mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Angalia mafanikio ya mtu alafu upite zako.
Ukimchunguza bata HAUWEZI KUMLA.
Ukimchunguza bata HAUWEZI KUMLA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naamini hata wewe umeshasikia mtu akiwadiss vijana waishio au wafanyao biashara Makumbusho hasa wale wauza simu. Mitandaoni na mitaani mara nyingi utasikia stori kuhusu vijana wa Makumbusho.
What is it with these guys from nakymbusho? Ni uhuni, ulofa, waovyo, utapeli, etc
View attachment 2799781View attachment 2799782View attachment 2799783⁸View attachment 2799765
wale wangunju sio vichaaSitumukubaliana wanaadapt mazingira mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]
sasa usishobokee comments na hujui kusoma au uelewa mdogo. Soma dadavua au omba mtu akueleweshe. Jf watu ni much know sana alafu hamsomi, nyie hata maoni mnapinga baada ya kuchangia.Najua kuandika...kusoma sijui Mkuu..
Ya kweli haya?Ila wengi pale Mashoga wengine wamehamia frame za maduka nje ya Mlimani city (kama unaoelekea Survey)
NAwe utudangie mimi nipo tayari kuinunuaWamiliki wa viduka vya nguo Sinza na Kino hasa madem 90% wanadanga.
Dear sweetie,NAwe utudangie mimi nipo tayari kuinunua
wW ni mjinga bado kuandika ngeli ndio kwamba kutabadili hilo? Mchango wako wa kwanza unaakisi tabia halisi ya wabongo ya generalisation fallacyDear sweetie,
Time and ability plus double capacity have forced my thumbs to dance automatically on this Maxence Melo's JF platform. I hope you're swimming in the wonderful pool of ignorance there. I am also parambulating in the cool breeze of wisdom.
To say the least, NIMEKUSAMEHE.
Yours,
Sean.
Acha dharau mbwa wewe. Hakuna kitu kisicho na manufaa. Hata maji machafu yanazima moto. Mimi nimetoa maoni yangu kutokana na experience yangu. Kwanini uje kunitukana qummamayo we.wW ni mjinga bado kuandika ngeli ndio kwamba kutabadili hilo? Mchango wako wa kwanza unaakisi tabia halisi ya wabongo ya generalisation fallacy
Au nikukumbushe mashudu uliyoandika?
Usiwe jingajinga
Ushapanic.Acha dharau mbwa wewe. Hakuna kitu kisicho na manufaa. Hata maji machafu yanazima moto. Mimi nimetoa maoni yangu kutokana na experience yangu. Kwanini uje kunitukana qummamayo we.
Mimi nilisema wote?
Wapi nilisema wote?
Halafu nimesema madem, wewe ni demu au unawashwa?
Pilipili ya shambani inakuwasha nini?
Come again.
Sasa mchumba wa chuga mambo ya DSM yanakuhusu nini?Ushapanic.
Matus ya zaman ayo dogo
Njoo araa usikae kifede utang'atwa ndembe hyo. Ilete tuumize ndonga.
🤣🤣🤣 poa bwanaSasa mchumba wa chuga mambo ya DSM yanakuhusu nini?
Arusha ni wavuta bangi tu mna sura za kirembo.
Watoto wa kiume mnakuwa weupe weupe kama wakina Asha ngedere? Mna tofauti gani na dada zenu tunaowakaza huku mjini?