Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Huu ni utaratib ulioshamiri na kutukuzwa awamu ya tano!! Namim naweza sema bora awamu hii, awamu iliyopita yaan mtu ananusurika kweny ajal cha kwanza anamshukur rais? Mtu anaachiwa toka mikononi mwa watekaji waliovamia Nchi toka South Africa tena bila intelligence yetu kujua. Still cha kwanza anamshukur rais kwa kuachiwa na watekaji 🤣🤣🤣!! Bado wengine walivuka mipaka ya ukuu wa MUNGU na kusema MUNGU ndie anapaswa amshukur JPM? Laan hii itawatafuna till the end of this world!!!Hili bunge la bajeti ingawa bunge lenyewe lilishapoteza uhalali lakini nikiwa home huwa nafuatilia michango ya wabunge.
Kinachonikwaza Mimi najiuliza inakuwaje kwa dakika chache wanazopewa wabunge kutowa michango muda mwingi wanatumia kumsifu Rais, waziri na serikali?
Inawezekana Mimi ndio sijui au nina chuki zangu tu na CCM na bunge zima, sasa naomba msaada ili nisikwazike. Je, huu ndio utaratibu wa kibunge wa mabunge ya Westminster?
Na sheria hii imepitishwa na COM, na ipo kwenye Bunge la Tanzani tu hapa DunianiSifa za mbunge ni kujua kusoma na kuandika.
Hili bunge la bajeti ingawa bunge lenyewe lilishapoteza uhalali lakini nikiwa home huwa nafuatilia michango ya wabunge.
Kinachonikwaza Mimi najiuliza inakuwaje kwa dakika chache wanazopewa wabunge kutowa michango muda mwingi wanatumia kumsifu Rais, waziri na serikali?
Inawezekana Mimi ndio sijui au nina chuki zangu tu na CCM na bunge zima, sasa naomba msaada ili nisikwazike. Je, huu ndio utaratibu wa kibunge wa mabunge ya Westminster?
Hiyo ni taratibu ndani ya CCM ambao ndio wenye bunge.Hili bunge la bajeti ingawa bunge lenyewe lilishapoteza uhalali lakini nikiwa home huwa nafuatilia michango ya wabunge.
Kinachonikwaza Mimi najiuliza inakuwaje kwa dakika chache wanazopewa wabunge kutowa michango muda mwingi wanatumia kumsifu Rais, waziri na serikali?
Inawezekana Mimi ndio sijui au nina chuki zangu tu na CCM na bunge zima, sasa naomba msaada ili nisikwazike. Je, huu ndio utaratibu wa kibunge wa mabunge ya Westminster?
Ishia tu hapo inatoshaShida imeanzia kwenye katiba yetu. Kitendo cha kumfanya raisi ni Mungu mtu (kwa mamlaka aliyopewa na katiba iliyopo) ndio mambo kama haya ya uchawa na ujinga mwingine umetamalaki.
Watz adui yetu mkubwa ni katiba mbovu tuanzie hapo.
Watanzania wanaishi kinafki,uchawa,kujipendekeza tu
Ova
[emoji38]Angalia Anaanza kumshukuru Mungu, anamshukuru Rais, anamshukuru pia spika , anawashukuru wapiga kura jimboni ambao baada ya uchaguzi aliwashukuru, anamshukuru mke wake ambae alilala nae kitanda kimoja usiku, anawashukuru watoto wake, baadae anaunga hoja mkono halafu anaanza kutoa kero jimboni hapo kengere ya pili inagonga hajamalizia kero za maji, barabara, madawa zahanati hakuna, hapo anakaa na wenzake wanaanza kumpongeza yaani hua nawaangalia sana nawakata jicho nasema basi tu