Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hili bunge la bajeti ingawa bunge lenyewe lilishapoteza uhalali lakini nikiwa home huwa nafuatilia michango ya wabunge.
Kinachonikwaza Mimi najiuliza inakuwaje kwa dakika chache wanazopewa wabunge kutowa michango muda mwingi wanatumia kumsifu Rais, waziri na serikali?
Inawezekana Mimi ndio sijui au nina chuki zangu tu na CCM na bunge zima, sasa naomba msaada ili nisikwazike. Je, huu ndio utaratibu wa kibunge wa mabunge ya Westminster?