Hivi ni mimi tu binafsi siipendi hii tabia wakati wa kunyanduana au tuko wengi

The king mswati

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2020
Posts
787
Reaction score
825
Wanajamvi habarini za asubuhi.

Binafsi kuna tabia moja huwe siipendi wakati wa kunyanduana, sijui ni mimi tu ndo mhanga wa hiki kitendo au tuko wengi.

Tabia yenyewe ni hii

"sipendagi wakati wa kunyanduana baada ya kupizi eti mimi ndo nijifute na kumfuta yeye genye zilizomwagika badala ya yeye mwanamke ndo anifute mimi"
binafsi hii tabia huwa inanikera sana naona kama mwanamke kama vile haniheshimu hivi,hanitii ambae hajui majukumu yake vile, yaani nikunyandue alafu mimi ndo nianze kukufuta badala ya wewe ndo unifute, bora sasa mimi ningefuta na ww unifute mm, sasa unaniachia yote nifanye mm ww umelala tu.

Nitashakuta na hii hali kwa zaidi ya madem 20 na huwa inanikera sana kwa kweli.
 
Yaan vitu vidogo kama hivi ndo vya kufungulia uzi kwel?kina Kenzy wanakuja na nyuzi nzito nzito kama dem wake kutokupatikana siku ya mkesha wa Xmass....mwngine kapigwa kitofali cku ya xmass...wewe kwel unakuja nay ishu ya kulalamika kisaa dem hakufanyii usafi baada ya kudinyanaa...like serious?
 

We pumbavu kweli! Kupenda penda kufanyiwa kila kitu!
 


Hii ndio habari ya saizi yako na sio ile habari ya Waafrika weusi.
 
Zaidi ya mara 20?
Kwahiyo ni watu 20 tofauti?

Nimekusoma baharia.

Hata hivyo kwa mila za kiafrika hiyo ni kazi ya mwanamke, ingawa baadhi watasema ni mfumo dume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…