Kulazimisha au kufurahia kufika siku hiyo hiyo Dar mpaka Mara that's a death trap. GPS ya Googlemap inasema ni safari ya saa 21, tena GPS huwa ina assume ni gari ndogo, kwa basi hapo inaweza kusema 24hrs, wewe unataka kulazimisha 14hrs. ukate masaa 10. Sio death trap hiyo ni nini ?
Njia nzima unalazimisha ma overtake ya chupuchupu, kila dereva akiingia saiti ya kulia mashingo ya kila mtu yananyooka kuangalia nje, is he gonna make this one, roho mkononi....
Ni mtu ambae bado mtoto ndio anafurahia ma speed hayo. Kichwa hakijakomaa.