Hivi ni nini hekima iliyopo nyuma ya ruhusa ya kuoana ndugu?

Na ndomana Sickle-cell haiishi... Waarab ndo zao kulana ndugu shabash!
 
Wakikujibu nitafute kwa nguvu zote umewapa kitu na box yake .Ahsante Kaka J/F wajinga ni wengi kuliko waliosoma na wenye elimu.
 
Ametaka kutanguliza akili yake bila kuiacha huru na kuisalimisha kwenye maandiko ya kisheria, suala la bangi limejengwa juu ya msingi wa vyote vyenye kulewesha, Qur'an haikutaja mufradaat kwenye kila ilichotaja kama haramu, bali kuna misingi na kanuni.

Allah atuongoze sote Baljurashi
 
Hapo baba mkubwa na mdogo hapo kuna ukakasi, ndoa ni kati ya mtoto wa shangazi na mjomba, au labda uwe ni ba mkubwa na mdogo ila sio kwa kuzaliwa yani hao wazazi ukaka wao ni wa kibinamu, sio ba mkubwa na mdogo ama mamkubwa na mdogo kabisa kabisa
 
Wana wa Israel wametokana na wanawake wangapi? Na Vp sindiyo wabarikiwa wa Mungu kwa mujibu wa maandiko?.
Tukiweka sababu moja moja, Muhammad hakuwa na sababu ya kufanya alichofanya.

Inabidi umtetee sababu ni mentor wa kila muislam.
 
Kama tatizo halipo hapo basi hakuna tatizo hata ukiamua kumkanda dada yako.si tunatafuta tatizo mkuu[emoji2][emoji2].

Kama limekataza kumvua chupi mke wa jama yako au rafiki yako,unatafuta palipokatazwa mtoto wa baba mkubwa!!![emoji2]
 
Mpumbavu unajifanya kujificha wewe ni mkirito unajificha hili iweje?mimi Mbena shangazi yangu kaolewa na mkurya kazaa watoto heti ao watoto ni ndugu zangu kuwao mwiko ukifuata hivyo uwezi kuoa sababu wanadamu wote chimbuko lao ni 1 tu
 
Utamu utoke wapi kwa ndugu hizo ni nyege zinakusumbua

Kumbuka ndugu hufanana hadi harufu ya jasho
Mama mdogo kaolewa mbeya kazaa na wanyakiusa mimi muha hapa kuna undugu?
 
Swali babako ndogo akifa unaweza kwenda kurithi au shangazi yako au mamako mdogo akiacha mali unaweza rithi mali yake?kama uwezi undugu wewe na watoto wa shangazi yako unatoka wapi?mfano fahamu binadamu wote asili yao ni 1 tu shangazi yako kaolewa huko kazaa watoto hao watoto ndugu zako au amjui maana ya ndugu ukitaka kujua nini maana ya ndugu siku akifa babako mdogo siku ya mgao wa mali urithi na wewe uende usemi nami nimo sababu alie kufa alikuwa babangu mdogo uone mziki wake
 
Umejibu lakini sio nilicho kuuliza lete andiko linalo sema mtoto wa shangazi yako na mama mdogo na mkubwa na mtoto wa babangu ndogo kuwa ni ndugu zangu ni mwiko kuwaoa kwenye hilo andiko lako hao nilio wataja sijawaona
 
Ukweli ni kwamba hata pamoja na dini ya kiislam kuruhusu kuoana binamu,lakini jambo hili hutokea mara chache sana tena kwa dharula,labda mmetiana mimba au mmefumwa mnaibana kinyemera.

Ni jambo ambalo kimaadili halivutii.
Mtoto wa baba mdogo mkubwa shangazi mjomba sio ndugu hivyo kuona ni sawa tu ukitaka kuamini kuwa sio ndugu watu awa awarithiani kwa hali yoyote mfano babako mdogo akifa au shangazi yako watoto wake wanapo rithi mali zake wewe uwesogea sababu wewe uhusiki sio ndugu yao,hoja dhaifu kumuita mtoto wa shangazi yako ndugu ni ufahamu mdogo sana,kama kweli ni ndugu basi tusioane sababu binadamu asili yetu ni moja
 
Ukweli ni kwamba hata pamoja na dini ya kiislam kuruhusu kuoana binamu,lakini jambo hili hutokea mara chache sana tena kwa dharula,labda mmetiana mimba au mmefumwa mnaibana kinyemera.

Ni jambo ambalo kimaadili halivutii.
Huyo babu yako na bibi yako wa 50 unauhakika gani kama hawa kuwa mtoto wa baba mkubwa na mdogo?
 
Walawi 18 imeeleza vyema tu,kuliko hata hiyo Quran yako unayodhani Ina Kila kitu.
Lete andiko linalo kataza kumuoa mtoto wa shangazi na mtoto wa baba mdogo na mkubwa,pia utambue hiyo biblia ilikuja mwambao huu wa afirika mashariki ikiwa imeandikwa kwa kingereza alitolewa huko na kuandikwa kwa kiswahili maneno mengi yaliomo humo robo 3 yametokana na qur,aan unayo ichukia
 
Acha ujinga wewe binadamu asili yao 1 tu hata huyo bibi yako na babu yako si ajabu walioana wa baba mkubwa na mdogo miaka 100 alio pita
 
Kafiri ajawahi kumpenda muhammad na uisilawam na waisilamu kwa ujumla
 
Watoto wa Adam walioona ndugu pia , hii imekaaje ?
Wanapinga wasicho kijua ukiwachunguza kinacho wasukuma ni ujinga na chuki hata kwenye biblia hakuna andiko linalo katazwa kuoana mtoto wa baba mkubwa na mdogo au shangazi,pia wanadamu chimbuko letu 1 ukoo ufika muda ukapotea mkawa amjuani tatizo ni ufahamu tu
 
Hivi hamuoni kinyaa, unaingizaje hiyo kitu kwa damu yako mwenyewe?! Hushindwi kubaka mwanao wewe
Acha ujinga wewe watu wote asili yao ni 1 tu ndio maana tukaitwa wana waadamu,mfano wewe ni muha shangazi yako kaolewa mtwala kwa makonde kazaa watoto je hao watoto ni ndugu zako wa damu?
 
Unatuletea ujinga wako hapa wewe ndugu zako wa miaka 300 iliopita unawafahamu? huyo ulio muoa unajuaje kama sio mtoto wa shangazi yako wa miaka 400 iliopita?
 
Mwalimu imefafanua vizuli tatizo jamii ya wakirito chuki yao ni kubwa kwa waisilamu hata umuonyeshe andiko awako tayali kuamini sababu uisilamu unawaumbua imani zao za kuabudu masanamu na kumuita yesu mwana wa mariyamu mungu hiyo ndio sababu lakini waisilamu wakikubali kuwa yesu ni mungu haya yote utayaona wala kuyasikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…