Gar inakimbiza km bwashee,🤣🤣 vi genz ving unakuta 300+Bwashee daftari likijaa ananunua lingine,tusitishane bwana
Nifanyaje sasa waache kunisumbua?
Umeniwahi mkuu, body count inaelekea wafuatao watakaa ile seat ya nyuma mwisho 🤣Hiyo statement ya ma ex zangu, Ina onyesha body count yako ni seat za bus la abood🦅
kudadadeki, 5m hata 1m hapati, ogopa statement ya ma ex zangu.Umeniwahi mkuu, body count inaelekea wafuatao watakaa ile seat ya nyuma mwisho 🤣
Halafu mpo busy kutoa 5m mahari na 30m sherehe. Poleni!!
Una akili mnooo ✌🏾✌🏾ndo maana wanakusumbua; na mimi nakuja dm kuomba nijiweke🧐Guys hakuna kutiki oktoba.
Makachero wa jf kaziniWewe mapenzi yanakutesa..
Hebu tuliza bichwa hilo acha kutiktaki.
View attachment 3471129
View attachment 3471130
View attachment 3471131
Inasikitisha sana 🥴Sio km huo ndio ukweli, wanaume wanataka kumchezea mwanamke ambaye hajitambui..!!
Na usipokuwa makini ataoa na wewe utaendelea kuwa mchepuko wake. Kisha atakupa sababu za kijinga.
Atakufanya sehemu yake ya kupunguzia stress pindi husiano lake au ndoa yake inapomvuruga..!!
Dawa ni kumkataa km Simba walivyomfanyia Msigwa 😹😹
Una balance shobo akafie mbele..!!
Nyuzi zake 90% ni za kulilia mapenzi, hata mume anamtafutia humu.Makachero wa jf kazini
Yani haya mafaili uliyoyaleta yametusaidia kujua mhusika ana shida mingi kwenye mahusianoNyuzi zake 90% ni za kulilia mapenzi, hata mume anamtafutia humu.
Halafu kukumbukwa na ex kidogo tu anavimba bichwa.
No wonder yeye ndiyo atakuwa problematic kwenye mahusiano yake yote.
Afande si ulikua unatafuta mke raia?Yani haya mafaili uliyoyaleta yametusaidia kujua mhusika ana shida mingi kwenye mahusiano
Ila sio kwa raia huyu🤣🤣Afande si ulikua unatafuta mke raia?
Chukua chombo, ikawe bize kufua gwanda na kubrush buti zako....Ila sio kwa raia huyu🤣🤣
Hiyo chombo inaweza fungua hata zipu za maafande wenzangu,huoni shida hiyo🤣🤣Chukua chombo, ikawe bize kufua gwanda na kubrush buti zako....
Hamna shida afandeHiyo chombo inaweza fungua hata zipu za maafande wenzangu,huoni shida hiyo🤣🤣
Asante sana kwa ushauri mzuri, hakika sikukosea kukutag🥰🙏
- Mmeachana for a reason, simamia kile ulichokiamua, kucheka cheka na maex inafanya wakuone hauna misimamo.
- Wablock, kuwa na mawasiliano na maex si nzuri pia kwa mahusiano yako mapya (kama unayo au utataka kuwa nayo huko mbeleni).
- Akikupigia na namba nyingine, ukisikia sauti yake kata simu, usiongee naye.
- Usiwe na huruma na wanaume, la sivyo utatumika sana. Kaza bidada 😅 😎
Ni hayo tu!