Inanambo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,039
- 2,840
MLiwachagua Wenyewe, na Wengine Wakapitishwa bila kupingwa. So Relax. Mliambiwa Bunge liwe na Wapinzani mkawakataa.Hlo jengo limekusanya kundi la washamba na washirikina ,hamna kitu mle
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MLiwachagua Wenyewe, na Wengine Wakapitishwa bila kupingwa. So Relax. Mliambiwa Bunge liwe na Wapinzani mkawakataa.Hlo jengo limekusanya kundi la washamba na washirikina ,hamna kitu mle
Watanzania muda sio bidhaa adimu kabisa kwao.Kuna ule utaratibu mwingine kutajana majina viongozi waliohudhuria kwenye mikutano na kuelezea background ya tukio la shughuli husika; salaleh.
Kila mtu akipanda kwenye jukwaa anarudia kutaja watu wale wale (hivi kuna ulazima).
Kila mtu akipanda anatoa historia ya mradi husika au jambo lililowakutanisha; kama sio sheria ilianza lini, basi nani alianzisha hiyo agenda zama za kale hizo. Maelezo ambayo baada ya siku mbili asilimia kubwa tushayasahau.
Utaratibu ambao unaongeza muda wa mkutano pengine kwa zaidi ya Lissa kusikiliza repetitions za wachangiaji. Kwakweli sijui ndio itifaki au wanaita kitu gani; binafsi naita utaratibu wa hovyo mno na kuchoshana kusikiliza.
Huo ndio upuuzi unafanyaga Mimi sitaki kuangalia events za serikali.Kuna ule utaratibu mwingine kutajana majina viongozi waliohudhuria kwenye mikutano na kuelezea background ya tukio la shughuli husika; salaleh.
Kila mtu akipanda kwenye jukwaa anarudia kutaja watu wale wale (hivi kuna ulazima).
Kila mtu akipanda anatoa historia ya mradi husika au jambo lililowakutanisha; kama sio sheria ilianza lini, basi nani alianzisha hiyo agenda zama za kale hizo. Maelezo ambayo baada ya siku mbili asilimia kubwa tushayasahau.
Utaratibu ambao unaongeza muda wa mkutano pengine kwa zaidi ya Lissa kusikiliza repetitions za wachangiaji. Kwakweli sijui ndio itifaki au wanaita kitu gani; binafsi naita utaratibu wa hovyo mno na kuchoshana kusikiliza.
Tuviambie vizazi, mafanikio huja kwa watu kufanya kazi, kusacrifice na kuwa serious si vinginevyo.
Kujipendekeza na kumsifia Boss wako inalipa sana na kuna faida nyingi sana hasa kwa sisi wabongo. Mimi kazini kwangu miaka nenda rudi nimeishi na misimamo yangu ya kutokujipendekeza kwa wakubwa wangu wa kazi nikawa naamini zaidi katika utendaji wangu na weledi matokeo yake vijana wadogo tena nimewazidi kila kitu lakini wamekuja kunipita wamepanda madaraja faster na madaraka wapo juu yangu, wengine vitengo vya maana vinavyowapa posho kibao na safari.Hili bunge la bajeti ingawa bunge lenyewe lilishapoteza uhalali lakini nikiwa home huwa nafuatilia michango ya wabunge.
Kinachonikwaza Mimi najiuliza inakuwaje kwa dakika chache wanazopewa wabunge kutowa michango muda mwingi wanatumia kumsifu Rais, waziri na serikali?
Inawezekana Mimi ndio sijui au nina chuki zangu tu na CCM na bunge zima, sasa naomba msaada ili nisikwazike. Je, huu ndio utaratibu wa kibunge wa mabunge ya Westminster?
Bunge hata la Rwanda hawana huu ujina wa kusfua Kagame, yaanu hata Wabune wa Chama chake huwezi wasikia wanamsifia, Tanzania imejaa wapumbavu tupuHili bunge la bajeti ingawa bunge lenyewe lilishapoteza uhalali lakini nikiwa home huwa nafuatilia michango ya wabunge.
Kinachonikwaza Mimi najiuliza inakuwaje kwa dakika chache wanazopewa wabunge kutowa michango muda mwingi wanatumia kumsifu Rais, waziri na serikali?
Inawezekana Mimi ndio sijui au nina chuki zangu tu na CCM na bunge zima, sasa naomba msaada ili nisikwazike. Je, huu ndio utaratibu wa kibunge wa mabunge ya Westminster?
Kiufupi hawajui mule bungeni kimewapeleka nini, wengi hawana uwezo kichwani,na % kubwa Wana vipaji vya kushangilia, kusifu na kuabudu watu, kazi yao ni kukaririshwa speech za kuongea, washereheshaji hawajawahi kuwa serious na mambo muhimuHili bunge la bajeti ingawa bunge lenyewe lilishapoteza uhalali lakini nikiwa home huwa nafuatilia michango ya wabunge.
Kinachonikwaza Mimi najiuliza inakuwaje kwa dakika chache wanazopewa wabunge kutowa michango muda mwingi wanatumia kumsifu Rais, waziri na serikali?
Inawezekana Mimi ndio sijui au nina chuki zangu tu na CCM na bunge zima, sasa naomba msaada ili nisikwazike. Je, huu ndio utaratibu wa kibunge wa mabunge ya Westminster?
Sifa za mbunge ni kujua kusoma na kuandika.