Kwani ni uongo mkuu! Wengi wana aspire kuwa watu wa maana katika jamii zao ila hushindwa kuziishi hizo ndoto na matokeo yake hukimbilia kwenye boda boda."Na ndilo kimbilio la ma failures wote."
Kaka, kuwa na simile na hizo kauli zako.
Pikipiki zilikuwepo kwa ajili ya usafiri binafsi watu walipoanza kutumia fursa wahindi naona wakaanza kuagiza nyingi kwa ajili ya biz ya usafiriNi nani aliuleta sasa mkuu maana uliibuka ghafla na sasa umekuwa kero yaani too much.
We ni boda boda au una usafiri binafsi wa piki piki? 🤔We fala tuheshimu sisi maboda boda kwanin tumekuwa kero? Mimi nina pikipiki na nina gari naendesha pikipiki week days kwenda mishe mishe na week end kama hivi naendesha gari. I find it very simple kufika town. Nikiamka saa moja na nusu natoka home Kigamboni saa mbili niko town kazini faster tu.
Kwani wakiendesha kwa ustaarabu huko mitaani watapungukiwa nini? Ndio swali langu Baba NlaBinadamu tunajisahau sana, Hasa tukiwa na uhakika na kazi/ kipato.
Mwenyezi Mungu atupe Moyo wa kutambua kwamba sio wote wana maisha mazuri ndio maana wengine wanakimbizana na pikipiki/ Boda boda kuhakikisha amepata:-
👉 Hela ya Mafuta
👉 Hela ya Boss
👉Hela ya kula
Eeh Mwenyezi Mungu, Tunakuomba uwalinde wao na abiria wao
Amina!
Kwa hapa bongo unafikiri nini kifanyike kwa kweli maana uchumi unazidi kushuka kwa vijana wengi kukimbilia boda boda!Gambia walikuwa na changamoto kama hii yetu.
Wakapiga ban importation ya spare parts. Ndani ya miaka mitatu bodaboda zote zikapotea mitaani.
Wakaanza moja na utaratibu unaoeleweka.
Mara nyingi ukikaa kwenye pikipiki kwa muda mrefu unakua ushazoea/ unaona barabara ni yako so unakua una drive kwa ile hali ambayo wewe dereva unaona ni sawa.. lakini kumbe wanaokutazama ndo wanashangaa ulivo rough.Kwani wakiendesha kwa ustaarabu huko mitaani watapungukiwa nini? Ndio swali langu Baba Nla
Haya swali langu lingine ni kwanini vijana wote wanakimbilia kuendesha boda boda je uchumi wa nchi yetu utasonga kweli?Mara nyingi ukikaa kwenye pikipiki kwa muda mrefu unakua ushazoea/ unaona barabara ni yako so unakua una drive kwa ile hali ambayo wewe dereva unaona ni sawa.. lakini kumbe wanaokutazama ndo wanashangaa ulivo rough.
So siwatetei sababu wapo waliojitahidi kuwa wastaarabu mwanzo mwisho, ila nawaombea tu Mungu awakumbuke sababu ni kundi kubwa linalotegemewa na watu wengi
Usafiri binafsi wa pikipiki. Lakini haiondoi maana ya pikipiki mana mleta uzi kasema pikipiki zinampa keroWe ni boda boda au una usafiri binafsi wa piki piki? 🤔
Uchumi nchi hauwezi kukua..Haya swali langu lingine ni kwanini vijana wote wanakimbilia kuendesha boda boda je uchumi wa nchi yetu utasonga kweli?