Namshakende
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 671
- 1,644
We kiboko hapo umenishinda.Mimi huwa Nashangaa zile dakika 10 za Ma bus eti kuna watu huwa wanalalamika na kubeba chakula wanakula ndani ya bus...Kiukweli sijisikii huru kula ndani ya Bus na kunawa tishu....mimi zile dakika huwa nakula na nanawa nasubiri watu waanze kuingia kwenye BUS
[emoji23][emoji23][emoji23] Duhh ndizi nyama, my fav! Ila kula haraka siwezi asee..lastborn nimezoea kula hata saa nzima, au nakula kidogo naacha then ntakimalizia baadae, hii imeniathiri, hata kumi za usiku naamka nakula nilichobakisha..kwenye mahusiano na ugenini huwa hawanielewi [emoji23] hata kibaruani watasema "huyu siyo mlaji" ila kumbe i have my own style of eating, thankful mke niliye naye ana same traits..ila kwao yeye 1st born ..kwahiyo ni kupelekeshana kwenye msosi mpk aibu [emoji23]Sasa mie Chakula kiwe na joto la vuguvugu nakifukia dakika mbili paaaaa kimeisha.
Ukitaka nikuone mnoko, Pika Ndizi nyama, alafu pakua zikiwa bado zamoto, Kisha nipakulie Nile ..
Mandizi yanachelewa sana kupoa, na yakiwa yamoto yananiunguza kamdomo kangu, Huwa spendi sana.
Baby watoto wangu yeye ni Mpenzi wa Mandizi , Huwa changu ananipooza kama Cha mtoto mwenye mapengo au anipikie Chakula kingine
Daah Kwenye list tupo wengi.. Nilipokulia walishanizoe nikipakua chakula ukienda kuita wengine kwenye room zao unalud me nishamaliza kitambo... Nilipomaliza form six nilienda sehemu ugenini... ikanibid nitumie defence ya kwamba nimepita JKT tumezoeshwa kula haraka