mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,257
- 1,543
Hahahahaha hujui Wuhan pamewaka Moto au hufatilii vyombo vya habar
Sent using Jamii Forums mobile app
China.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
China.
Nitakusahihisha hapa. Waliimplement lockdown for 21 days. Na hili hata rais wa nchi yao alilitolea ufafanuzi.
Tofauti ni kuwa wao waliingia lockdown mapema kabla hali haijawa mbaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dar ilitakiwa lockdown, pia kuna partial lockdowns ambapo siyo wote wanazuiliwa, inaweza kuwa ni sehemu ama eneo fulani, ama pia watu Fulani kutokana na maambukizi.
Kinachofanyika sasahivi Tanzania ni kwamba hakuna hatua zozote ambazo zinapigiwa kampeni na serikali, zaidi ya kauli ambazo zinasababisha wananchi kuona ni kawaida tu na kuacha kuchukuwa hatua!
Sasa hadi mipaka tufungiwe ndo unasema lockdown ni mbaya?
Of course kuna wale wanaojifungia wenyewe, lakini uongozi hauonekani! Hata Obama jana kasema kwenye hotuba yake maneno ambayo ni kama kawa sema jiwe na Trump.
This is the bottom line!👍🏽👏🏽Shida kubwa ni corona imegeuzwa kuwa eneo la mapambano ya kisiasa, na wanaoonekana kuzungumza kwa sauti kubwa ni wenye agenda za kisiasa na sio wataalamu. Matokeo yake ni mjadala umekuwa reduced, hakuna kutazama data, hakuna analysis, hakuna nia ya kuangalia Details. Tunalazimishana kuchagua upande kama lockdown inafanya kazi au la kana kwamba ni suala la maoni binafsi.
Wengine kwa kutumia mifano wa nchi zinazoanza kupunguza lockdown, tunakimbilia kutangaza ushindi wa upande wetu. Haijalishi kwamba wanaofungua wamefanya nini kufika hapa, wana data gani, wamejipanga vipi, wanaenda kufungua nchi zao wakiwa wana monitor nini, mifumo yao ya afya ina uwezo gani, na wamejifunza nini toka waanze kupambana. No depth, no interest in detail, zero intellect. Kama watoto wadogo
Kwani mtu akisema kitu ni lazima liwe suala la imani? Inaweza kuwa ni Logic tu.Kwahiyo Obama ndio unae muamini sio?
Nyinyi ndio mfano ya watu munao idhalilisha Africa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru sana kwa ushahidi huu kuwa ni suala lililowezekana kufanyika tokea mwanzo kama tungekuwa serious!Lockdown inasaidia sana tatizo ni kuumiza uchumi. Kuna nchi moja ya Africa walipopata mgonjwa mmoja tu walilock down na kufuatlia kwa umakini mkubwa sana. Amekufa mgonjwa mmoja tu na maambukizi ni 23 na kati ya hao 17 wamepona. Walichfanya ni kugawa chakula kwa watu wasiokuwa na uwezo na kusaidia kiasi fulani cha pesa kwa zile kampuni zilizohadhirika na lockdown na ambazo zinalipa kodi serikalini kwa ajili ya kusaidia malipo ya mishahara ya wafanyakzi.
Ni kweli kwasababu lockdown ya Ohio ilianza kabla ya lockdown ya USA na matokeo yanaonekana na gavana Dewine anasikilizwa kuliko Trumppatula.Nimetoa hiyo mifano baada ya kusoma ulichoandika na wewe kutumia mifano ya Ohio, USA kutaka kuhalalisha lockdown TZ, ...
Acha uongo! Either unaongopa kwa makusudi, au labda kwa ujinga wa kutokufahamu? Kumbuka ujinga siyo tusi!Eritrea hawajapiga lockdown na wamemaliza ugonjwa .. lockdown sio tiba ya corona ni njia ya kupunguza maambukizi kama ilivyo kuosha mikono kwa sabuni na maji
It is never too late to begin. Start now
Can Eritrea's government survive the coronavirus?The country has been in a nation-wide lockdown to slow the transmission of the virus since April 1.
The pandemic has not yet reached its peak in Eritrea, but all signs indicate that the country is heading for catastrophe.
Dogo wewe unaishi kwa sister hujui yanayoendelea, endelea kumuamkia shemeji ule ugali.Naona kumekuwepo na hali ya upotoshaji nchini kuwa hatua za lockdown hazina manufaa! Hili naona kama ni upotoshaji ambao unasababishwa na ukweli kwamba viongozi wengi wameingiza siasa kwenye vita dhidi ya corona na matokeo yake ndo haya ya upotoshaji pamoja na mambo mengine.
Mifano iko mingi, lakini kuna mfano nilioamuwa kuutumia kujenga hoja yangu. Mfano huu ni wa gavana wa Ohio kule marekani anayeitwa Mike Dewine! Huyu alichukuwa hatua zote kabla ya Trump! Pamoja na kwamba Trump anaogopeka na viongozi wengi ndani ya republican mfano maseneta na magavana, huwa wana wasiwasi kupingana naye kwasababu ya umaarufu alio nao ndani ya chama cha Tembo ama Republicans!
Sasa huyu alichukuwa hatua za lockdown toka mwanzo kabisa wakati Trump akiwa analeta utani na gonjwa hilo! Matokeo yake, jimbo lake linafanya vizuri sana na yeye amekuwa maarufu siyo tu kule Ohio, bali marekani nzima! Alikuwa na guts za kufanya maamuzi sahihi ya kulinda raia wake kuliko rais wa nchi! Na wananchi wanasema hatua hizo alitakiwa azichukuwe Trump mwenyewe, na pengine mikusanyiko iliyokuwa ikiendelea kwenye majimbo mengine mfano New York, New Orleans na kwingineko ambako michezo iliendelea kama kawaida na mikusanyiko mingine kama makanisani nk, ambapo matokeo yake ndo haya tunayoyaona wanakufa kwa kasi na maambukizi ambayo yalikuwa tayari yametapakaa.
Jimbo lake lina maambukizi machache na vifo vichache sana, na wameshaanza kufungua taratibu taratibu. Pia jimboni kwake alifanya mkakati siyo wa total lockdown, hiyo ni baadhi tu ya sehemu. Wale wanaojitetea kuwa lockdown ni mbaya, wanawaongopea wananchi kwa manufaa yao binafsi, most likely uchaguzi. Ni bora waseme lockdown siyo njia muafaka kwasababu ya mfumo wetu wa uchumi ulivyo na maisha ya wananchi wake, lakini haina maana kuwa partial lockdowns hazifai. Na lockdowns kwenye maeneo korofi. Lakini pia tulipuuza tokea mwanzo na kuanza kusema wapinzani wanataka wananchi wafe na njaa! Hii ni propaganda ambayo matokeo yake si mazuri kwenye jamii inayokabiliana na janga hatari linalochukuwa maisha ya watu kila siku na pengine kila saa duniani.
Bila kupoteza muda, naweka hiki kipande hapo chini chenye kusapoti ninachokisema, pia link kama ukitaka kusoma habari yote na kujiridhisha wewe mwenyewe kuwa nisemayo ni kweli.
Mike Dewine gavana wa Ohio, alipata umaarufu hata kumzidi Trump ambaye naye akaanzisha utaratibu wa kuongea na waandishi kila siku, jambo ambalo Dewine alikuwa akilifanya jimboni kwake kila siku saa nane mchana, na wakati huo wana Ohio wanakuwa kwenye luninga zao wakimsikiliza. Ndiyo wakaanzisha usemi wa “it’s 2’oclock somewhere...wine with mr Dewine”, ambapo wanapata wine wakimsikiliza Dewine. Wala hawa kuwa na habari na Trump!
A Republican, he took early and bold actions to lock down his state, even as the head of his party, President Trump, dismissed the threat of the pandemic.
Ohio’s G.O.P. Governor Splits From Trump, and Rises in Popularity
Kwahiyo ndugu watanzania wenzangu, kabla ya kufanya upotoshaji, jiridhishe kwa kautafiti kidogo tu ili uweze kuwa huru kifikra! Ikifkia mahali unamkabidhi mtu mwingine afikirie kwa niaba yako, ujuwe kuna shida kubwa sana! Kusema lockdown haisaidii, ni sawa pia na kusema “to hell with social distancing”. Huwezi kuwaambia watu wafuate masharti kwa ugonjwa ambao siyo hatari kabisa kwa jinsi unavyochuliwa kutokana na hatua za viongozi wetu.
Siyo sahihi kusema lockdown haisaidii kwasababu zenu za kisiasa! Kwanza ingekuwa ni kwetu, huyo Dewine angekiona cha mtemakuni! Lakini kwasababu ya kiasi cha demokrasia na mfumo wao wa uongozi, Dewine aliweza kuchukuwa maamuzi muhimu kwenye jimbo lake kinyume na rais wa nchi! Na ameonekana kwamba alikuwa sahihi na kiongozi shupavu! Nyota yake inang’ara! Trump hawezi tena kusema kuwa lockdown haisaidii! Na Tanzania siyo sahihi kusema hivyo, semeni tu hamkuchagua lockdowns kwasababu mtakufa njaa.
Mag3 Nguruvi3 JokaKuu Kalamu1 imhotep Detective J
Sidhani hata kama unasoma na kuelewa kabla ya kuchangia.Nenda USA sijamaliza hata kusoma utumie, hivi maskini asiye jua anakula nini kesho umfanyie Lock down kweli kuna baadhi ya watu ni machizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui watu wamesahau kuwa mipaka iliachwa wazi hadi imejifunga yenyewe baada ya majirani kufunga yao?! Same thing happened with airspace!Nakusupport.
Tulikuwa tuna nafasi kubwa zaidi ya kuzuia gonjwa hili kuingia simply kwa kudhibiti mipaka.
Tungepeleka team ya madaktari mipaka yote. Wakiwa na vipimo.
Tungesha dhibiti
Tatizo ni wakati ugonjwa huu umefika nchi jirani.
Sisi ndio kwanza tunatia propaganda?
Umesha ingia ndio tunashtuka ikiwa ni too late.
We had a chance lakini tukazembea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka Wakudadavuwa kama anavyokuita Pascal Mayalla , wewe unaishi na kula kwa nani?Dogo wewe unaishi kwa sister hujui yanayoendelea, endelea kumuamkia shemeji ule ugali.
Exactly, wlaichotakiwa ni kuimarisha tahadhari na vipimo kwenye idara ya usafirishaji! Unaposema wanatutegemea, hata kama ni kweli, siyo eti ulazimishie kiwapelekea virusi, hilo ni kuhatarisha usalama wa nchi zao, wanaweza wakaungana kuudhibiti ujinga wetu huu!Duniani kote lockdown ilikofanyika ESSENTIAL GOODS zinaruhusiwa kupita mipakani.
Ndio maana mmeambiwa hamjui maana ya Lockdown.