Hivi ni sahihi kwa mwanaume anayejiamini kumuuliza mwanamke, what will you bring to the table?

Bullshit

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,369
Reaction score
1,641
Hivi wanaume mnataka kuoa au mmeoa hamjawah kuona mchango wa wake zenu.

Hivi kuna kazi ngumu kama kubeba mimba, kuzaa na kulea watoto?.

Mwanaume tambua majukumu yako. Ukitaka 50/50 basi na wewe kuwa tayari kubeba mimba.

Hudumia mke/mpenzi wako kadri ya uwezo wako acha upepo wa maswali ya hovyo.
 
Hakuna bwana makalao
 
Ngoja wanaodai hivyo waje na hivi ndivyo watakavyo kuweka kati
20260222_194441.jpg
 
Hivi wanaume mnataka kuoa au mmeoa hamjawah kuona mchango wa wake zenu.

Hivi kuna kazi ngumu kama kubeba mimba, kuzaa na kulea watoto?.

Mwanaume tambua majukumu yako. Ukitaka 50/50 basi na wewe kuwa tayari kubeba mimba.

Hudumia mke/mpenzi wako kadri ya uwezo wako acha upepo wa maswali ya hovyo.
Hakuna mwanaume kamili anayeuliza hilo swali!

Ni weak, broke or pathetic men tu ndio hua na maswali hayo!
 
Whoever come up with this question was not only narcissist but also a misogynist

They will ask what u bring to the table the next thing ur the one sacrificing Ur dreams to cook and clean for them
Spending 9 months feeling like a stuffed sausage to birth their child
Then spend the rest of ur life taking care of them and their offspring while they live their best life and fullfill their dreams

Until they get tired of u and leave u for younger woman to repeat the same cycle with her
 
Madam sisi sio wazungu, ni wamatumbi tu😪
 
Hivi wanaume mnataka kuoa au mmeoa hamjawah kuona mchango wa wake zenu.

Hivi kuna kazi ngumu kama kubeba mimba, kuzaa na kulea watoto?.

Mwanaume tambua majukumu yako. Ukitaka 50/50 basi na wewe kuwa tayari kubeba mimba.

Hudumia mke/mpenzi wako kadri ya uwezo wako acha upepo wa maswali ya hovyo.
Waswahili ni wajinga au wazito kuelewa. Hakuna kitu kama 50/50, sio lazima mwanamke au mwenza achangie pesa katika familia, anaweza kuchangia akili/mawazo ya maendeleo, usimamizi wa vitega uchumi vya familia, connections, akili za watoto n.k Shida ni kama hakuna hata kimoja kati ya hivi anachoweza kuchangia, yani hachangii kipato, hana akili, hana connections, hawezi kusimamia biashara au mradi wowote wa familia
 
Waswahili ni wajinga au wazito kuelewa. Hakuna kitu kama 50/50, sio lazima mwanamke au mwenza achangie pesa katika familia, anaweza kuchangia akili/mawazo ya maendeleo, usimamizi wa vitega uchumi vya familia, connections, akili za watoto n.k Shida ni kama hakuna hata kimoja kati ya hivi anachoweza kuchangia. Yani hachangii kipato, hana akili, hana connections, hawezi kusimamia biashara au mradi wowote wa familia
Wanawake wanaposikia hili swali akili zao huwaza fedha pekee. Maana fedha ndo kitu kepee kinawafanya wawe kwenye mahusiano.
 
Whoever come up with this question was not only narcissist but also a misogynist

They will ask what u bring to the table the next thing ur the one sacrificing Ur dreams to cook and clean for them
Spending 9 months feeling like a stuffed sausage to birth their child
Then spend the rest of ur life taking care of them and their offspring while they live their best life and fullfill their dreams

Until they get tired of u and leave u for younger woman to repeat the same cycle with her
Kupika na kufua ndo kusacrifice Ndoto zako?

Unavyosema hao watoto utadhani n watoto wa mwanaume pekee, kumbe n wako pia 😂

Wanawake bhana 😂
 
Back
Top Bottom