Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakikaShida imeanzia kwenye katiba yetu. Kitendo cha kumfanya raisi ni Mungu mtu (kwa mamlaka aliyopewa na katiba iliyopo) ndio mambo kama haya ya uchawa na ujinga mwingine umetamalaki.
Watz adui yetu mkubwa ni katiba mbovu tuanzie hapo.
Komenti hii ilitosha kufungia UziWatanzania wanaishi kinafki,uchawa,kujipendekeza tu
Ova
Ni bunge la ovyo tu ndio wabunge wake wako hivyo.dunia nzima hakuna bunge la hivyo.Hili bunge la bajeti ingawa bunge lenyewe lilishapoteza uhalali lakini nikiwa home huwa nafuatilia michango ya wabunge.
Kinachonikwaza Mimi najiuliza inakuwaje kwa dakika chache wanazopewa wabunge kutowa michango muda mwingi wanatumia kumsifu Rais, waziri na serikali?
Inawezekana Mimi ndio sijui au nina chuki zangu tu na CCM na bunge zima, sasa naomba msaada ili nisikwazike. Je, huu ndio utaratibu wa kibunge wa mabunge ya Westminster?
Ni kusanyika la matapeliHlo jengo limekusanya kundi la washamba na washirikina ,hamna kitu mle
Hili bunge la bajeti ingawa bunge lenyewe lilishapoteza uhalali lakini nikiwa home huwa nafuatilia michango ya wabunge.
Kinachonikwaza Mimi najiuliza inakuwaje kwa dakika chache wanazopewa wabunge kutowa michango muda mwingi wanatumia kumsifu Rais, waziri na serikali?
Inawezekana Mimi ndio sijui au nina chuki zangu tu na CCM na bunge zima, sasa naomba msaada ili nisikwazike. Je, huu ndio utaratibu wa kibunge wa mabunge ya Westminster?
Leo Ndiyo ilikuwa mara yangu ya kwanza kuangalia Bunge Live ingawa sijawahi kuwa interested na bunge la Tanzania. Nimeshangaa kuna wabunge wamepewa dakika kumi yaani dakika saba ni kusifu Rais na Serikali nilishangaa sana nikajiuliza swali hilo hiloHili bunge la bajeti ingawa bunge lenyewe lilishapoteza uhalali lakini nikiwa home huwa nafuatilia michango ya wabunge.
Kinachonikwaza Mimi najiuliza inakuwaje kwa dakika chache wanazopewa wabunge kutowa michango muda mwingi wanatumia kumsifu Rais, waziri na serikali?
Inawezekana Mimi ndio sijui au nina chuki zangu tu na CCM na bunge zima, sasa naomba msaada ili nisikwazike. Je, huu ndio utaratibu wa kibunge wa mabunge ya Westminster
Sijawahi kuona bunge la kifala kama hili!Hili bunge la bajeti ingawa bunge lenyewe lilishapoteza uhalali lakini nikiwa home huwa nafuatilia michango ya wabunge.
Kinachonikwaza Mimi najiuliza inakuwaje kwa dakika chache wanazopewa wabunge kutowa michango muda mwingi wanatumia kumsifu Rais, waziri na serikali?
Inawezekana Mimi ndio sijui au nina chuki zangu tu na CCM na bunge zima, sasa naomba msaada ili nisikwazike. Je, huu ndio utaratibu wa kibunge wa mabunge ya Westminster?
Wewe mwongoooooo Kwa hilo, wa Tanzania ndiyo wako hivyo tangu zama zileeeee. Kwani zidumu fikra za mwenyekiti zilianza lini?Huu ni utaratib ulioshamiri na kutukuzwa awamu ya tano!! Namim naweza sema bora awamu hii, awamu iliyopita yaan mtu ananusurika kweny ajal cha kwanza anamshukur rais? Mtu anaachiwa toka mikononi mwa watekaji waliovamia Nchi toka South Africa tena bila intelligence yetu kujua. Still cha kwanza anamshukur rais kwa kuachiwa na watekaji 🤣🤣🤣!! Bado wengine walivuka mipaka ya ukuu wa MUNGU na kusema MUNGU ndie anapaswa amshukur JPM? Laan hii itawatafuna till the end of this world!!!
Hata Wabunge Wapagani Mungu wao ni Rais.Rais wa Tanzania ni zaidi ya MUNGU anatukuzwa kupita kiasi
Mimi huwa naona kama hawana hata familia. Wangekuwa na aibu basi hata mbele ya familia zao kwa aibu na upupu wanaotuletea BungeniKila nikiwatazama hawa wabunge wakiwa wamesimama, nabaki tu nikitikisa kichwa na kujiuliza hivi Watanzania tumefikafikaje hapa! Ghafla naukumbuka mkataba wa DP!
Huu ni uthibitisho tosha kwamba mwaka 2020 hatukuwa na uchaguzi. Hakuna namna hawa FDD wangeweza kutia miguu bungeni kama wawakilishi wa wananchi.Sijawahi kuona bunge la kifala kama hili!
Fikiria familia yako inakuangalia unavyojidhalilisha bungeni halafu unarudi nyumbani na kuwasifia kwa mbwembwe wanao ulivyowauza Watanzania!Mimi huwa naona kama hawana hata familia. Wangekuwa na aibu basi hata mbele ya familia zao kwa aibu na upupu wanaotuletea Bungeni
Rais ni mwenyekiti wa chama, pia huongoza kamati kuu itakayopitisha majina ya wagombea,Hili bunge la bajeti ingawa bunge lenyewe lilishapoteza uhalali lakini nikiwa home huwa nafuatilia michango ya wabunge.
Kinachonikwaza Mimi najiuliza inakuwaje kwa dakika chache wanazopewa wabunge kutowa michango muda mwingi wanatumia kumsifu Rais, waziri na serikali?
Inawezekana Mimi ndio sijui au nina chuki zangu tu na CCM na bunge zima, sasa naomba msaada ili nisikwazike. Je, huu ndio utaratibu wa kibunge wa mabunge ya Westminster?
Ni Tanzania tu.Hili bunge la bajeti ingawa bunge lenyewe lilishapoteza uhalali lakini nikiwa home huwa nafuatilia michango ya wabunge.
Kinachonikwaza Mimi najiuliza inakuwaje kwa dakika chache wanazopewa wabunge kutowa michango muda mwingi wanatumia kumsifu Rais, waziri na serikali?
Inawezekana Mimi ndio sijui au nina chuki zangu tu na CCM na bunge zima, sasa naomba msaada ili nisikwazike. Je, huu ndio utaratibu wa kibunge wa mabunge ya Westminster?
Ulikuwa na umri gani wakati Mzindakaya anashusha makombora bungeni?Wewe mwongoooooo Kwa hilo, wa Tanzania ndiyo wako hivyo tangu zama zileeeee. Kwani zidumu fikra za mwenyekiti zilianza lini?
Na yule mzee aliyebadiri jina kutoka John na kuwa Jumanne si ilikuwa kumaifu Rais?
Anawajua akina Maokola Mojogo na Njelu Kasaka enzi hizo?Ulikuwa na umri gani wakati Mzindakaya anashusha makombora bungeni?
Kusifu, kukosoa ni haki ya mzungumzaji, we kinakuuma nini? Kafanye mambo yako, km unaona vipi kagombee ubunge halafu utaamua km ni kutukana, kukashifu, kulia ni juu yako waache wenzio wana uhuru wa kumsifu rais wao na watakuwa na sababu kwanini wanamsifia.Hili bunge la bajeti ingawa bunge lenyewe lilishapoteza uhalali lakini nikiwa home huwa nafuatilia michango ya wabunge.
Kinachonikwaza Mimi najiuliza inakuwaje kwa dakika chache wanazopewa wabunge kutowa michango muda mwingi wanatumia kumsifu Rais, waziri na serikali?
Inawezekana Mimi ndio sijui au nina chuki zangu tu na CCM na bunge zima, sasa naomba msaada ili nisikwazike. Je, huu ndio utaratibu wa kibunge wa mabunge ya Westminster?
Anawajua akina Maokola Mojogo na Njelu Kasaka enzi hizo?