Hivi ni mimi tu ninayesumbuliwa na baadhi ya ex's wangu?

Roho mbaya πŸ˜‚
 
Yani komenti za humu ukiwa na hasira utagombana na wengi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ . Hapo ni mawili kama wewe ni me basi ulikuwa muhongaji sana na kama ni ke basi wewe ulikuwa ni mama huruma hata kwa buku mbili wadau walikuwa wanaichakaza
 
EeehπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…