleo makubwa kuliko hiyo Mikoa yenu Duni.
Watani mpooooooo.......!!!!
Wengine karibuni katika Kuchangia.
Mkuu mbona ni reasonable sa 11 asubuh unafika sa 6 usikuKulazimisha au kufurahia kufika siku hiyo hiyo Dar mpaka Mara that's a death trap. GPS ya Googlemap inasema ni safari ya saa 21, tena GPS huwa ina assume ni gari ndogo, kwa basi hapo inaweza kusema 24hrs, wewe unataka kulazimisha 14hrs. ukate masaa 10. Sio death trap hiyo ni nini ?
Njia nzima unalazimisha ma overtake ya chupuchupu, kila dereva akiingia saiti ya kulia mashingo ya kila mtu yananyooka kuangalia nje, is he gonna make this one, roho mkononi....
Ni mtu ambae bado mtoto ndio anafurahia ma speed hayo. Kichwa hakijakomaa.
Itajengwa ila sio Leo Wala kesho,Kuna Barabara nyingi sana za kipaombele Kwa Sasa.Daraja Hilo limekamilika .. Mto Sibiti mpakaninmwa Singida na Shinyanga...tatizo ni barabara ,Kuna nyakati magari ya Dar Bariadi yalikuwa yanapita huko ..Singida ,Mkalama, Meatu..alternatively unaweza kupita Singida ,Kinampanda ,inashuka blonde la ufa ..Msingi,Mkalama,Isazu ..unaingia Shinyanga!